kuzaa kwa uchungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuzaa kwa uchungu haitoshi, wameona waingilie na Adhabu ya kula kwa jasho ya wanaume

    Kwa mujibu wa simulizi za pale bustani ya Eden, baada ya Adam na Hawa kula tunda lililokatazwa, Hawa akapewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu, huku Adam akiambiwa atakula kwa jasho la uso wake. 😂 Sasa cha kushangaza, wanawake wameona adhabu yao haitoshi! Wameamua kuingilia na adhabu ya mwanaume pia...
  2. JamiiForums Tanzania Kama binadamu kuzaa kwa uchungu ni adhabu vipi kuhusu ng'ombe, mbuzi, nguruwe na wanyama wengine wanaozaa kwa uchungu?

    Wadau na waamini wa biblia na Korani nina swali kwetu Hivyo vitabu vinasema Mungu alimpa mwanamke adhabu ya kuzaa kwa uchungu sababu ya kufanya dhambi ya kula tunda la mti wa kati katika bustani ya Eden Naulizia vipi kuhusu wanyama wengine ambao nao wanazaa kwa uchungu, walifanya kosa gani...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanadamu huzaa kwa uchungu sababu ya dhambi aliyofanya bustanini Eden. Fisi je alikosa nini, mbona yeye ndio mnyama anayezaa kwa uchungu zaidi?

    Je, ulijua kwamba fisi hupitia moja ya uzazi wenye maumivu na ugumu zaidi kati ya wanyama wote? Fisi jike ana anatomia ya kipekee ya uzazi—kile kinachoonekana kama uume ni kisimi kilichorefuka, kinachojulikana kama pseudo-penis. Sehemu zake za siri zimeungana, zikionekana kama korodani. Wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…