Habari wana JF,
Naombeni ushauri nataka kununua laptop kwa ajili ya graphic designing.
Je, ninunue laptop ipi?
Naomba ushauri wa brand na aina. Mkifanya description kubwa mtanichanganya.
Mfano ukisema lenovo thinkpad T350, inakuwa rahisi kwa mimi kwenda madukani na kuitafuta.
Bajeti yangu...
Habarini wakuu
Naomba kujua fundi mzuri na wa kuaminika wa PC Kwa Dsm upande wa hardware na software hasa maeneo Tandika au Temeke ikishindikana maeneo Hayo basi kokote ndani ya Dsm
Nawasilisha
Wadau nmekuwa nikisafiri sana ndani na nje ya nchi kutokana na nature ya kazi zangu. Changamoto ninayoipata ni kuangalia VPL kupitia Azam.
Mara nyingi natumia App yao kuangalia mpira kupitia kwenye Simu.nikapata wazo la ku connect na laptop iwe ndo display ili niwe naangalia kwa ukubwa zaidi...
Naomba kujua ni kifaa gani kama ni betri au ups ambacho kinaweza kunisaidia kutumia laptop yangu kwa muda wa saa 24 pale umeme unapokuwa umekatika, kitu kama ups ila kiwe na uwezo huo wa kukaa saa 24.
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei nafuu. Kwa sasa tumeleta computer zifuatazo:
1. Lenovo ya kuzungusha screen. Sifa: Hard disk 160GB, ram 4...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za wizi baada ya kuvunja Mahakama ya Wilaya ya Njombe na kuiba vitu mbalimbali vya ofisi hiyo ikiwemo Laptop tatu (3) na Sukari kiasi cha Kg 25, waliokamatwa yupo aliyeiba na mwingine aliyeenda kuuziwa Laptop hizo.
Taarifa...
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei nafuu. Kwa sasa tumeleta computer zifuatazo:
1. Lenovo ya kuzungusha screen. Sifa: Hard disk 160GB, ram 2 gb,zinakaa...
bei 350k imepungua to 300k
location mwenge mpakani 0787202143
used Dell latitude e6430 nzuri for gaming and graphic
processor :intel Core i7-3520qm clock speed 2.6 GHz and 3.6 GHz with turbo boost
ram 8 gb
hard disk 500gb
2 graphic card
1.intel hd 4000;
2.NVIDIA nvs5200m (1gb dedicated)...
COMPUTER ZIMEWASILI TOKA U.S.A
Drone Computer tumekuwa kwa muda mrefu tukitoa ushauri wa computer, mafunzo ya kutumia computer,matengenezo ,kuwaletea sample za computer bora.
Wiki hii tuna computer zifuatazo. Piga 0713-039875 kuwahi bei hizi za ofa kabla ya wikiend kuanza.Au fika Ofisini...
Habari ya majukumu wadau.
Kama ambavyo title inajieleza, Laptop yangu imegoma kuwaka na taa ya charge ina blink throughout.
Nimejaribu kutoa battery na kuunganisha charge moja kwa moja lakini bado ile taa inablink. Pia nikirudisha battery ile taa inaendelea kublink throughout hadi niiondoe...
Habari yako,
PC yangu kwa muda sasa kila nikijaribu kuconect internet kupitia simu yangu inasema "Limited" na status yake inasema "unidentified network" na "no internet access", natumia windows 8.
Nimekuja hapa kuomba msaada wenu wa jinsi ya kulitatua tatizo hili.
HP Laptop min 1104 inauzwa
dual core
hardisk 160
inch 10
RAM 2GB
ipo na charger yake
ni laki 150 tu mtu anashida
tatizo la pc ni keyboard tu na keyboard ni elfu 30 wanauza
karibuni sana nipo Dar Mbezi ya Kimara
0656804462
Kuna PC yang HP Elitebook ile ya Fingerprint ina muda sijaitumia. Sasa juzi naiwasha inawaka vizuri kabisa tatizo ni keypads mpaka ulong press ndo inakubali yani ukibonya keypad inapiga kimlio flani hivi mpaka ubonyeze bila kuachia ndo herufi ina respond.
Je, yaweza kuwa tatizo window nibadili...
Wakuu habari ya uzima na poleni na majukumu yenu ya kila siku,
Wakuu nataka kuanza kutumia whatsapp version kwenye laptop yangu badala ya simu, Je kuna mwanajukwaa ambaye alishawahi kutumia apps ya whatsappp kwenye laptop? alifanyaje?
Asanteni.
🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.