lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. nzalendo

    Je, ni lazima kuwa kwenye mahusiano/ ndoa?

    Kwa kiasi kikubwa hili jambo, kimsingi limepitwa na wakati. Watu kuumizana kihisia,wengine kupoteza maisha. Kuna gharama ya fedha na muda katika jambo hili. Wengine huingiamo kwa ajili ya kufuata mkumbo au kwa kushinikizwa. Kwa sisi wanaume huduma hii waweza ipata kwa unafuu kwa kina dada...
  2. Jidu La Mabambasi

    Heri Mama ameamua kukaa kimya, makubwa lazima yatakuja!

    Hili suala la Bandari na DP World halikosi ukoko. Mama amesema wazi wazi kwamba atatumia hekima kukaa kimya, jambo ambalo ni heri maana mambo kutatua figisu (kama alivyosema mama Mongella) hayataki papara! Lakini vichwa havikawii kufikiria mambo magumu. Inadaiwa ndege yetu imekamatwa huo...
  3. GUSSIE

    Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  4. Nyuki Mdogo

    Gari ni hitaji la lazima kwetu wanaume

    Ukiwa na Gari kuna mahitaji mengine hugharamiki nayo wala nini.
  5. T

    MWAUWASA mjitathmini sio lazima kutenguliwa ndipo muwajibike

    Ahsante JamiiForums kusaidia utatuzi wa kero ya maji Mwanza. Kumekuwepo na kero kubwa ya maji katika jiji la Mwanza ingawa kuna ziwa kubwa lenye ujazo wa maji ya kutosha katika jiji hilo. Wiki iliyopita paliandikwa makala hapa JamiiForums kulalamikia mgao wa maji usioeleweka. Baada ya andiko...
  6. F

    Jirani yangu chumba cha pili akiwa na mkewe wakinaniliu lazima aangue kilio

    Nakaa huku uswahlini chumba hakina siling bodi na ukuta unaotenganisha chumba na chumba si mrefu kiasi unaweza ukaruka kuingia chumba cha pili Sasa hapa napokaa jirani wa chumba cha pili akitaka kufika mulima Meru lazma aangue kilio jamaa analia kilio cha kwikwi huwa nasikia mkewe anamwambia...
  7. A

    DOKEZO URGENT: Binti wa miaka 16 ameozeshwa kwa lazima kama mke wa pili, huko Laela, Sumbawanga

    Binti wa miaka 16 anaitwa Recho, yuko kijiji cha NITU, wilaya ya LAELA, Mkoa wa Rukwa. Ameozeshwa kwa kulazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka zake, ambao wamechukua mahari ya shilingi 700,000, tena ameozeshwa kwa mzee kama mke wa pili. Huyo binti yeye hataki kuolewa na kwa sasa ametoroka...
  8. GENTAMYCINE

    Kwanini inashauriwa duniani kote Watu wa Usalama ( Intelligence ) lazima watokee katika Familia ambazo zina Historia ya kuweko huko?

    Leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu ili Nielimike zaidi nikiamini kuwa hapa JamiiForums kuna Wabobezi na Wazoefu wa Fani hii inayoitwa ya Wenye Nchi.
  9. Leak

    Serikali kuwapa watu case za uhaini bado sijibu la Maswali ya DP World! Kuna maswali lazima uyajibu wewe! Usijifiche

    Toka limetokea sakata la kusaini mkataba wa DP world ambao wengi wameukosoa na kuonesha ni mmoja ya mkataba mbovu kabisa kuwai kutokea bado watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kweli Samia amesaini yeye mwenyewe mkataba wa aina hii? Bahati mbaya au nzuri kila akipata nafasi amekuwa akikwepa...
  10. Equation x

    Kweli maisha ya sasa, ndoa inatafutwa kwa lazima

    Kutokana na changamoto za kiuchumi pamoja na uhaba wa wanaume wenye sifa za uoaji kupungua; mabinti wakileo wameanzisha utaratibu wa kujisogeza kwa mwanaume na kuanza naye maisha, bila kufuata taratibu za ndoa. Kuna binti mmoja amemaliza chuo, na kukaa mwaka mmoja nyumbani bila kazi, akaona...
  11. Teslarati

    Hela za bila shortcut huwa hazisahau zilipopitia hata ufilisike vipi, lazima zitarudia njia yake siku moja

    Niamini mimi, Achana na hela za bahati, za waganga au za kurithishwa na kupewa, kwa uzoefu wangu hizo hela zikipotea ndo zimeenda huwa hazirudi. Lakini kwa mtu mpambanaji kweli kweli hata kama akiteleza akapoteza kiasi kikubwa cha utajiri wake basi hela zitakumbuka njia yake siku moja na...
  12. Mr Lukwaro

    Nilijua ni Uswahili, kuwa ukianza kufanikiwa lazima Uchukiwe na watu hata usio watarajia

    Psychology inakiri kwamba kwenye mafanikio kuna mapambano, Wapo watu ambao wakati wana hustle walikuwa marafiki sana tu, Lakini kwa Bahati mbaya Baada ya mafanikio kuanza zaidi kwa mmoja , Chuki huibuka na kutengeneza Uadui. Je, ufanye nini ili kuepuka Changamoto hiyo? - Kwanza Tengeneza usiri...
  13. Balqior

    Kwanini waajiriwa wengi wakistaafu lazima wapitie msoto mkali wa kiuchumi?

    Habarini, Mfano, Utakuta mtu amemaliza chuo kapata kazi yenye mshahara mzuri, kila mwaka anapanda vyeo kazini, anakuwa na akiba ya pesa nyingi benki, huku mshahara ukiendelea kuingia, ghafla mkataba wa kazi ukiisha au akistaafu hata kama ana akiba hata kama ni ya tsh millioni 400, na magari ya...
  14. Mganguzi

    DOKEZO Ili uruhusiwe kufanya biashara jimbo la Ukonga ni lazima uwe na Cheti cha COVID-19 pamoja na cheti cha afya

    Nimeshuhudia patashika ya migambo na wafanyabiashara kata ya Buyuni wakiwakamata wafanyabiashara mbalimbali na kuwapeleka ofisi ya mtendaji kata Buyuni iliyopo Chanika kwa kosa la kufanya biashara bila cheti cha afya na cha COVID-19. Pamoja na mambo mengine msako huu umekuwa mkali kiasi kwamba...
  15. GENTAMYCINE

    Waziri Pindi Chana kwani ni lazima kila sehemu utakayoalikwa umtaje kwa Mahaba yote Rais Samia?

    Au labda alikuambia kuwa usipokuwa Unamtaja na Kujikomba Kwake basi atakutumbua upesi? Unaboa mno.....!! Nikiambiwa nimtaje Waziri wa Kwanza wa hovyo kwa sasa katika Serikali ya Rais Samia wala sitochelewa Kumtaja / Kukutaja Pindi Chana na sijui ilikuwaje ukawa Waziri kwani hutoshei na huna pia...
  16. F

    Bandarini tulipaswa kutafuta waendeshaji na sio wawekezaji!

    Serikali inapaswa kujua nini kinachotakiwa kufanyika ili kuongeza ufanisi wa mashirika yetu ya umma kama TANESCO, TTCL, ATCL, TRC, TPA, n.k. Ukichunguza sana utagundua kwa mashirika haya ambayo tayari tulishawekeza kama taifa kwenye miundombinu ya msingi hatuhitaji WAWEKEZAJI bali WAENDESHAJI...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Wanandoa ni Lazima Wa-share Password za Akaunti Benki na Simu.

    WANANDOA NI LAZIMA WA-SHARE PASSWORD ZA AKAUNTI ZA BENKI NA SIMU Anaandika, Robert Heriel MTIBELI. Dunia ya kitapeli huzalisha ndoa za kitapeli, Wanandoa matapeli, Watoto na kizazi cha kitapeli. Kama mnafichiana namba za Siri za BENKI na akaunti na bado mnadanganyana ni MKE na Mume basi ninyi...
  18. Leak

    Tundu Lissu: Rais ni mtumishi wetu tunapaswa kumkemea, kumkosoa na kumsema. Lazima tushughulike nae kisiasa

    Lissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa, tunapsawa kushughulika nae kama kiongozi wa kisiasa anasema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa, kukaripiwa. Anasema kauli aliyoitoa haina tatizo kidogo na anasema kwa nchi yenye sheria na katika hajawai kusikia au kuona...
  19. JanguKamaJangu

    Msimamizi wa Mirathi si lazima jina lake liwemo kwenye mgao miradhi

    Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria anaeleza namna ambavyo siku hizi wasimamizi wa mirathi ambao hawapo kwenye mirathi wanavyodhulumu wahusika haki zao kisa yeye anasimamia mirathi. Sheria ya Ndoa haiongelei mahari "Kimila ndoa ni suala la utamaduni, kisheria ndoa haiongelei suala...
  20. JanguKamaJangu

    Rais Samia: Lazima tuwafundishe Watoto wetu kuhusu uzazi wa mpangilio

    Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC), Julai 26, 2023 Jijini Dar es Salaam. Amesema “Lazima tuwafundishe Watoto wetu kuhusu uzazi wa mpangilio, kama nilivyosema Afrika...
Back
Top Bottom