KUZAA MAPEMA SIO KUPATA MSAADA/SULUHU ZA UZEENI
Anaandika Robert Heriel,
Kionambali.
"Nazaa mapema ili nipate wakunisaidia uzeeni"
Hapo ataanza kupiga hesabu, "nikifikisha miaka 35 mtoto atakuwa na miaka 10, nikifikisha 45, mtoto wangu atakuwa na 20, hapo nguvu zitakuwa zinaanza kuyoyoma...