Kwani arusha hii imejaa kiasi cha kuwapeleka wamasai huko msomera,
Au wangetenga tu eneo huko huko ngorongoro kama kijiji maana nyumba za huko zipo mbali mbali na wakatumia mbinu ambayo ingechukua muda kuwahamisha kuliko kuwahamisha kwa mkupuo,
Maana kuna wengine wana ndugu zao wanaona ni...