Anaandika, Robert Heriel
Wazazi msiwape watoto wenu mzigo wa kununua upendo wenu kwa kuhangaika ili kuwapa pesa na mali. Upendo haununuliwi. Tabia ya kudai malipo kisa mliwasomesha au kuwazaa na kuwatunza huo ni uhuni. Kuwapenda watoto wenye vipato au wanaowapa vijizawadi ni dalili moja wapo...
Uwingi wa watu ukitumika vizuri ni mtaji tosha. Watu wakiwa wengi ni tija kwa nchi ikiwa watakuwa wazalishaji, walipa kodi na wenye uzalendo na nchi yao.
Hapa tatizo siyo kuwa na watu wengi au kuzaa sana. Tatizo wanaozaliwa wanaandaliwa vipi kukabiliana na changamoto za kimaisha?
Nchi ikiwa na...
Hilo limetokea wakati Rais Samia Hassan akizungumza na Wananchi wa Runzewe, leo Oktoba 16, 2022
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka aliwasisitiza Wananchi kuzaa zaidi kwa kuwa madarasa na vituo vya afya vinajengwa na wawekezaji wanaongezeka Nchini
Rais Samia akajibu “Hilo...
Amani iwe kwenu wapendwa.
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40 BILA MTOTO WALA MKE (ni member wa muda humu, sema nimeamua kutumia id tofauti ili kutunza heshima).
Ni mtumishi kwenye kampuni binafsi inayoendesha shughuli zake Dar es Salaam. Kwa nyakati tofauti nimekuwa na mahusiano na...
Kujamiiana hovyo kunapelekea kukataa mimba au kutelekeza watoto, pamoja na malezi mabovu kwenye jamii vyanzo vya panyaroad
Wengi wa hawa tunaowaita panya wana baba zao na mama zao
Kijana wa kiume mwenye zaidi ya miaka 25 na una geto lako mwenyewe acha kuishi mwenyewe kama Jini, tafuta binti anzeni maisha na mpate watoto dunia ipate vijana wapya.
Ukiangalia sababu kubwa ya vijana kutokuoa ni kudai kuwa wasichana wanataka kuhongwa na hamna pesa.
Ngoja ni wambie kitu...
Kwema Wakuu?!
Moja ya mambo yanayowafanya wanawake wawe viumbe wa ajabu, labda tuite kuwa vivutio katika ulimwengu huu ni pamoja na hii tabia. Wanawake wengi duniani sio tuu Afrika bali hata uzunguni kila walipoulizwa wanapendelea wanaume wa dizaini ipi katika mahusiano ya mapenzi, majibu yao...
Kundi la Watalii zaidi ya 60 linalojumuisha Madaktari na Wanasheria kutoka Nchini Marekani leo tarehe 26 Julai 2022,wamewasili eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwa ajili ya kutembelea Vivutio mbalimbali vilivyoko katika hifadhi hiyo.
Wageni hao ambao wanaendelea kutembelea vivutio mbalimbali vya...
Kuzaa na mtu sio ndoa, unaweza ukazaa na mtu na asikuoe pia na hata ukalalamika kwa wazee wake kama hata taka kukuoa hatakuoa tuu.
Wasichana ujitunzi usizae tuu, na hata wazazi wako wakisema na kulalamika kwa familia ya mwanaume huyo mwanaume anaweza akakubali mtoto na asikuoe.
Kuna kijana...
Kwema Wakuu!
Hivi hakuna Gari za moja Kwa moja kutokea Iringa au Njombe au Mbeya zinazoelekea Geita kupitia Kahama?
Au ni Basi gani ambalo linapita Dodoma mida ya saa nane au saa tisa mchana likielekea Geita ya Kahama kutokea Dar es salaam?
Majibu tafadhali!
Inawezekana kabisa siku hizi kuna watu wengi hawana uelewa mzuri kwa sababu ya aina styles zilizotumika wakati wazazi wao walipokuwa wanafanya mapenzi. Watoto wa siku hizi wengi hawana akili vizuri.
Chukulia ile style ya "Kalunguyeye" ... Mtoto atazaliwa anaakili za namna gani? Au mkwezi...
MTATIRO AAGIZA MWALIMU ALIYEZAA PACHA WANNE KUHAMISHIWA MJINI
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kuanza mchakato wa kumhamishia kwenye shule iliyoko Tunduru mjini Mwalimu Judith Sichalwe mwenye miaka 29 (mwanamke...
Mkazi wa kijiji cha Luhagala, kata ya Litumbandyosi wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma, Aleyanda Mdendemi (54) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya kwa tuhuma za kufanya mapenzi na watoto wake wawili na kuzaa na mmoja kati yao.
Akisomewa mashtaka hayo na mwendesha mashtaka wa polisi, Inspekta...
Jirani yangu Rosa alijaliwa mtoto mmoja wa kiume. Walimsomesha mtotoekatika shule za gharama na walimpa kila kilichokua katika uwezo wao. Rosa na mume wake walijenga nyumba nadhifu na mume alidariki miaka michache iliyopita.
Kijana wa Rosa amekuwa mtu wa hovyo hovyo asiye elewa thamani ya...
Natafuta mpenzi I mean a girlfriend- awe Iringa mjini au karibu na maeneo ya Iringa, umri uwe kati ya miaka 22-27, asiwe na mtoto Wala kuwahi kuzaa, awe na mwili wa kawaida sio mnene, Wala sio mwembamba sana, rangi yoyote tu Haina shida, elimu yake kuanzia kidato Cha nne na kuendelea, awe...
Habari za jumapili wana jukwaa, bila shaka najua mnaendea vizuri na matatizo yenu.
Kuna hili jambo haliongelewi sana ila linatesa sana vijana. Iko hivi nna rafiki zangu Kama wanne wamezaa tu na wanawake hawajafanikiwa kuishi pamoja, asee hili jambo usiombe likukute ishia tu kuliona kwa wenzio...
Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna binti mmoja kwa Kisambaa, natamani japo anizalie katoto, mimi ni kijana sijaoa ila nina mpango wa kuoa apo mbeleni...
Lengo langu ni kumuoa huyu binti alieko chuo mwaka wa 2, ila sasa nataka azae kwanza, yeye yuko tiyari kwa masharti mawili, la kwanza...
Lilian na Vivian walikuwa majirani, wote wawili wazazi wao walikuwa maofisa waandamizi serikalini. Wote walisoma Kenya shule ya msingi na upili na walikwenda vyuoni Ulaya.
Lilian alibahatika kuolewa baada ya masomo, alipata watoto wawili wa kike na wa kiume. Wa kike aliitwa Tyrana wa kiume...
Siku ya Jumanne baada ya kufanya ya kufanya.
tukiwa tumejipumzisha story za hapa na pale zikiendelea. Tukajikuta tumeingia ktk story za jinsi mara ya kwanza anaajiriwa, Changamoto za alivoenda kuanza kibarua chake Mara ya kwanza kwenye moja ya kampuni za marehemu mzee Mengi.
Akawa ananisimulia...
Nimefungua hii thread niko serios sina utani hata point 1,sitojibu comment ya mtu yeyote zaidi ya PM tu kwa wale watakao kuwa serious na watakaokuwa tayari.
Mimi ni kijana wa 32yrs nimeshakua na mpenzi si mara ya kwanza kuwa na mpenzi,nina mtoto 1 yuko kwa mama yake (nampenda kusiko tamkika)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.