Wanajamvi Salaam.
Nahitaji kununua gari kwa mara ya kwanza, naomba kufahamu kati ya Toyota Allex, wish na subaru impreza ipi ni gari bora na kwasababu zipi.
Natanguliza shukrani za dhati kwa majibu yenu mazuri.
Wanawake ni viumbe wa mashindano, kwenye ukristo kabla hujamuoa mapenzi huwa ni moto moto maana geti la ushindani lipo wazi, akizingua anabadilishwa.
Utapewa mapenzi moto moto huku nia yake ikiwa kukuingiza kwenye mtego wa ndoa, hapo kwenye ndoa ukishanasa ndio umefunga rasmi geti la ushindani...
Habari,
Ambao tuna jambo letu la shukrani kwa Mungu tukutane Alhamisi hii ya tar 17 Machi, 2022. Mimi nasherehekea mwaka mmoja wa uongozi wa Samia Suluhu maana najua tangu Magufuli afe tarehe 17 Machi 2021 SAMIA SULUHU ndiye kawa kiongozi mpaka sasa.
Ninaweza kuorodhesha mazuri ya RAIS SAMIA...
Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders.
Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada.
Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri...
Rais wa TFF, Wallace Karia amesema ligi za Mkoa wa Dar Es Salaam zimekosa mvuto na umaarufu kwasababu ya michuano ya Ndondo Cup ya Clouds Fm.
Pia akaenda mbali zaidi kwa kusema, Ndondo Cup zinatuharibia wachezaji wa ligi kuu kwani wengi huumia wakiwa wanacjeza huko kwenye viwanja vibovu.
Sasa...
Wanabodi,
Misaada na mikopo iliwahi kuwa mizuri katika kuleta maendeleo haswa katika kipindi cha baada ya vita vikuu vya pili vya dunia. Nchi kama Uingereza na Ufaransa zilipata maafa makubwa sana vitani na kwasababu hiyo ilibidi wapate misaada kujenga uchumi wao upya. Mpango wa misaada hii...
FAHAMU MGANGA ANAKUPA UTAJIRI YEYE ANABAKI MASIKINI
Sababu kubwa kuliko zote mganga anajua madhara ya pesa za masharti, kwahiyo hawezi kuhatarisha maisha yake na familia yake.
Ukienda kwa mganga unataka utajiri atachofanya mganga anakuwa kama dalali wa kukuitia majini watakaokupa huo utajiri...
Tunaweza kusema kuwa kuna uwajibikaji wa kidemokrasia katika utoaji huduma pale ambapo wananchi au wawakilishi wao wanahoji au kutoa mrejesho kuhusu huduma za umma halafu watendaji wa kisiasa na watoa huduma ama wayafanyie kazi maoni hayo au wawajibishwe.
Kutokana na dhana hiyo ya msingi...
Ligi kuu yetu imetawaliwa au niseme inaathiriwa na usimba na uyanga, na baada ya GSM kujitoa, mdhamini yoyote ataefuata hataaminiwa na atatuhusishwa na Simba na mgogoro utaanzia hapo (kukomoana).
Si ajabu mwaka huu tukawa na ligi ya hovyo kabisa huku usimba na uyanga ndio ukiwa chanzo.
Kuna...
Akiwa katika kipindi cha michezo cha Sports Extra ya Clouds Fm, mchambuzi Shaffih Dauda amesema sababu kuu ya Mukoko kuuzwa na Yanga kwenda TP Mazembe ni kadi nyekundu aliyoipata katika mchezo wa Fainali ya FA dhdi ya Simba.
Katika mchezo huo, Mukoko Tonombe alimpiga kiwiko John Bocco na kupewa...
Hivi ukimvumilia mpenzi wako madhaifu yke lakini akawa harekebishiki ukiongea ukimuelekeza anakubali kutii hawezi mkigombana anakuja juu na anakiburi anakuwa naroho yakutaka kukucontroll.
Utafanyaje wadau na unakuta unampenda sana kumuacha inaumiza ukifikiria kufanya hivyo pia naombeni...
Naibu waziri Mwita Waitara akiwa Azam amesema alipata Covid ya wimbi la nne na kupona. Waitara amesema kwa kuwa alikuwa amechanja alipata dawa kidogo na kupona.
Pia Waitara ameongelea mabasi ya mikoani kupandisha nauli na kusema sio nguvu ya soda na wako tayari kwa Januari na kipindi cha watoto...
Angalia jana insta, whatsap na facebook ilivyopotea na watu tukapoteana kabisa. Tusijaribu kuwaita mabeberu mana wameshikilia maisha yetu na imawezekana walifanya hivyo ili waone how do we value them.
Hata case ya Mbowe wakiamua kumwambia samia amtoe gerezani fasta anamtoa vinginevyo wanamute...
Mshambuliaji huyo nimekua nikimfatilia kwa muda mrefu sasa kwenye mechi mbalimbali. Amekua akianza asilimia kubwa sana ya game za simba msimu huu huku mchango wake kwenye upande wa ushambuliaji umekua ni hafifu, uwezo wake hauendani na jinsi wanasimba wanategemea kutoka kwa mchezaji wao hasahasa...
Kuna chembechembe ya damu
zinazokonekti kwa Wana wa Israeli na Kabila la Wachaga ambalo linapatikana Mkoa wa Kilimanjaro, Kaskazini mwa Tanzania. Yapo madai kwamba, Wachaga asili yao ni Wafalasha waliyokuwa na wanaoishi nchini Ethiopia.
Inadaiwa kuwa, Wachaga hao walitokana na uzao kati ya...
Ni lile kundi la watu ambao tulisoma nao shuleni na vyuoni, walikuwa serious sana na elimu na waliweza kuwa na matokeo mazuri sana, wengi walisifika kwa kuitwa majina maarufu kama vipanga.
Katika fikra za wengi hawa walikuwa wanaonekana tayari wana future nzuri maana wakimaliza tu elimu zao...
A. KUPIGA & KUGOMBEZA WATOTO KWASABABU YA UWEZO SHULENI NI UJINGA
Unakuta mtoto kila siku anaenda shuleni, anahudhuria kila kipindi, anafanya home work, n.k. ya nini kumchapa au kumgombeza huyu pale anaposhika namba za kawaida au chini darasani. nimesema namba kwasababu ndicho kigezo ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.