kuzaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kutembea na mke wa mtu na kuzaa naye ni kosa kubwa sana

    Yaani inakuwaje unatembea na mke wa mtu mpaka unazaa nae. Hili ni jambo hatari sana katika jamii yetu.
  2. Kwanini wanyama huwa wanakula watoto wao wadhaifu mara baada ya kuzaa?

    Habari wanajukwaa! Ningependa kujua kwa nini baadhi ya wanyama, hasa mamalia na wengine, hula watoto wao dhaifu au waliokufa mara tu baada ya kuzaliwa. Mara nyingi huwa ni tabia ambayo ipo kwa paka, mbwa, fisi pamoja na wanyama wengine, kwani ni vigumu sana kuona amezaa na kukuta vitoto vyake...
  3. Kuishi na Mwanamke na kuzaa naye watoto Si Mke ni Mzinzi Mwenzio,Funga ndoa Utalindwa!

    Ndoa ziheshimiwe na ndio maana halisi ya ndoa. Viungo viwili vya uzazi vinapokutana kitendo ni kimoja ila majina ya kile kitendo yanatofautiana kutokana na mukhtadha! Ukiwa umeoana , mume na mke basi "wanafanya tendo la ndoa'. Ukiwa una mke na mwezio ana mume ila mkakutanisha vioungo vyenu basi...
  4. Umezaje kuzaa watoto wasio na virusi na wewe una UKIMWI??

    Richa ya kua kuna huduma za PMTCT lakini kuna watoto wengine huwa wanapata maambukizi licha ya kua wamezaliwa kituoni. Hai galantii kwamba kwasababu wazazi wako positive na wanatumia ndio watazaa mtoto asiye na maambukizi?!! Nataka njia au evidence based stories za hawa watu
  5. Watu wanaongelea kataa ndoa ila hawaongelei kuepuka kuzaa na wanawake mataahira.

    Aisee mara utasikia kosea nini sijui ila usikosee kuoa. Wakuu, mimi nasema kosea yote lakini usikosee ukazaa na mwanamke kichaa au wa uswahilini. Kuna rafiki yangu ana kila kitu ila alifanya kosa na kuzaa na nusu chizi, nusu taahira. Kila akinisimulia anayopitia namuonea sana huruma, hana...
  6. Hivi wazungu kuzaa mtoto mweusi kama hii picha nn kinatokea??

    Omba isikutokeee sikia kwa watu
  7. Ukioa Malaya/mdangaji kuzaa mabinti Malaya hakuepukiki ni uhakika

    UKIOA MALAYA/MDANGAJI KUZAA MABINTI MALAYA HAKUEPUKIKI NI UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna sababu hata Moja ya maana ya mwanamke kuwa Kahaba. Kuwa Kahaba ni uchaguzi wa Mtu na hakutokani na hali ngumu ya Maisha. Uchaguzi wa Mtu hutokea ndani Kabisa ya nafsi ya Mtu na Wala sio...
  8. Je, ile kauli ya wanawake hawapendani inaweza kuzaa matunda Oktoba 2025?

    Kuna kamsemo huwa kanasikika sana mitaani hasa pale katika uchaguzi mkuu ambapo unakuta Mgombea mwanamke anapata kura asilimia 0.2 ilihali wapiga kura zaidi ya 50% ni wanawake.. “Wanawake hawapendani….” Je, kauli hii inaweza kuzaa matunda Oktoba?
  9. W

    Kuna haja ya kuanzisha utamaduni mpya wa kuchukulia ni jambo la kawaida mwanamke kuzaa, kuwepo sherehe, pongezi na zawadi baada ya DNA TEST

    Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje. Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
  10. Natafuta Mwanamke wa kuzaa nae tu!

    Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo: 19 to 32 years Mweupe na beautiful Mrefu kiasi Sio mnene wala mwembamba sana Mwenye dimpoz Awe tayari kushiriki tendo Mwenye kujua kulea mtoto Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3...
  11. Kuzaa mapema ni kujiongezea majukumu yasiyokuwa ya lazima

    Unakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia. Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake yote ya ujanani mpaka uzeeni anaishi kwa kuteseka, kwa kugharamia familia kwenye mahitaji na elimu...
  12. B

    Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

    Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa. Hata hivyo baada ya muda mchache nilifika Mkoa wa Lindi Wilaya ya Ruangwa kwa PM. Wajameni tunahitaji intervention, hali inatisha...
  13. Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

    Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama. Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema. Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa...
  14. B

    Kuna uhusiano gani? kati ya kuzaa watoto wachache na utajiri versus kuzaa watoto wengi na umasikini

    Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's 👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto...
  15. Mbolea gani inafaa kuweka kwenye kahawa inayoanza kuzaa matunda?

    Salaam wana Jambi,kama kawaida wakati umewadia wa kuingia mashamban. Naomba kuuliza ni mbolea gani inafaa kuweka kwenye shamba la kahawa inayoanza kuzaa matunda? Maana ningekua nikiekezwa umuhimu wa kujua mbolea sahihi.
  16. E

    Ni kosa kuzaa na binamu yako

    Wakuu Ndugu yangu limemkuta (chovyachovya imemponza) Walifanya siri ila leo dogo amezaliwa na wazazi hawajui( mama na mjomba) Sasa nimeombwa ushauri, ila nmemwambia anipe mda maana maza namjua vzuri( hachekeshi) Ushauri gani umfae kwa sasa?
  17. J

    Kabla hujaamua kuwa na mahusiano au kuzaa na mwenza wako hakikisha ni mtu sahihi

    Habari! Leo mchana nikiwa ofisini kwangu somewhere in Dar amefika dada Mwenye umri wa miaka 24 Amekuja kwangu kimakosa alielekezwa aende kwa Afisa ustawi wa jamii wa kata yake kwani ana changamoto za kimahusiano na mwenza wake Kiukweli shauku ikanijia nikamuuliza kwanni unataka kwenda ofisin...
  18. Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

    Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani?? Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel. Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa...
  19. A

    Wanawake washauriwa na mchungaji Christina shusho kuzaa watoto wachache na kupanga uzazi binafsi bila kumshirikisha mwanaume

    Ameshauri wawe wajanja kuzaa kuijaza dunia Mungu hakumaanisha Kuwa na watoto wengi Bali kufanya vitu vingi..pia amedai alikataa Dola za kimarekani elfu 20 kutoka Kwa kigogo alietaka kulala nae..hivi ndo anatangaza dau lake kijanja au anajisafisha mbele ya jamii Ione Kuwa Huwa hadangi
  20. M

    MC Katokisha atangaza ndoa na baby mama wake, why Vijana waliojipata hawaoi mpaka wazalishe kwanza? Wasiotaka kuzaa kabla ya ndoa wataolewaje?

    Habari wadau. Kwa wapenzi wa wedding industry jina la MC Katokisha sio geni. ni Mc mmojawapo wa class ya juu anaechaji hela nyingi kwenye soko la harusi. Pia MC Katokisha ni msomi mwenye CPA, na degree za kutosha za chuo kikuu cha Dar es salaam na experience ya kutosha ya big four firm, Ernst...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…