Labda unjagu!Wakuu huyu afande Lazaro Mambosasa aliyewahi kuwa RPC wa dar wakt flani na ambaye sasa ni mkuu wa chuo cha maofisa wa police kilwa road,naona siku za hivi karibuni anajiita Dr Lazaro Mambosasa.
Huu udokta wake ni wa kitu gani haswa?
Aisee Nini Sasa!Aisee!
Chura kiziwiKwani "MAMA" ni "DAKTARI" wa kitu gani?🫤
Utakuwa udaktari kama wa samia, babu tale, msukuma,kikwete and the likes.Wakuu huyu afande Lazaro Mambosasa aliyewahi kuwa RPC wa dar wakt flani na ambaye sasa ni mkuu wa chuo cha maofisa wa police Kilwa road,naona siku za hivi karibuni anajiita Dr Lazaro Mambosasa.
Huu udokta wake ni wa kitu gani haswa?
Kijana unanichimba eeh?.Wakuu huyu afande Lazaro Mambosasa aliyewahi kuwa RPC wa dar wakt flani na ambaye sasa ni mkuu wa chuo cha maofisa wa police Kilwa road,naona siku za hivi karibuni anajiita Dr Lazaro Mambosasa.
Huu udokta wake ni wa kitu gani haswa?
Kila mtu nchi hii akifikia level fulani anajipachika dk, wizara ya elimu itoe muongozo anae deserve ni yule aliepambania thesis na mitihan kufikia hapoWakuu huyu afande Lazaro Mambosasa aliyewahi kuwa RPC wa dar wakt flani na ambaye sasa ni mkuu wa chuo cha maofisa wa police Kilwa road,naona siku za hivi karibuni anajiita Dr Lazaro Mambosasa.
Huu udokta wake ni wa kitu gani haswa?
So anatibu vyuraChura kiziwi