kuzaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siku ya kuzaliwa Rais wetu leo 27 Januari imeonesha idadi ya wanafiki katika siasa

    Naangalia mitandao na hasa Twitter imejaa salamu za kheri ya siku ya kuzaliwa rais Samia. Hadi Wakenya wanatuma salamu za hongera na pongezi. Najiuliza ni kwa nini kiasi hiki hadi ndani ya serikali? Wana CCM wanashindana kutoa salamu. Huu ni unafiki ili waonekane. Karibuni ni hawa hawa...
  2. Unapopata mtoto katika umri wa miaka 70 uhakika wa kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ya miaka 20 au 30 ni mdogo

    Unapopata mtoto ukiwa na umri mkubwa, kikubwa unachoweza kumpa ni busara ulizozikusanya kwa miaka mingi. Uwezekano wa kusherehekea mahafali yake ya elimu ya juu ni mdogo sana. David Foster mwenye umri wa miaka 73 akiwa na mke wake wa ndoa ya tatu na mtoto wao. Watoto wa uzeeni wana muda...
  3. Kuna ukweli gani kuhusu watoto wanaofuatana kuzaliwa kupenda kugombana?

    Daaaah nakumbuka wakati nipo mdogo nilikuwa nazichapa haswa na mdogo wangu, ila nilokuwa ni kama napigana kwa tahadhari situmii nguvu zote. Yaani dogo aliniona mie kama boya tu, saa ikafika siku nikaamua kutumia full force yani nilimshushia mzigo wenyewe bila kujivunga ndio heshima ikawepo...
  4. Watoto na vyeti vya kuzaliwa zaidi ya kimoja

    Habarini, Wanajamii kuna hili suala la wanawake kuwatafutia watoto zao cheti cha kuzaliwa zaidi ya kimoja. Katika vyeti hivyo unaweza kuta vipo vitatu na kila kimoja kina jina la baba tofauti kabisa. Hii ni kwa sababu ya wao kuendelea kupata hela ya matunzo ya mtoto, unaweza kuta mtoto ana...
  5. Iringa: Ahukumiwa miaka 30 baada ya kushauriwa kumbaka dada yake wa kuzaliwa ili apate utajiri

    Huko Iringa Mahakama ya wilaya ya Kilolo imemhukumu Frank Kigomba miaka 30 na kutakiwa kulipa faini ya shilingi laki 5 kwa kosa la kumbaka dada yake wa kuzaliwa kwa maelekezo ya mganga wa kienyeji ili awe tajiri. Matukio ya kubaka, kuua na kutafta utajiri sasa yamehama kutoka kanda ya ziwa na...
  6. Matatizo yanayotokana ukosefu wa lishe bora kwa mtoto kipindi akiwa Tumboni na baada ya kuzaliwa

    Jamii nyingi za Kiafrika zinasumbuliwa na tatizo ugonjwa wa akili kwasabab nyingi moja ikiwemo. 1. Ukosefu wa lishe bora: Ambapo watoto wanakosa lishe wakina ndani na nje baada ya kuzaliwa ambapo inapelekea kuwepo na changamoto nyingi zinazosababishwa na matatizo ya kukosekana kwa Afya ya Akili...
  7. Je, ni madhara gani nitayapata endapo nikiamua kutotuma hela ya sikukuu ya kuzaliwa kwa Emmanuel?

    Nina wazazi wawili Bibi mmoja(Grand-mother) sina mke Wala mtoto Je nikiamua sikukuu hii ipite kimya kimya na Baada ya hapo kitanipata Nini?
  8. Najuta kuzaliwa Tanzania

    Aisee kwa hizi bata ninazokula huku abroad na maisha ya huku abroad daah sometime najilaumu kuzaliwa Tanzania sio kama nakufuru ila ndiyo uhalisia aisee Mfano halisi kama bata langu nililokula qatar aisee sio poa nchi iko Well planned hamna longolongo kama hizo nchi zenu za kiAfika zimejaa siasa...
  9. M

    Chanzo cha mtoto kuzaliwa na upofu ni nini?

    Wakuu habari za mchana! Naamini huku katika jukwaa letu pendwa kuna watu wenye uweledi na ufahamu mkubwa, naomba mnijibu swali langu hili. "Nini kinasababisha mtoto kuzaliwa na upofu? Je, kuna vitu fulani alivikosa wakati akiwa tumboni? Au mama alitumia vitu/dawa/vyakula/vinywaji ambavyo...
  10. Party ya Siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya Jakaya Kikwete akitimiza miaka 72, Oktoba 7, 2022

    Uwanja wa Polisi Chalinze kwenye kilele cha sherehe ya siku ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete.
  11. ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

    Hakuna sehemu kama Arusha, hali ya hewa safi, wakazi wa arusha wakarimu sana, pesa inapatikana ukijituma utapata,watu wa arusha wajanja, wazungu kwetu washikaji zetu. Natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu,mwingi wa rehema mwenye kutukuka,uliyekuwepo toka mwanzo na utakuwepo mpka milele...
  12. D

    SoC02 Hakuna mtoto wa bahati mbaya, Anastahiki uwepo wako. Kila mtoto anapaswa kuzaliwa kwa wazazi waliotayari kuwa nae

    VIJANA TUNAWEKA AKILINI SANA MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA KITANDANI TU ILA TUKUMBUKE MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA NJE YA KITANDA NI MAKUBWA NA YANAHITAJI MUDA MREFU ZAIDI KULIKO YA KITANDANI SABABU DAIMA TENDO LA NDOA LINA ATHARI ZA DAIMA KWENU NA KWA WATOTO WENU. "Natamani nikipata mtoto...
  13. Napendwa na kila mwanamke mpaka najuta kuzaliwa

    Habari za humu! Mimi ni kijana wa miaka 25, nimekuja kwenu niwaulize mimi kila nikimsemesha mwanamke tu basi ananitaka kimapenzi mpaka nashindwa kuelewa nini maana mpaka imekua kero wanapigana kisa. Mimi situmii pesa yeyote na nakula mbususu 5 kwa siku bila hata ya kugharmia. Naombeni ushauri...
  14. Numerology: Thamani ya tarehe yako ya kuzaliwa

    Chagua tarehe yako ya kuzaliwa kutoka 1 hadi 31 Nambari ambayo ni ya kwanza katika tarehe yako ya kuzaliwa inaashiria msingi, msingi wa kiakili wa utu na inaweza kutuambia kuhusu kile mtu hutoka katika uchaguzi wake. Mmoja anazungumza juu ya watu binafsi, wawili wanazungumza juu ya wanajamii...
  15. Tarehe ya harusi na tarehe ya kuzaliwa: imedhamiriwa kwa kutumia hesabu

    Wasichana wengi hawawezi kubaki gizani kwa muda mrefu na wanataka kujua haraka iwezekanavyo wakati sherehe ya harusi iliyosubiriwa kwa muda mrefu itafanyika. Sayansi ya hesabu inaweza kusaidia na hili, ambayo inakuwezesha kujua tarehe ya harusi ya baadaye kwa tarehe ya kuzaliwa. Wasichana...
  16. N

    Msaada: Kubadili tarehe na mwaka wa kuzaliwa NIDA

    Naombeni, msaada hili linawezekana? Mwanangu majina yote ni sawa na picha shida date birth, je itachukua muda gani na gharama kiasi gani?
  17. R

    Kuhakiki vyeti vya kuzaliwa RITA ili kupata mkopo

    Mwenye kujua nini kinafanyika anijuze please. How long dose it take to get feedback? If the delay is inordinate, what should I do?
  18. Umuhimu wa siku ya kuzaliwa kwa mtoto (birthday)

    Ingawa ni utaratibu wa Magharibi kusherehekea simu ya kuzaliwa, taratibu nyingi tulizoona zinafaa tuliiga kutoka kwa Wakoloni wetu kuanzia Waarabu na hata Wazungu. Siku ya kuzaliwa ni muhimu sana kwa mtoto, hii ni sherehe yake yeye binafsi. Tofauti na sikukuu za dini zinazojumuisha jamii...
  19. Kubadilisha Jina kwenye cheti cha kuzaliwa

    Habarini wabobezi wa hili jukwaa, kuna binti wa shem wangu amesoma shule hadi f4 kutumia majina ya babu yake cause alilelewa na nyanya yk, cheti cha kuzaliwa kinasoma majina ya baba yke mzazi. Navyojua academic certificates kubadilika kwenda kwa jina la cheti cha kuzaliwa ni ngumu unless...
  20. Maisha yangu ni chaguo langu, maisha yangu yamekuwa ni hadithi ya kusimulia. Kila baada ya mwaka mpya. Heri ya siku yangu ya kuzaliwa

    Habari za leo rafiki naitwa Jumanne Mwita, Leo ni tarehe 06/06/2022 Kila ifikapo siku yangu ya kuzaliwa, huwa naandika moja ya makala kwa ajili yangu, kwa sasa nimetimiza miaka kadhaa ambayo kwangu mimi ni miaka mingi kidogo sihaba hapa nilipofikia pia namshukuru Mungu niko hai bado. Miaka hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…