Ni ukweli usiopingika kuwa kwa miaka mingi ya hivi karibuni katika ligi yetu hapa Tz ukizungumzia kiungo bora na wa kiwango cha juu lazima umtaje chama, amekuwa kwenye ubora kwa muda mrefu japo kuna kipindi ameonekana kushuka viwango hasa baada ya kurejea Simba kwa mara ya pili, vilevile...