Kwa mwenye uhitaji wa vifaa vya laptop na vya computer kama vile adapters ,keyboard, mouse,battery za aina zote display ,display port,hard disk ,external case na vingine vingi naomba nicheki kwa namba hizi 0622793422 au fika kariakoo MTAA wa ndanda ulizia duka la doris laptop and computer...
Nina laptop dell 5289
Nikishaiwasha tu feni inaanza kuzunguruka mda wote
Ilianza inwzunguruka baada ya kama dakika 10 au 15 inaacha
Sasa hivi ndio imezidi mda wote inalia tu kwa sauti
Naombeni msaada wenu nifanye nini ikae sawa
Nina laki 6 natafuta laptop
Iwe dell, hp au mackbook ndio ninazikubali sana
Iwe na angalau sifa zifuatazo
Ram 8GB
STORAGE - SSD angalau 200 gb
Generation 8+
Bluetooth, webcam, HDMI port LAZIMA
Ukubwa wa Kioo uanzie 13 mpaka 16 yaani iwe saizi ya kati sitaki kioo kidogo au kikubwa
Chaji...
Wakuu naombeni mniungishe
WA mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa
Hata pc moja nakupa bei ya jumla .
ADAPTER,KEYBOARD, RAM, VIOO VYA LAPTOP, HDD, HDMI CABLES STAND ZA KISHUA,MOUSE ,PROTECTOR . CHARGER ORIGINAL ZA TABLETS NA SIMU
Nishirikishe kwa kunielekeza site ipi na weza pata latest move for free...
Kama ni Utorent basi nipatie Link ni goes on of it...
Natanguliza shkran za Dhati.
Wakuu habarini.
Nina shida kidogo ya kifedha hivyo nina laptop yangu haiko vizuri kimuonekano, lakini inapiga kazi mwanzo mwisho.
Ndio ninayoitumia hata katika kazi zangu za muziki..naiuza kwa tsh 180000 tu.
Ni dell e6400 ram gb4 haddisk ina gb150.
Ukitaka nakubadilishia nakuwekea 500gb...
Nauza Portable Dell laptop 💻
Specifications
Generation:10
Internal storage:1000Gb(1tb)
Ram:4
Processor:2.5GHZ
Condition :Used like new /nimetumia kwa mwaka mmoja nilinunua 700,000Tsh
BEI:Nauza kwa Ofa Tsh 500,000
Location: Muhimbili ,Dar Es Salaam
Contacts:+255743649012
Wakuu nahitaji laptop
Hela niliyo nayo 500,000
Iwe na angalau sifa zifuatazo
Ram 8GB
STORAGE - SSD angalau 200 gb
Generation 6+
Bluetooth, webcam, HDMI port LAZIMA
Ukubwa wa Kioo usizidi nch 12 yaani iwe ndogo iwezekanavyo
Chaji angalau masaa 3
Dell, au HP ni kipaumbele.
ISIWE YA WIZI
isiwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.