kuzaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bata batani

    Ewe kijana wa kiume wakwe zako wa leo ndio maadui zako wa kesho baada ya ndoa hivyo ishi nao kwa akiri

    Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache 1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama...
  2. FRANCIS DA DON

    Japan yatenga shs. Trillion 120 ili kushinikiza vijana kuzaa kwa wingi

    Takwimu zinaonyesha taifa la Japan (kizazi cha waJapan) kinaenda kufutika kabisa ndani ya miaka 100 ijayo. Hii inatokana na kiwango kidogo zaidi kuwahi kushuhudiwa cha uzazi huko Japan, ambapo kwa wastani mwanamke mmoja anazaa mtoto mmoja, ‘fertility rate ni 1.2’. Maana yake wanashindwa hata...
  3. O

    Bibi wa miaka 63 kuzaa na Mjukuu wake wa miaka 26

    Huu ni ushahidi mwingine kuwa umri ni namba tu kwenye mapenzi na kuzaa ni mipango na baraka za Mungu. Bibi mwenye umri wa miaka 63, Cheryl na Mume wake Quran McCain mwenye umri wa miaka 26 wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza baada ya kuonyesha majibu ya vipimo vya ujauzito kupitia video hii...
  4. GENTAMYCINE

    Pongezi sana kwa Jeshi la Uganda na mengineyo duniani yaige

    UPDF trains 177 Guinea Bissau soldiers in VIP and special operations tactics A total of 177 trainees from Guinea-Bissau, who underwent training in the Very Important Persons and Special Operations Tactics Course, passed out today at the Special Mission Training Centre in Butiaba, Bulisa...
  5. Yesu Anakuja

    Mwenye shida ya uzazi soma download hii doc

    Kuna kipindi nilikuwa sina watoto, miaka nenda rudi, nilitafakari maneno haya na kumwambia Mungu kuhusu haya, Mungu alikuja kufungua tumbo la mke wangu, nina watoto hadi tunapambana kuzuia mimba wasije wengine. Mungu ni wa ajabu sana. WATOTO NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU Mwanzo 1 :28, Mungu...
  6. GoldDhahabu

    Nini kitasaidia mti wa mwembe kuzaa matunda?

    Mwaka Jana, miwili iliweka matunda machache. Mti wa kwanza ulizaa embe 1 na wa pili maembe 2. Ilikuwa mitamu sana. Nilitarajia mwaka huu miti yote 5 ingezaa, tena matunda mengi kuzidi ya mwaka Jana. Imekuwa kinyume chake. Katika miembe yote 5 iliyopo, ni mmoja tu ndiyo uliozaa, tena matunda...
  7. Eli Cohen

    Hivi yule mdada aliodai kuzaa na Lowassa aliishia wapi?

    Siasa ni nzuri kama upo upande wa walioshikilia mpini wa jembe tofauti na hapo utalimwa sana.
  8. G

    Sheria za kikristo zinaweza kumsaidia mwanaume anayehitaji watoto bila kuchepuka baada ya kuoa mke aliethibitishwa hawezi kuzaa?

    Mfano pale Arusha alikuwepo Mr Shayo mkewe alithibitishwa hawezi kuzaa, akakataa kuachwa au kuwa na mke mwenza sababu ukristo hauruhusu, nako kanisa la RC Arusha hawakuwa na cha kufanya, Mr Shayo alizeeka bila watoto mpaka umauti ukamfika. Ikitokea umeoa mwanamke ambae kathibitika yeye hawezi...
  9. Maleven

    Hakuna uhusiano wa ukubwa wa maumbile ya mwanamke na kuzaa kwake au kufanya sana sex

    Based on true story/ based on experience. Kama ilivyo kwa wanaume wenye vibamia na ma tango, the same kwa wanawake, ni suala la ki maumbile zaidi na kukiko kimazingira period.
  10. NetMaster

    Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

    leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo. Utamaduni wa israel katika uliwachambua mabinti katika makundi matatu NA’ARAH ( נַעֲרָה ) - huyu ni msichana ambae bado hakufikia...
  11. GENTAMYCINE

    Hivi Wazee wetu wa kuanzia Miaka ya 70 hawa Mabinti wa 20's na 30's Mnaowaoa na Kuzaa nao huwa hampigiwi na hambambikiwi Watoto kweli?

    Hivi kweli jamani kwa haya Maisha yetu ya Kiafrika ( hasa Kitanzania ) huku Wazee wetu nao wakiwa na Changamoto mbalimbali za Kiafya kutoka na Umri wao huo kwenda wanaweza kuwa na Uwezo wa Kumbebesha Mimba Mabinti wa miaka kati ya 25 hadi 35 na Kuzaa? Je, hapa siyo kwamba hawa Wazee wetu wa...
  12. The only

    Natafuta mtu wa kuzaa nae watoto watatu bila ndoa

    Nimeona nahitaji kupata uzao pia wa aina tofauti . Vigezo Awe na elimu ya form 6 na asiwe amewahi pata four secondary Umri kuanzia 20 hadi 34 Asiwe na zaidi ya mtoto 1 .fursa kwa single mothers watapewa first priority Awe mrefu asiye muathilika . Asiwe muhaya .muha.mgogo .mbulu.au mtu wa...
  13. GENTAMYCINE

    Ipi bora kati ya 'Kudeti' na Mwanamke Aliyezaa tayari au ambaye bado anajitafuta Kuzaa?

    Majibu yenu ndiyo yatanisaidia kuamua niwe na yupi kati ya hawa Wawili niliowaokota Mkeshani Kawe kwa Usiku wa kuamkia leo. Nijibuni upesi ili nifanye Maamuzi Ok?
  14. matunduizi

    Kuzaa watoto wengi bila mpango mkakati wa kuwalea utahukumiwa

    Hakuna idadi ya watoto utakaozaa useme umezaa wengi. Kwa Mwingine watoto wengi kwao ni mmoja. Mwingine kama yule mzee mjaluo wa shirati, watoto wengi ni 38 na mwingine watoto wengi ni 0. Kipimo cha wingi sio idadi bali uwezo wa kuwahudumia na kuwapa malezi yaliyonyumbuka pote kwa usawa bila...
  15. Jogoo mbegu

    Malengo hasa ya kuzaa watoto wengi ni nini?

    Kwa maisha ya sasa sioni kama kuna tija ya kuzaa watoto wengi ni bora watoto wachache ambao utaweza kuwapatia mahitaji yao ya msingi, chakula, malazi, mavazi, furaha na elimu bora. Mbaya zaidi unakuta mtu ana watoto wengi ambapo yeye anateseka na watoto pia wanateseka kwa kukosa mahitaji yao...
  16. nzalendo

    Chawa asema atazaa na yeyote atakayemsema vibaya Rais Samia, Makonda na Jokate

    Msikilizeni wenyewe....Tena kwa mdomo. Yetu macho.
  17. tpaul

    Kesi yenye utata: Binti adai kuzaa na baba yake watoto 3 lakini akana mahakamani

    Kesi ya baba kuzaa na mwanaye watoto 3 imechukua sura mpya baada ya binti huyo aliyekimbilia polisi kufungua kesi kukana mashtaka baada ya kesi kufikishwa mbele ya hakimu huko Rufiji. Awali binti huyo alidai kuwa baba yake alianza kumgegeda tangu mwaka 2019 na kufanikiwa kuzaa naye watoto 3 na...
  18. Ricky Blair

    Hii ya wasichana wadogo kujifungua kwa upasuaji imekaaje?

    Nime-notice hii trend wanawake wadogo wenye rika ya 20 na hadi early 30's uko kuzaa kwa upasuaji wakati mimi ninavyojua hii hufanywaga sana kwa wanawake late 30's au forties huko kwa sababu ya risk mbali mbali. Lakini siku hizi naona imekuwa trend wanawake wadogo kuzaaa kwa njia hii; all my...
  19. Clepatina

    Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  20. Mto Songwe

    Jinsi nchi zinavyo endelea ndivyo ndoa na kuzaa sana zinapoteza nafasi ndani ya jamii

    Kutokana na utafiti uliofanywa na vyombo vya kimataifa kama New York times kuhusu utamaduni wa kufunga ndoa. Unaonesha utamaduni wa kuoa au kuolewa unapoteza nguvu ndani ya jamii zile zinazo endelea na zilizo endelea kwa kasi. Utafiti uonesha vijana wa mataifa yaliyo endelea na yanayo endelea...
Back
Top Bottom