Kwa mujibu wa simulizi za pale bustani ya Eden, baada ya Adam na Hawa kula tunda lililokatazwa, Hawa akapewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu, huku Adam akiambiwa atakula kwa jasho la uso wake. 😂
Sasa cha kushangaza, wanawake wameona adhabu yao haitoshi! Wameamua kuingilia na adhabu ya mwanaume pia...
Wadau na waamini wa biblia na Korani nina swali kwetu
Hivyo vitabu vinasema Mungu alimpa mwanamke adhabu ya kuzaa kwa uchungu sababu ya kufanya dhambi ya kula tunda la mti wa kati katika bustani ya Eden
Naulizia vipi kuhusu wanyama wengine ambao nao wanazaa kwa uchungu, walifanya kosa gani...
Je, ulijua kwamba fisi hupitia moja ya uzazi wenye maumivu na ugumu zaidi kati ya wanyama wote? Fisi jike ana anatomia ya kipekee ya uzazi—kile kinachoonekana kama uume ni kisimi kilichorefuka, kinachojulikana kama pseudo-penis. Sehemu zake za siri zimeungana, zikionekana kama korodani.
Wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.