lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Nahitaji kujua ni lazima kuoana hadi mthibitishwe kidini ndo iwe ni ndoa halali?

    Ukisoma katika biblia Mwanzo 2:24 haijalazimisha kuwa ili unganiko lenu liwe halali ni lazima ndoa ifanyike kanisani (kwa Wakristo). Kufunga ndoa kidini ni UTARATIBU WA KIBINADAMU ULIOPANGWA AU NI UTARATIBU WA "LAZIMA" WA MUNGU?
  2. Lissu: Huko mbele ni kugumu, lakini ni lazima twende

    Akizungumza kwenye mkutano wake wa hadhara huko Tabata, Tundu Lissu amewaambia wananchi wa Tanzania na wanachama wa Chadema kwamba, Nanukuu, "HUKO MBELE NI KUGUMU SANA LAKINI NI LAZIMA TWENDE, TUSIKUBALI KUKENULIWA MENO WALA KUCHEKEWA, NI LAZIMA TUFIKE" mwisho wa kunukuu. Lissu amezungumza...
  3. Hivi kumbe kuoa sio lazima

    Hapo vip!! Kwawale ambao walikuwa hawafahamu kama mimi,ni hivi kuoa sio lazima. Hivi hata Mungu wetu hajalazimisha watu waoa ila amekataza uzinzi,uwasherati n.k Ninachoamini Furaha kubwa katika ulimwengu huu ni ile hali ya kuwa na furaha ambayo haitokani na watu au mtu..independent...
  4. Hivi Watu huwaga ni kina nani haswa? Je, katika maisha haya ili ushinde lazima uungane na watu? Nini tofauti kati ya binadamu na watu?

    Uzoefu unaonyesha kwamba kundi la " watu" ndio lenye nguvu zaidi hapa duniani.. Je " watu" ni kina nani haswa? A. MTAZAMO WA KIROHO: Ukimuuliza mwanasayansi kwanini Mungu alimuumba kwanza Adam then akamuumba Hawa? unaweza kupata jibu kwamba lengo la Mungu lilikuwa ni kumuumba Hawa. Why...
  5. Kwenye Siasa hakuna kuwa katikati (Neutral). Mtawala lazima aamue kusuka au kunyoa, vinginevyo anguko ni hakika

    KWENYE SIASA HAKUNA KUWA KATIKATI"NEUTRAL" MTAWALA LAZIMA AAMUE KUSUKA AU KUNYOA. VINGINEVYO ANGUKO NI HAKIKA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Siasa inakanuni zake, na moja ya kanuni hizo ni pamoja na hii ya kuchagua upande. Ni aidha uwe moto au uwe baridi Full stop. Maswala ya kusema au...
  6. Kwanini Mangungu lazima akae pembeni?

    Mangungu anaamini mno kwenye mpira wa kishirikina kuliko ufundi na uwezo. Hili linawakera sana wachezaji na bechi la ufundi. Kuna mambo ya kishirikana kutoka kwa Mangungu ambayo baadhi ya wachezaji hawakubaliani nayo, hii inasababisha uhusiano mbaya kati ya wachezaji na uongozi (Mangungu) kiasi...
  7. Miaka 30 ni mingi sana lazima kesi zitaishia Polisi

    Nimemsikia waziri Mkuu akiongea na ma OCD juu ya kesi 50 za wanafunzi kupata mimba kuishia POLISI. Mawazo yangu juu hali hiyo, Miaka 30 ni mingi mno. Hivyo hata polisi nae ni binadamu, familia nao huwa na ubinadamu miaka 30 sio kitu rahisi. Ushauri wangu utaratibu ungekuwa kama ifuatavyo...
  8. Rais wa Cuba aongoza maandamano kuunga mkono Hamas. Waziri Mkuu wa Spain amwambia Netanyahu taifa la Palestina ni lazima liwepo

    Rais Miguel akiongoza maandamano Havana kuwaunga mkono Hamas. Katika hali ya mabadiliko ya haraka kufuatia mashambulizi ya Hamas ya Oktoba sana huko Cuba Rais wa nchi hiyo ameongoza maandamano ya maelfu ya raia wake katika kuwaunga mkono Hamas na harakati zao za kutetea haki ya kuishi kwenye...
  9. Nashauri kuwa na Passport iwe ni sharti la lazima mtu kuanza chuo au kufungua biashara. Hili ni dogo sana kwa Rais wetu

    Passport ni kitu muhimu sana. Lakini ukisikiliza ni malalamiko ya watu wengi kuwa upatikanaji wake ni mgumu. Kutokuwa na passport ni moja ya sababu watanzania wengi kukoswa grobal mentality. Wengi mambo yakiwa magumu wanafikilia kurudi vijijini badala ya kutafuta fursa nje ya nchi. Kigezo eti...
  10. Spika Tulia umewakosea sana wafanyakazi nchi hii, kuhusu Makato ya LAZIMA ya mishahara kwenda vyama vya wafanyakazi

    Ni aidha ni utamu wa Makato ya wafanyakazi, yamekolea na kupata walaji mpaka huko juu au Spika Tulia hajui chochote kuhusu sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004. Ila inasikitisha Kwasababu Tulia ni mwanasheria na amewahi kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali. Hivi kweli, leo...
  11. Kabendera na wenzake lazima wabweke

    Uwepo wa Makonda ndani ya mfumo hakika si jambo rafiki kwa mafisadi na wezi wa mali za Umma. Majambazi yale hutengeneza wigo mpana wa kutetewa na kusifiwa ili kwalo yaendelee kuiba, kuficha na kujinufaisha wao na watetezi wao. Wazi inafahamika, Makonda pamoja na mapungufu yake kama binadamu...
  12. Ni lazima kumchangia mtu send-off ama harusi?

    Habari jamani, mnaendeleaje? Hebu acha niende moja kwa moja kwenye hoja. Iko hivi, miezi kama miwili au mitatu katika kupiga stori za hapa na pale one of my colleagues (KE) akaniambia unajua fulani anaolewa na fulani (wote wanafanya kazi pamoja)? Nilifurahi kwa mshangao maana sikuwahi kujua...
  13. Nimekumbuka Feisal alisema ili yeye arudi Yanga lazima Hersi atoke, nimecheka halafu nimechoka ghafla

    Nimeamka najiandaaa kwenda Misa ya Saa 2 hapa Mara nikawaza Fei aliwahi sema yeye akiondoka Hersi hata saivi (muda ule) anabeba begi anarudi zake Yanga. Yani nimechoka sana hivi Feisal alikua anafikiria nini jamaa?😂😂
  14. D

    Siyo lazima kila alama ya mvuka kwa miguu (zebra) dereva wa gari asimame, Sheria ifumuliwe imepitwa na wakati

    Habari Tunaongozwa na sheria zilizo expire muda wake! Iko haja sheria ya usalama barabarani ifanyiwe marekebisho kwani ilitungwa zamani enzi hizo Tanzania hatukuwa na barabara za lami na magari ya kutosha! 1. Siyo kila zebra lazima mwenye gari asimame hata kama hakuna mtu, lakini baadhi ya...
  15. Ukiwa konda lazima uwe chizi maarifa?

    Nawauliza nyie vijana wa DAR na sehemu zingine nchini [lakini haswa DAR], hivi ukiwa kondakta wa daladala lazima akili ziwe fyatu? Sijawahi kukutana na konda msafi, wengi wao wanavuta mabange, wanavaa maguo yaliyoraruka na wanaongea kibabe kama wako vitani? Huwezi kukutana na konda...
  16. Mikao hii yote ya maombi ni halali na ina heshima sawa mbele za Mungu. Sio lazima upige magoti au usujudu katika kuomba

    Unaweza 1: KUOMBA UMESIMAMA NA KUNYOOSHA MIKONO JUU. 2: Kuomba umelala kitandani kama hujiwezi kama mfalme Hezekia. 3: Kulala chini kifudifudi au kulala kama Yesu gethsemane. 4: Kuomba umeketi kama daudi. 5: Kuomba ukiwa katikati ya watu umesimama kama Nehemia, walio na wewe wasijue kama...
  17. Kijana makini na wathamani hawezi kuwa mtu wa kuchezea wanawake.

    Unapokutana na mwanamke katika safari yako ya MAISHA hapa namzungumzia kijana amabaye yupo na Malengo Makubwa kuhusu MAFANIKIO na anajua thamani yake . Hivyo katikati ya safari yako unaweza kumuhalika Mwanamke kuwa aje katika MAISHA yako kwa lengo la kutafuta ukamilisho na kukamilishana na sio...
  18. Magharibi lazima waamke, wasikubali itikadi kali wanaoshi kwao wakanyage values za West walizozikuta

    Itikadi kali mnachekesha sana na hakuna watu wanafiki zaidi ya nyie duniani. Mnakaaga na kuwasema vibaya nchi za magharibi na kuwaita makafir lakini pale inapotokea matatizo makubwa nchini mwenu hizo zilizojaa fujo sehemu ya kwanza kukimbilia huwa ni USA, UK, Germany, France, etc. Sasa mmejaa...
  19. Ivi ni lazima ukipenda mtu, u-date nae kwa miezi 6 - miaka 3?

    Hili ndilo swali naulizwa na wanaume wengi huku jamii forum kwani nikimpenda mwanamke lazima ni date nae miaka mingi ndio nimuoe? kwanini nisimuoe tu fasta, yaani nimempenda, napeleke washenga nyumbani kwao nachukua chombo hii mambo ya dating and kufahamiana ndio inachochea dhambi nyingi...
  20. L

    Vijana lazima wawe washiriki hai na wanufaika muhimu katika miradi ya Ukanda Mmoja, Njia Moja

    Wataalamu waliohudhuria Kongamano la Mkutano wa Mtandao wa majadiliano kuhusu Ukanda Mmoja, Njia Moja wamesema kuwa pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja, ambalo linalenga kuharakisha ukuaji wa pamoja na maendeleo endelevu duniani kote kupitia uratibu imara wa sera, muunganisho, biashara isiyo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…