Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia?
Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama...
Lazima tu kwa magari yote yaliyopaki ama yaliopo nje ya kanisa la Kilutheri Tumbi hapatakosekana yenye Dashcam.
Pia njiani kuelekea kwenye pori tengefu lazima hawa watekaji na wauaji walipishana na magari lazima kulikuwa na magari tu yenye Dashcam.
Polisi watoe wito wote wenye magari yenye...
Siku moja tangu utokee mkwamo wa upatikanaji wa mtandao wa Clubhouse nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema haikuufungia bali kulikuwa na changamoto za kiufundi, lakini umesharejea. Mtandao huo ambao watu huutumia kuwasiliana kwa sauti, kufanya mikutano na mijadala mbalimbali...
Ukweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike.
Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wa kiume.
Wa kiume hela zao ni za kulisha na kunywesha na kustarehesha wanawake
Pia wanawake tunaroga sana wanaume ili tupate control ya...
Habari,
Naomba msaada wa mawazo. Nimeitwa kwenye usaili lakini nimeshindwa kufika kwasababu ya uzazi (nimejifungua hivi karibuni) hivyo nimeshindwa kusafiri.
Kuna kitu ninaweza kufanya, mtu ninayeweza kuongea naye au ndio imekula kwangu?
Wakuu
Sisi wana jf ni watu tuliokwiva katika masuala mengi hasa ya mahusiano
Case nyingi tumekuwa tukizi solve japo kimasihara ila ndo ivo tunatua
Sitegemei kuja kubaini member wa jf ameua au kujiua kwasababu ya mapenzi nitachoka sana
Sasa basi tujadili wwe kama wewe utafanyaje kuepusha...
......imeandikwa kuwa " mume ampende mke na mke amtii mume". Na isiwe kinyume chake. Mke hapaswi kupenda bali kupendwa, na kazi ya mke iwe ni kutii kama jeshini vile.
Lakini bahati nzuri ni kwamba, mwanume akimpenda mke automatically atamheshimu mkewe, na mwanamke akipendwa na kuheshimiwa...
Iran inaelekea kuishiwa kabisa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi katika vyuo wanaogopa kusoma nuclear science.
Hii imechangiwa na operesheni za Israel ambapo wataalamu wa mambo hayo wamekuwa wakiuawa.
Kwako Wizara ya Nishati,
Rejea Tangazo la ajira za shirika letu la mafuta, TPDC. AJIRA MPYA -
Shirika limetoa ajira nyingi za kutosha lakini kuna baadhi ya fani za mafuta hazijatajwa kwenye Tangazo hilo ilihali watu wa fani hizo wanaweza fanya kazi hizo.
Tunazo fani nyingi za mafuta na gesi...
Habari wakuu
Nimekuwa na msemo mkubwa sana ambao umekuwa ukitumika sana, "tafuta pesa". Hasa linapokuja masuala ya kuhonga, lakini ndugu unaweza ukajisifu unahonga ila kuna watu wanahonga sana wewe cha mtoto.
Ngoja niwape kilichomkuta jamaa yangu, kilinisikitisha, nisingipenda nitaje majina...
Ukifuatilia wenye mafanikio makubwa Sana hapa nchini ni watu wa kawaida Sana kielimu.
Hii unamaanisha kwamba tangu siku walipogundua kwamba hawana elimu kubwa waliamua kujisemea moyoni kwana natakiwa kua na vitu vikuu vitatu:
UWAJIBIKAJI
UAMINIFU
NIDHAMU YA FEDHA
Haya ndio Mambo tunayo wazidi...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia
Kutokana na ombi hilo kamati ya utendaji ya Yanga ilikutana leo katika Hotel ya Serena na kukubali ombi hilo la Bw Senzo
Mkataba wa Senzo na Yanga unamalizika tarehe 31/07/2022...
Kama kawaida yenu ya Kujisifu ( Kujimwambafai ) Kizembe na kupenda Kudanganya Mashabiki wenu Oya Oya ( Washamba ) wengi leo mmedanganya tena kwa kusema Klabu yenu ya Jezi Mbovu na Kituko FC FC inamleta Kocha Pitso Mosimane katika 'Wananchi Day' yenu.
Ukweli ni kwamba CEO Wenu Jezi Mbovu na...
Nina muda kidogo tokea niwasili mkoa huu wa Mara kwa kazi maalum ambayo itaendelea kuniweka uku kwa miezi kadhaa.
Kabla sijafika uku na ata baada ya kufika, nlishapata taarifa nyingi kuwa mkoa huu kukatwa mapanga kwasababu ya wanawake ni jambo la kawaida sana. Yaani mtu anaweza kukuchinja kisa...
Mchaga ana mambo yake meusi lakini hata yakiwekwa hayo mambo kumi, bado uchawi hauingii kwenye orodha, hata kwa watu tuliowahi kuishi nao Moshi na Arusha tunawajua upande wao mweusi ni utapeli, wizi (hapa wapo hadi majambazi sugu), visasi, ulevi uliopindukia, n.k. lakini maswala ya ushirikina...
Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba zenye rangi za upinde (rainbow flag).
Idrissa inaeleza kuwa hakutaka kucheza mechi hiyo sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.