Kuna mademu ambao wao ni kukutafutia vita na watu.
Mwanamke mzuri lazima atongozwe kwanini akitongozwa na marafiki tunaojuana ndo huja kutufitinisha nao lakini wakitongozwa na watu wa mbali huliwa mzigo na Huwa ni Siri zao.
Mwanamke akitongozwa ni wajibu wake kukataa bila kumjulisha mmewe au...
Benchika kocha wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anafundishi timu JS Kabylie ya Algeria amemjumuisha kikosini kiungo Sadio Kanoute ambaye Simba imeachana naye, iwe kwa kumaliza kandarasi au vip, sasa hivi Benchika amekimbilia kwa Babacar Sarr ambaye Simba imetemana naye kwa kutoridhishwa na...
1. Kiufupi, hamna mjanja kwenye ndoa Lazima ikupe za uso.
2. Hii Ni kwa wote uwe na PhD au darasa la 4B, uwe Jaji Mkuu au Mkuu wa Majeshi. Lazima uchechemee kama umekanyaga kinyesi vile.
**Nimemkumbuka Mstaafu Zanzibar Komando, mke katoka nduki na penshen. bado imenona. Bashiru nae ndo...
Msigwa sio wa kwanza kuondoka CHADEMA kuhamia CCM. Wapo waliotangulia kabla yake, kwa hiyo tunasema amefuata nyayo za wenzake akina Waitara, Silinde na wengine wengi. Kwa upande wa CHADEMA hili ni pigo kwa namna yoyote ambavyo watalichukulia, lakini kwa CCM ni mtaji. Na mitaji kama hii huwa CCM...
Habari za usiku huu kama kichwa Cha habari kinavyosema Kwa mnaofuatilia hotuba ya William ruto raisi wa Kenya yaani kiufupi ametonesha vidonda vya gen z anaulizwa maswali mengine anajibu kingine halafu anawatukana kwamba wamemsababishia hasara ya billion 2.5 yaani wewe raisi umewekwa tu hapo...
Hapo vip!!
Nimekuwa nasikia sana huu msemo wa lishangzi.
Sifa za mashangazi ni kama zifuatazo.
1. Awe na miaka kuanzia 30 na kuendelea
2. Awe single mother au single kawaida.
Kama unasifa zingine zitaje ili wajitambue.
Kwa nature ya watanzania ni ngumu sana kufanikisha lengo lako la kubadili mambo unayoona si sawa kwenye serikali.
Tofauti na Kenya ambapo wana umoja unaounganishwa na ukabila na factors zingine hivyo ukipinga ukiwa Kenya basi hauko peke yako.
Work smart, jiunge na Chama tawala, chezesha...
Maneno ya rafiki yangu mkinga .
Kama mnavofahamu , mchakato wa kusimama kibiashara ni mgumu sana , serikali wao wanawaza kukusanya tu Kwa sera zao mbovu.
Hakuna mfanyabiashara anaweza kukataa kulipa kodi hayupo , lakini kodi iwe stahimilivu inayoweza kulinda biashara yangu na sio tozo na kodi za...
Alphonce Msigwa ambaye ni Mratibu wa Mradi wa Kulinda Ikolojia ya Hifadhi ya Mahale na Hifadhi ya Katavi amesema lengo la mradi ni kusaidia Wanyamapori kuendelea kuwepo huku Abel Mtui ambaye ni Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Katavi akisisitiza umuhimu wa upatikanaji wa magari yaliyotolewa...
Paul Kagame
Siku za nyuma, Katibu Mkuu wa chama tawala, RPF inkotanyi, bwana Wellars Gasamagera, alitamka wazi kuwa, RPF haiwezi kuachia madaraka kwa mtu mwingine au chama chochote.
Ikumbukwe, chaguzi zote zilizopita, matokeo ya uchaguzi yalionyesha kiongozi wa chama hicho, ambaye mara zote ni...
KULA KWA JASHO NI KUHANGAIKA KUTAFUTA RIZIKI SIO LAZIMA UTOE JASHO LA MWILI AU UFANYE KAZI ZA NGUVU YA MWILI
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kuna kasumba ambayo inatesa baadhi ya vijana wa kiume ndani ya jamii huku wakinukuu maandiko ya kwenye Biblia Kuwa "Mwanaume atakula kwa jasho"...
Amesema mtazamo wake kuhusu katiba ni kuleta nafuu kwenye maisha ya kila siku mf.
Wanawake wasio na ajira wapewe mikopo bila riba mtu akifa maiti isidaiwe chochote na kijana akihitimu masomo na serikali haijampa ajira baada ya miaka mitano ianze kumlipa nusu mshahara mpaka atakapo pata ajira.
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo.
Kwenu wadau, naombeni mwongozo kuwa kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni?
Basi tu fashion ya baadhi ya viatu inakufanya usivae soksi ila ukweli usemwe viatu bila soksi Sawa na suruali bila chupi.. Ukivivua lazima tu viteme na pia sio salama unaweza Kupata fangasi miguuni.wengi naona hata siku hizi wanaovaa sendo wanaovaa na soksi.
1.sekta ya Madini - ukikutana na mwekezaji wa Madini huko machimboni wanakuwaga na wasiwas muda wote sijui wa kuibiwa yaani rahisi sana kuchanganyikiwa ukiwa sekta hio
2.sekta ya ufugaji - hawa wachunga ng'ombe wanakuwa na akili zinazowaza ng'ombe tu muda wote.
Ushawahi sikia watu wanaitwa "resentful" ? Hawa ni watu ambao kuna vitu hawana, wengine wanavyo, wao wanaamini wangepaswa kua navyo, sasa matokeo yake wanakua na chuki na husda.
Ni lazima ukubali kua kuna mambo huna na huwezi kuanayo au kuyapata asilani.
Kwa mfano
1. Muonekano wako, kama we ni...
Jina la John Pombe Magufuli limejikita katika historia ya Tanzania kama kiongozi mwenye maono na utendaji wa kasi. Moja ya alama kubwa za uongozi wake ni Ubungo Flyover, daraja ambalo limebadilisha mandhari na mtiririko wa usafiri katika jiji la Dar es Salaam.
Kabla ya ujenzi wa daraja hili...
Ni ukweli mchungu kuwa ipo siku tutakufa na kila kitu kilichopo katika ulimwengu hakitodumu bali kinapita.
Ni muhimu sana katika shida zote ukatambua na wewe unahitaji kupata muda wa kuyafurahia maisha yako kwa hali yoyote ile iwe kwa kingi ama kidogo ulichonacho.
Katika mahusiano, wapo watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.