......
.........
............
Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam.
Ipo hivi.....
Jana wakati tunatoka shambani kidogo niliona mabadiliko kutoka kwa mamaenu (waifu). Alikua mtu mwenye hasira sana, basi nikamuuliza kipenzi changu kulukoni...??
Akanijibu kwamba hawezi akawa na...
Maendeleo makubwa ya kisekta yaliyoshamiri kila kona ya nchi, ni kwasababu ya Amani na Utulivu uliopo.
Mipaka iko salama chini ya vyombo imara vya ulinzi na usalama.
Uhuru wa maoni, habari, haki, demokrasia, upendo, usawa, utengamano, umoja na mshikamano miongoni mwa wa Tanzania ndio hasa...
Uelewa mdogo wa watu unachangia kwa hili kupotoshwa.
Upinzani Tanzania unakuwa sana lakini sio kitu kibaya kwa nchi wala chama tawala. Kukuwa kwa vyama vya upinzani ni kukuwa kwa demokrasia na sio kweli kila kukuwa kwa upinzani kunatokana na CCM kufanya ubaya. Bila watu wa CCM kuelewa hili...
Kwenye kuishi tunakutana na mengi sana. Unaweza kuwa na nyumba yako kali na maisha yako safi tu ila aina ya Majirani wanaokuzunguka wakafanya uone kero ya maisha na kutamani kuondoka eneo hilo ila unashindwa kwasababu ndio ushajenga hapo.
Tupe experience yako eneo unapoishi au wewe naye ndio...
Fuatilia yanayojiri kwenye Kikao cha Wajumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Wahariri wa vyombo vya habari, leo Julai 20, 2024.
Kikao hiki kinafanyika Ikulu ya Dar es Salaam.
Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inaongozwa na...
Kama kichwaccha habari kinavyojìleza, wote tunaokunywa pombe za ķujificha tukutane huku tusingoje yatukute yaĺiyomkuta mzee wa upako, najua wengì tunatamani kuacha pombe lakini tumenaswa mahali.
Tumeishia tu kusema hii ndio chupa yangu ya mwisho, kesho sinywi tena, na akili źikiturudia...
Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwasababu ni starehe ya mtu binafsi na maisha yake mwenyewe. Mtu amezaliwa mwenyewe na atakufa mwenyewe kwa wakati wake hivyo basi starehe zake binafsi aachiwe mwenyewe kwasababu hajalazimisha watu washiriki nae...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
Wiki iliyoisha nilikuwa na mtoko wa kuelekea mahali fulani,nikasema siwezi kwenda huko bila kutupia mitupio ya Ki-Jentromeni,nikaona isiwe tabu nielekee Kariakoo ambako ningepata mavazi mazuri kwa bei nzuri iliyoendana na bajeti yangu.
Sasa nilipofika...
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chadema, Ruth Mollel amesema katika mkutano wa baraza kuu uliofanyika Mei 11 mwaka jana, walilazimika kupiga kura za wazi kwa kuwa kulikuwa na dalili za rushwa.
Mollel alieleza hayo jana wakati akihojiwa maswali ya dodoso na Wakili Ipilinga Panya katika kesi ya...
Form 4 & 6nimemaliza mwaka 2015 &18 respectively umri ni 26.
Hawa jamaa wamekosa vigezo vyote vya kunizuia wakatafuta hata ambavyo havipo kwenye vigezo vyao wenyewe.
Hii sababu haikuwepo na haipo kwenye guidebook ya mwaka huu
Nawashitaki
Is there any lawyer for hire out there?
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
Sikupaswa kuandika hapa lakini kwasababu umeamua kuniblock huko pm kila nikikuandikia sms haziendi,sasa nimeona nije public ili ufahamu ya kwamba wewe unayejiita GENTAMYCINE nahitaji tukutane tukiwa wawili tu kwa ajili ya kutibitisha mimi na wewe nani...
Ndugu zangu naomba tuache kutumia hii phrase ya sukuma gang ni kweli magufuli alifanya mambo ya hovyo sana katika historia ya nchi yetu na ndipo waungaji mkono wake (wema kwa wabaya) wakaitwa sukuma gang lakini honestly magufuli sio Msukuma kwa kabila hivyo tuache kuwanyanyapaa wasukuma kwa...
"Systemic problems requires systemic solutions"
Kuna tofauti kubwa kati ya kiongozi aliye kulia kwenye mazingira ya kimasikini kama watanzania wengi, anakuwa na uwezo wa ku 'sympathize' na matatizo yao.
Sasa hawa vijana waliokulia kwenye majumba ya serikali huku familia zao zikilipiwa kila...
Rejelea kichwa cha habari. Kuna haja ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuvujwa kwasababu hauna faida yeyote Tanganyika. Tangu muungano huu Zanzibar ndiyo imekuwa ikinufaika kutoka Tanganyika lakini Tanganyika haijawahi kunufaika kutoka Zanzibar.
Zanzibar wamekuwa wakichota mchanga na mawe...
Hey Guys!
Mnaendeleaje, Poleni na majukumu, naomba mawazo yenu juu ya hii changamoto hapa.
Hivi ni sahihi kumuacha mpenzi wako aliyekucheat na kama ukiamua kumsamehe ni muhimu kufahamu kuwa mahusiano yao na huyo aliyecheat nae yameishia wapi?
Madhara ya sigara:
Ocean road pale hospitali ya cancer wapo wagonjwa wengi wenye kansa ya mapafu, fizi, koo, n.k. kwasababu ya matumizi ya muda mrefu ya sigara. Cancer inaharibu koo kiasi kwamba wengine wamechomolewa makoo wanaongea kwa kuwekewa mashine, sauti inatoka kwenye spika
Watu zaidi...
Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa Victoria) Km 3.2 kwa gharama ya Ths. 700 Bilioni wakati kuna njia mbadala kuna vivuko. Uwanja wa ndege...
Tutapata muda kujadili taarifa ya ripoti ya CAG. Lakini tusiache na kujisahaulisha kwamba Rais Samia ndiyo aliagiza ripoti iwe na uwazi zaidi ili serikali iweze kufanya maamuzi. Sasa tusije kuona kama vile haya ni ya ajabu ni kwamba ufisadi ulikuwa unaelezwa kwa mafumbo fumbo huko nyuma na sasa...
Wanaume,
Nipo hapa kuwakumbusha kukaa mbali sana na Wake za watu. Leave them alone.
Haijalishi ni yeye ndio amekupenda au anakusumbua sana. Unapaswa KUACHANA NAE. hata mazoea nae yakatae.
Bado kuna Wanawake wengi warembo/wazuri wako single na wapweke. Na wanahitaji sana Upendo, Mapenzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.