kuzuia mikutano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Watanzania wako juu ya Katiba, Katambi yuko sahihi kuzuia mikutano

    Wakati wa vurugu katiba na sheria vinasimama kufanyakazi kusudiwa. Kwenye vurugu na vita hakuna mwenye haki yake, vyote kwa 100% vinapotea ghafla halafu unabakia utawala binafsi, yarabi nafsi yangu. Kama DHAMIRA ya Waziri wa mambo ya ndani, Katambi ni kuzuia haki moja tu ili kulinda haki...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Paternus Niyegira: Waziri Katambi hana mamlaka ya kuzuia mikutano ya Siasa, pia hana mamlaka ya kumuagiza IGP

    Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Paternus Niyegira, ameibua mjadala mzito kufuatia kauli ya hivi karibuni ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi, inayoonekana kulenga kuzuia shughuli za vyama vya siasa nchini Akizungumza kupitia kituo cha redio cha Crown FM, Niyegira...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Paternus Niyegira: Kuzuia Mikutano inatoa tafsiri mbaya, unatangaza maridhiano huku unafunga milango ya Watu Kupumua

    Kufungia Mikutano tunarudi zama ambazo si sahihi za kuleta utengamano wa kitaifa, hatujapona makovu ya Oktoba 29, Serikali inazungumza maridhiano, wakati huohuo inafunga milango ya watu kupumua kufanya siasa Inafanya Sheria zetu haziwezi kuona wahalifu hadi shughuli fulani zisitishwe, wanatoa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Katambi Anatakiwa Kuadhibiwa kwa Kukanyaga Katiba. Agizo lake Kuzuia Mikutano Ni Kinyume cha Katiba. Wananchi Tunatakiwa Kulinda Katiba ya Nchi

    Katiba yetu inatutaka wananchi wote kuilinda katiba ya nchi. Hivyo kila anayetenda au kuelekeza ukiukaji wa katiba, tunatakiwa kumkataa na kujitenga naye kabisa, kwa sababu anatuharibia nchi yetu. Kutekeleza agizo lililo kinyume cha katiba, ni kushiriki uhalifu. Katiba ya nchi ndiyo mwongozo wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Amri ya Katambi kuzuia mikutano: Je Bunge limekosa meno, mahakama imekuwa 'Rubber Stamp na Media zimekufa?

    Wana-JamiiForums, Mnamo Juni 26, 2026, taifa limeshuhudia tamko zito kutoka bungeni jijini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa agizo kwa Mkuu vya Jeshi la Polisi (IGP), Camillius Wambura, kusitisha mara moja na kwa muda usiojulikana utoaji wa vibali vya mikutano ya...
Back
Top Bottom