Kama ni mfuatiliaji wa aina za Magari yanayomilikiwa na Watanzania walio wengi, utagundua kuwa asilimia kubwa wananunua Magari ambayo ni "Used" tena kwa miaka 10 au 15 nyuma, na yote ni sababu ya wingi wa Kodi za ajabu ajabu kutoka Mamlaka za nchi hii.
Tofauti na ukienda nchi za wenzetu mfano...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Protas aliyependekeza Serikali ianze kugharamia Matibabu ya Wagonjwa wa Kisukari na Tezi Dume ambapo amesema gharama za kutibu Magonjwa hayo ni Tsh. Bilioni 346.42 kiasi...
1. Ni mbaguzi wa Wachezaji
2. Alimkataa Clement ( Warid ) Mzize asiichezee Taifa Stara kwakuwa tu alikataa awe Wakala wake
3. Ni Mtu wa Majungu, Mfitini na Muongo
4. Amechangia pakubwa kwa Mchezaji Simon Msuva kupata matatizo ya kutochezea Timu Kubwa nchini Algeria kutokana na kumkataa asiwe...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema sababu za vyombo vya ulinzi na usalama kutoshiriki kufanya usafi leo kama aliyoeleza awali, imetokana na Jeshi la Polisi kutoa kibali cha maandamano kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Chalamila amesema vyombo hivyo...
Kumekuwa na Tabia ya wanawake wa Mkoani wanapokuja Dar kutaka kupata Mume wa kumuoa.
Hii tabia ipo sana kwa Wanafunzi wa Vyuo vikuu na Mabeki 3.
Ningependa kuwaambia kuwa hilo lengo lenu sio sahihi, na mnajidanganya kwa kiasi kikubwa.
Ukitoka mkoa uje Dar kwa malengo mengine na sio kuolewa.
Kama wewe sio mtaalamu wa kupiga mipira iliyokufa , hutowaweza single maza.
Unajua katika mchezo wa mahusiano sio kila mchezo MTU anaweza kuutawala wote ,hivyo kupiga mipira iliyokufa hiyo kazi wanaiweza wataalamu tu, ikiwa wewe sio mmoja wao usilazimishe..
Huwezi wasikia wataalamu wa hizi...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA
Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!.
Nashukuru sana kwa...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kiukweli nina wadau wangu kibwena sana wanaoishi majuu a.k.a Mamtoni.
Jamaa huwa wananiambia kabla ya kwenda inapaswa nianze kubadili mtazamo,akili na muenendo!,Jamaa wanasema kule inapaswa Ujanja ujanja wa Kibongo na Uongo inapaswa siku naondoka...
Nimetoka kusoma kisa cha mwanamuziki mmoja wa Zambia ambae amejiua na kuacha ujumbe mrefu kwamba chanzo cha kifo chake ni tabia ya mkewe kuchepuka kulikopitiliza ambapo jamaa ameshamfuma zaidi ya mara 15 kitandani kwake akiwa na wanaume tofautitofauti including ndugu, jamaa na marafiki zake...
Hapo vip!!
Kwa awali ya yote niandike kirefu cha TOEFL ni Test of English as a foreign language na IELTS International English language Testing system .
Ndugu zangu awali ya yote niseme tu nasikitika sana kuwepo na kuzaliwa katika nchi kama hii inaitwa Tanzania.
Lakini pia sisi sote ni...
Kila nchi hapa duniani kuna madhabahu na mungu wa hiyo madhabahu. Kila jamii ina ibada na kuna maagizo yakufuata.
Wale ambao wanampigania mungu wao na kupigwa inakuwa na tafsiri gani? Yule mungu kashindwa?
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha Dar es salaam - Morogoro umekamilika kwa 100% na mabehewa zaidi ya 45 tayari yamewasili nchini lakini kilichosimamisha safari kuanza ni kuchelewa kwa vichwa vya treni ambapo hadi sasa...
Tunawapenda na kuwakubali kwasababu hutuwajuwi!
Kuna vitu vingi vinavyoweza kukufanya umpende mtu au vitu vya mtu fulani ambaye wala humjuwi na haujawahi kuonana naye, uandishi wake kama wengine wanavyosema, jokes, uchangiaji wa hoja na mengine mengi tu
Wakati unaendelea kusoma alichoandika...
naomba kutumia mfano wa makinda ya ndege au watoto wa nguruwe!
ukipita kwenye banda ukakuta pako kimya ujue vinanyonya!
kila kimoja kinanyonyo lake mdomoni kinakamua!
Hivi ndivyo ilivyo kwenye vyeo vinavyogongana maslahi kama hivi.
TWENDE PAMOJA KWA SABABU ZIFUATAZO!
Vyeo hivi vya Mkurugenzi...
Elias Patrick, mgunduzi wa Kitonga AI amesema mara nyingi taarifa zisizo sahihi hutrend kuliko taarifa sahihi kwa kuwa fake news zinashika attention ya mtu.
Amesema hayo katika CSO week ambapo alikuwa session ya kuelezea jinsi AI inafanya kazi. Katika kipindi hiko amesema suala la AI...
Nimehaibika Leo ikabidi niache kuendelea kumkaribisha mgeni,nilitembelewa na mgeni Leo nikasema nipike ugali wa kutosha ni work mate wangu ,nikapika ugali na dagaa.
Dagaa nilizikaanga tu na kuzitia limao nikatenga chakula ile kuanza kula mgeni akawa ananipigisha story nikawa namsikiliza huku...
Kwenye sabato ya leo nimepata muda kufikiria mambo ya kiimani hasa suala la motoni na peponi kwa mujibu wa imani yangu ya kikristo. Baada ya kujikumbusha zile amri 10 nimejiridhisha kuwa vijana wa sasa tunaweza kuingia motoni kwa sababu za kipuuzi ambazo nyingi zinatokana na amri ya USIZINI na...
Kwa Wakatoliki, mapadre na maaskofu ni watu muhimu mno kiimani. Pamoja na malezi mengine, watu hawa ndiyo ambao huwaongoza wakatoliki katika sala ya toba na kutoa tamko la msamaha wa dhambi.
Ifahamike ya kwamba hakuna mkatoliki makini anayeweza kupingana na mababa wake wa kiimani, hayupo. Hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.