Hivi Dr Lazaro Mambosasa ni Doctor wa kitu gani?

Hivi Dr Lazaro Mambosasa ni Doctor wa kitu gani?

Kuitwa Dr kwani saivi inachukua muda gani? Bora hata yeye ni mkuu wa chuo sjui cha nini mbona Msukuma ni dr
 
Wakuu huyu afande Lazaro Mambosasa aliyewahi kuwa RPC wa dar wakt flani na ambaye sasa ni mkuu wa chuo cha maofisa wa police Kilwa road,naona siku za hivi karibuni anajiita Dr Lazaro Mambosasa.

Huu udokta wake ni wa kitu gani haswa?
Acha upumbavu, kwani unamwonaje, kwamba hawezi kusoma PhD? Halafu yy hawezi kujiita. Moyo wako umejaa chuki zisizo na sababu
 
Acha upumbavu, kwani unamwonaje, kwamba hawezi kusoma PhD? Halafu yy hawezi kujiita. Moyo wako umejaa chuki zisizo na sababu
Sasa si useme hiyo PhD yake ni ya kitu gani na kaipata lini kutoka chuo gani?
 
Mimi nilijua Jina lake linatosha kujibu swali lake Dr mambosasa NI daktari WA Mambosasa.
 
Nachofurahia ni kuwa ninaitwa daktari kwa taaluma hiyo inanifanya nitembee kifua mbele maana sijabebwa wala kuitafuta hilo neno dokta kutoka kwa walimwengu
 
Back
Top Bottom