2:International storage : 1tb( 1,000)
3: Model : Hp
4:Color : Gray
5: Mideum width.
6: With webcam
7: Inakaa na charge zaidi ya 2hrs.
8:Angalia picha iliyoambatanishwa.
Inapatikana Arusha -Tengeru (kama upo nje ya Arusha, tutafanya utaratibu wa kukutumia)
Mawasiliano....0784355775
Laptop yangu aina ya Dell Inspiration touch screen, intel core i7, 15.6', 8GB RAM imepasuka kioo.
Ilianguka kisha nikawapa watu wa it office wakawapatia vijana wa field wameiharibu sasa nataka expert aniwekee screen mpya.
Kama yumo humu aniambie bei ya hiyo touch screen ni kiasi gani au kama...
Habari wakuu.
Kama mada inavosema.
Nipo interested na hizi models;
HP ELITEBOOK 840 G2 (Touchscreen)
HP ELITEBOOK 840 G3 (Touch Screen)
HP ELITEBOOK 1030 G3 (Touchscreen)
Hp Spectre X360
Kama unayo moja kati ya hizo models tuambizane kwenye huu uzi
Model: LENOVO IDEA PAD Z585
Processor: AMD RADEON A10-4600M (pic attached)
Harddisk: 500Gb
Ram: 4Gb
Screen size: 15.6inch
Dvd slot: Available
Battery: 5hrs
Display 15''
Runs on Windows 7 Professional ACTIVATED
PRICE : Tsh 550,000 Negotiable
Call or Text 0713 985936
wakuu nimejaribu ku search lakini sijaona uzi unaozungumzia hii issue ya kununua laptops na sim online.
nataka kununua laptop moja lenovo x270, soko la bongo hapa kariakoo nilziona duka moja pale mtaa wa kongo ilikua inauzwa 370k lakini sikua na pesa. sasa nikiicheki ebay, minimum price ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.