Laptop Inauzwa
Ni SAMSUNG LAPTOP
RAM 4 GB
Processor 2.4GHz
HDD 360GB
Betri yake nzuri sana inakaa na chaji masaa 4
Bei ni 260,000
Location ni Dar es salaam, Mbezi mwisho.
Mawasiliano 0752026992
Nauza laptop yangu ambayo nimekuwa nikitumia kwenye mambo yangu ya maswala ya IT.
Ipo vizuri, japo kuna marekebihso kidogo utakachofanya, ni marekebisho ambayo hayaathiri utendaji wake, ni kubadilisha mkanda kwa gharama isiyozidi tsh elfu 20.
SPECIFICATION
Model: Dell Latitude E5470
Processor...
Hii ni kushindana vizuri zaidi na iPad za Apple ambazo inatawala soko la tablet na kuongeza ufanisi kwa kuwa na OS moja ambayo inafanya kazi kote simu, tablet, laptop, tv, magari etc.
Kazi hii itachukia miaka kadhaa na Chrome itabadilika pole pole kuwa Android...
Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel.
China ndipo vilipo...
Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa
Device: Renovvo
Processor - 2.16 GHz
RAM - 4GB
EDITION - Window 10 pro
Version - 22HZ
CONDITION: Used like New
BEI : 250,000 (njoo tuongee)
0687900668 namba yangu
Napatikana hapa chuoni Dar es salaam Tumaini university (DAR TU) mwenge
Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa
Device: Renovvo
Processor - 2.16 GHz
RAM - 4GB
EDITION - Window 10 pro
Version - 22HZ
CONDITION: Used like New
BEI : 280,000 (njoo tuongee)
0687900668 namba yangu
Napatikana hapa chuoni Dar es salaam Tumaini university (DAR TU)...
Habari
Laptop kali sana hii ni mpya kabisa,inakaa na charger siku 2 kutegemeana na matumizi yako, hii inafaa kwa wale wa video production,graphic,music production na ma engineer woe wa mijengo
Specification zake hizi hapa
Processor:- 12th gen intel (R)core (TM) i7-1255u 1.70 ghz
Ram:- 8.00 GB...
Natafuta Laptop Bei isizidi 600,000
Iwe Toshiba, dell, hp au mackbook.
Iwe na angalau sifa zifuatazo
Ram 8GB
STORAGE - SSD angalau 200 gb
Generation 8+
Bluetooth, webcam, HDMI port LAZIMA
Ukubwa wa Kioo uwe 20+ kubwa na kuendelea
Chaji angalau masaa 3
ISIWE YA WIZI
isiwe na kipengele...
Kwema viongozi. Kama inavyojieleza,
Nikiwasha laptop inawaka lakini inaishia hapo kwenye BlacKScreen, wakati nilikuwa naitumia vizuri tu nikaizima. Kuwasha ndio kila nikijaribu inaishia kwenye BlacKScreen.
Msaada tafadhali.
Ni laptop nzuri sana na ngumu mno.
Sifa
Touch screen,
HDD 500GB,
RAM 4GB,
SCREEN 11.4INCH
VERY SLIM AND CLEAN
IPO KISUTU DSM.
BEI 230,000/=
Maongezi: Yes
Charge : 2hrs
Namba ya sim: 0783973428
Ebu fikiria kidogo, unafungua macho yako na kujikuta kwenye ulimwengu mwingine kabisa, lakini bado uko nyumbani kwako! Hii sio ndoto wala movie za sci-fi; ni hali halisi inayokuja kupitia teknolojia za Augmented Reality (AR) na Virtual Reality (VR).
Kama bado hujaingia kwenye huu ulimwengu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.