Wadau habari za Asubuhi, kama nilivyoeleza hapo juu nauza laptop yangu kwa tsh 400,000 ni mpya kabisa aliyotayari anichecki kwa namba ni 0673167251 specifications zake nimeattached.
Karibuni.
Drone Computer tumekuwa kwa muda mrefu tunawashauri watanzania juu ya elimu ya vitu vya ki-electronics hususani computer ikiwemo mambo ya kuzingatia kabla ya kununua, vitu vya kufanya na vitu vya kuepuka ili kifaa chako kidumu kwa muda mrefu n.k. Na leo tunakuletea elimu ya computer zainazotosha...
Habari wadau, nauza laptop Aina ya HP
Specifications
Hard disc 1TB
Ram 8gb
Processor 2.0ghz
Core i 3
DVD /CD rwr
BEI Tsh 350000/=
Mawasiliano 0783696253
Haina tatizo lolote
Wale woote wanaohitaji laptop za kuanzia laki mbili na nusu, zimekuja zipo pc 3
Sifa zake ni: hdd 80,ram 2gb,3 hours battery, warranty one year, bei tzs 250,000
Tupo Kariakoo , pia tuna tawi mbezi mwisho stand. Pia unaletewa ulipo Dar es salaam na mikoani tunatuma.
Piga :0713 03 98 75 kuwahi...
Jamani naomba mnisaidie matatizo haya kwe HP laptop
1. cursor inaganda na kutembea hovyo kwenye monitor kila nikichomeka adapter kuchaji hivyo inanilazimu kuchaji ndio nitumie tatizo limeanza baada kuharibika adapter ya mwazo hii mpya inasumbua
2. Microsoft office app zangu ikifungua...
Wana JF, natanguliza shukrani za dhati kwenu. Pia, tuzidi kumuomba Mungu kwa kipindi hiki kizito tunachopitia #Covid19
MADA
Kama ilivyo ainishwa hapo juu, nina tatizo la kufanya screen recording katika PC yangu. Nimejaribu kutumia software ya CAMTASIA 2018; shida ni kwamba PC inakuwa nzito ku...
Tuna ofa ya laptop mpya kwa Africa, used in u.S.A, bei zipo ofa toka laki 4 kwa wikiendi hii tunauza laki 3 tu. Sifa zake: hard disc 320GB, RAM 4GB, ina camera, 3 hours battery na inasupport wifi ya simu kwa internet na warranty one year. Tupo kariakoo jirani na china plaza. Unaletewa ulipo. Pia...
Nina laptop unayotumia adapter ya USB type C na simu ya charger ya USB type C.
Sasa naomba kuuliza je naweza kutumia hii adapter laptop kuchhaji simu?
Kuna siku nilijaribu ila ofisini pale mtu mmoja akanitisha kua nitaua simu au itaungua ingawa alienipa tahadhari sio mtaalamu wa mambo ya umeme...
Habari wanajamvi,
Natafuta laptop charger tajwa hapo juu. Zingatia zifuatazo:
1. Laptop Charger iwe mpya
2. Nitajie bei inbox (PM)
3. Risiti iwe ya EFD kwa kuwa nanunua kwa ajili ya taasisi
The sooner the better.
Jioni njema
Utangulizi
Ni kampuni ndogo ya IT inayojishughulisha na ku manage website na ku manage kurasa za mitandao ya kijamii ya makampuni na watu binafsi, hivyo tunahitaji kuongeza watu zaidi kwenye timu yetu kwa ajili ya kutusaidia shughuli za kila siku.
Ajira
Wanahitajika watu wanne kwa ajili ya...
Nataka niingie katika boot setup ya laptop yangu..lakini kila niikiwasha na ku press F2 au del ili niingie setup option hairespond chochote.nimejaribu kutumia keyboard ya nje napo holaa..nifanyaje wakuu ili niingie kwenye bios setup?
Lengo langu ni kuselect boot option iwe kwenye usb drive...
Habari wakuu
Baada ya maombi ya muda mrefu, Drone Computers tumeamua kuanza kukodisha laptop kwa watu wanaofanya miradi ya muda mfupi kuanzia miezi 3 na kuendelea. Aidha kila laptop italipiwa pesa ya tahadhari kufidia uharibifu endapo utajitokeza au upotevu wa laptop.
Kiasi hiki kitarudishwa...
Wakuu baada ya mods kuficha uzi wangu kisa hauna picha nimerudi tena maana mda ule tatizo ni kua freebasics iligoma kuapload picha
Sifa za laptop ni zofuatazo
Model:HP G2 X360
128ssd storage
Processor: intel celeron n series 1.6ghz
4gb ram
OS:Windows 10 pro 64 bit
Battery 5hrs of excesive usage...
Wasalaam,
Nimepata changamoto kuna laptop imekuwa ikitumika, lakini changamoto nimeikuta ni kuwa nikijaribu kuprint document iliyo kwenye PDF &Excel inashindwa kusoma printer zilizopo.
Nimejaribu kuprint kwa Word document yenyewe haina tatizo. Je, kuna shida ipi inayopelekea PDF na Excel file...
Used Acer laptop for sale
250,000/=
2 Laptop speakers
Intel(R) Core(TM) i5 CPU M 480 @2.67GHz
RAM : 6.00 GB
System Type ; 64 - Bit Operating system, x64-based processor
WINDOWS SPECIFICATIONS
Edition : Windows 10 Home
Version : 1803
Installed on : 20/07/2018
OS bild : 17134.1006
FAULTS
Laptop...
Hii ndio husemwa kuwa Dadavuzi mpakato ya kwanza duniani, Grid Compass (clamshell laptop) ambayo iliundwa mwaka 1979 na William Moggridge, kwa ajili ya Grid System Corporation ya Marekani. Ilianza kutumika mwaka 1982 ilikuwa na RAM ya 512K
Je una laptop iliyovunjika kioo
Nina laptop mbili za Dell inspiron 15
Zote zimeharibika nauza vifaa kwa bei cheee.
Vimebaki vioo viwili vya laptop 15.6" (inch 15.6)
bei ya kioo nitakufaanyia kwa 90,000 tu pamoja na kukufungia
pia nina keyboard nzimaaa
Keyboard nauza 40,000...
Nauza laptop aina ya dell
Inter core i3 RAM GB 4
Internal storage GB 300
Generation ya 3
Charge masaa 4
Bei 350,000
Karibu kwa mawasiliano piga 0715796040 au follow WhatsApp
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.