lazaro mambosasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DCP Mambosasa: Ni kosa kumkamata asiyehusika wakati wa kumtafuta mtuhumiwa

    Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Dkt. Lazaro Mambosasa, ametoa rai kwa askari wa Jeshi la Polisi nchini kuacha tabia ya kukamata raia wasiohusika ili walisaidie jeshi kumtafuta mtuhumiwa. Akizungumza katika mahojiano na TBC Digital chuoni hapo...
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi Dr Lazaro Mambosasa ni Doctor wa kitu gani?

    Wakuu huyu afande Lazaro Mambosasa aliyewahi kuwa RPC wa dar wakt flani na ambaye sasa ni mkuu wa chuo cha maofisa wa police Kilwa road,naona siku za hivi karibuni anajiita Dr Lazaro Mambosasa. Huu udokta wake ni wa kitu gani haswa?
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Lazaro Mambosasa: Raia ana haki ya kumkagua Askari ili kuondoa mazingira ya kusema amebambikiwa kesi

    “Askari ana uhuru wa kukaguliwa, kwa sababu mara nyingine wanasema [watuhumiwa] bangi hii haikuwepo, ameingia nayo nimewekewa. Ili kuondosha mashaka hayo ya msingi, afisa wa polisi anasema naomba nikaguliwe ili mambo yakienda yatakayokutwa kule [mahakamani] asiwe na nafasi ya kuyakana kwamba...
  4. Informer

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Mwandishi Erick Kabendera anahojiwa uraia wake

    Kamanda Mambosasa anasema: Erick Kabandera alikamatwa nyumbani kwake baada ya kukataa wito halali wa Jeshi la Polisi Awali aliandikiwa barua ya wito ajili ya mahojiano lakini alikaidi kutii wito halali wa Polisi Jeshi la Polisi likimwita mtu kwa hiari akikaidi, sisi tunamwezesha atii Baada...
Back
Top Bottom