Mwanaharakati Ahmed Kombo, ameahidi kutoa zawadi ya Mbuzi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ikiwa ni pongezi baada ya hatua ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa
"Waziri kitendo cha kufungia mikutano ya siasa, mimi nakutafutia zawadi ya mbuzi. Niko tayari kukabidhi zawadi...
Hilo limesha julikana mnaona spana za upinzani ni kali na misumari ya moto kabisa, hivyo mmeona mjifanye mnazuia siasa vyama vyote, halafu nyie muendelee na siasa kwa kwa mgongo wa ziara za kikazi sio!
Kujifanya waziri mkuu yupo ziara, mara sijui raisi yupo ziara,makamu wa rais yupo ziara ili...
Nchi inapitia katika wakati mgumu sana badala ya kutafuta suruhisho kwa matatizo yaliyojitokeza sisi tunaanzisha mengine.
Hivi nchi Haina wazee au washauri wazuri wa serikali. Kama wapo basi hawaitakii mema serikali na kiongozi wake.
Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya...