Dell inspiron
hard disk 250GB
Ram 2GB
c
duocore
battery: 1hr
location KARUME DSM
price: tsh 200000
contact: 0757870230
ni mashine kali haina kipengele chochote. karibuni tufanye biashara.
Karibuni pia kwa matengenezo ya computer na tunauza laptops/desktops used na vifaa mbalimbali vya computer...
Heshima kwenu watalaamu wa jukwaa hili,
Nina Budget ya 800K ninahitaji laptop. Majukumu maalum ni kama Kutumia Softwares kama AUTOCAD, CIVIL 3D, STAAD PRO, MATLAB na program baadhi za Engineering ambazo sijazitaja.
Nahitaji laptop bora kwa hio gharama kikubwa iweze kurun hizo programs...
Screen ya laptop yangu ina tatizo, inatoa mistari ya blue na kijani, mieusi au rangi zingine na kuchezacheza -- mawenge, hii mistari ni vertical au horizontal, cursor inastick muda wote na hata screen yenyewe ina crash.
Nimejaribu kusolve hili tatizo kama la software lakini bila mafanikio. Bila...
~Husika na Somo tajwa
Aina: DELL
Model: 630
RAM: 3GB
HDD: 80GB
Display: 13inch
USB PORT: 4
HDMI: 1
VGA: 1
JACK: 3.5mm
Wireless: yes
Na sifa nyinginezo kibao '
~Price 250k ( 250,000 )
NB: Inafaa kwa matumizi yote ' ipo katika hali nzuri as New
Na haina tatizo lolote
Mawasiliano...
Lenovo X 130 Hdd 320gb, ram 4gb, battery 3 hours, price: tzs 350,000 ya wiki hii kabla ya wikiend. Tuko Kariakoo jirani na China plaza
piga 0713039875 kuwahi ofa hii
Uvumililivu ulinishinda kiukweli.
Yani jamaa nilimkopa Novemba 28, kaja mikono nyuma kichwa chini na sauti ya kinyonge nikamkopa kiasi alichohitaji.
Baada ya kumaliza shida zake mshahara wake akapokea ila kimya, nilimwinda sana lakini nikimpigia hapokei, nikituma sms hajibu, whatsapp status...
Kwema Viongozi,
Laptop yangu haiwaki kabisa. Naombeni kujua shida inaweza kuwa ni nini?
Nimejaribu kubadili charger lakini hakuna mabadiliko.
Nb ni ina 8yrs now hp 650
Habarini ndugu,
Kwa anayejua mtu anayeanza chuo mwaka wa kwanza kwa ngazi ya degree ya medical doctor kuna umuhimu wowote wa kuwa na laptop? Kama jibu ni ndio je kitu gani kingine anachotakiwa kuwa nacho kama sehemu ya kumsaidia kwenye masomo yake?
Msaada kwa hili.
Wakuu binafsi nna disk moja tu local disk c. Na vitu nimeviweka hapo lakini naskia sku window ikizingua ukirepair kila kitu kinaenda je ni wapi salama?nizihamishe?
Mwanzo nilikuwa nmeweka kwenye folder la desktop, ila nikaambiwa ni hatari.
Habarin wana jamii forum nina laptop yngu apa chaji yake sijui imepatwa na nn kile kitaa cha kijan hakiwak pia inatoa bipping sound hata nikiichomeka kwa laptop moto hauend nifanyaje wadau maana laptop yngu battery mbovu bila umeme haiwak na nina kaz kibao za kiofisi
Wapendwa Wana jamvi,
Nimeamka na dharura ya kumsafrisha mgonjwa na Mambo yangu siyo mazuri.
Nalazimika kuuza laptop yangu( Kama unaweza nisaidia kupata mtu wa haraka wa kuniokoa)
Walau kufikia jioni niwe nimepata mteja.
Specifications za laptop"
👉HP probook
👉Hard disck 400GB
👉Processor...
Natumaini siku inaenda sawa kabisa upande wenu.
Ndugu, Wajuzi wa Mambo naombeni utatuzi wa PC yangu aina ya dell.
Ghafla imepata tatizo la kushindwa kudisplay kama ilivyo kawaida na kuanza kuonesha giza tu au sometimes inadisplay kwa umbali sana, ila vitu vingine vinaonesha vinaoperate kama...
Habari wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa na familia zenu kwa pamoja iitikieni salamu😁
Nahitaji laptop(acer,hp,lenovo na asus) used na iwe kwenye condition nzuri iwe na sifa zifuatazo
1. Iwe na Intel I series(i5 kuendelea) na gen ya 4 kwende juu
2. ram gb4/8
3. HDD/SSD(500/258)
4. ikiwa...
habari wadau
natafuta mtu anayeweza kukodisha laptop kwa mwezi, kuna kazi nataka kuifanya mara moja,tutaingia mkataba na nitamlipa pesa yake kama tutakavyo
kubaliana ,ambaye yuko tayari anicheki kwa namba yangu 0687234549 asanteni.
note:laptop iwe na ram 4 na processor 2 kuendelea,yani iwe...
nauza SSD mpya zenye ukubwa wa GB 240 kwa ajili ya laptop na desktop, SSD hizi ni brand ya kingston (A400) unafungua mwenyewe zipo sealed na hazijawahi kutumika. hii model imetoka amazon na sasa hivi ndio ssd inayouzika kwa sana Duniani, kwa wale wanaotaka kuhama toka HDD. unaweza kuiangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.