Pesa ni muhimu aisee, pesa hainunui Kila kitu ila inakamilisha mambo mengi sana, ikose ujue namaanisha nini.
Nakumbuka kuna kipindi nlikuwa sina pesa nlikuwa nashindia kiazi utamu kilichochomwa, nashushia maji ya bombani, hicho kiazi ndio msosi wa siku nzima.
Nimewahi kukaa na chaja ya...