lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama CCM imeshindwa na Makonda kaweza, CCM ya Nini tena?

    Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP. Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya anayo yaibua Makonda ndiyo madhaifu ya serikali ya CCM. Rushwa, ubadhilifu, kunyima haki raia, matumizi...
  2. SoC04 Elimu ya shule ya msingi bure, tuition ya kulipia ya lazima kwa wanafunzi wote!

    Katika sekta ya elimu naipongeza serikali kwa uamuzi wa kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote waliofikisha umri wa kuanza shule. Nawapongeza pia walimu katika utendaji kazi wao wa kutoa elimu kwa watoto wetu wote. Katika hili kuna changamoto kidogo ya matokeo katika mitihani ya shule mpaka...
  3. M

    SoC04 DIRA 2050: Umuhimu wa kuboresha mfumo wa uchaguzi na uteuzi wa viongozi wetu ni hitaji la lazima

    Dira ya taifa kuelekea mwaka 2050 ni hatua muhimu sana itakayotoa taswira na muelekeo wa taifa kwa miaka takriban 25 ijayo. Umuhimu wa kuwa na malengo ya muda mrefu ya kitaifa ni nafasi nzuri ya kuiandaa kesho ya taifa kwenye nyanja tofauti ikiwemo kiuchumi, kielimu na hata kimaadili na...
  4. Hawa Sio Comedians ila wakiongea mbele ya watu lazima tucheke sana

    Hawa ni watu ambao uchekeshaji sio kazi yao rasmi ila kila wanapoongea mbele za watu au kwenye mahojiano hawaachi kuwavunja watu mbavu. 1. Mheshimiwa Makongoro Nyerere 2. T.I.D 3. RC Chalamila 4. RC mstaafu Aggrey Mwanri 5. Ommy Dimpoz 6. Mheshimiwa Kishimba 7. Babalevo 8. Mheshimiwa Kibajaji...
  5. N

    SoC04 Vijana wengi wanapoteza matumaini na kuangukia sehemu mbaya sababu ya kujenga imani akimaliza masomo kupata ajira ni lazima

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wengi kupoteza matumaini na wengine kuangukia kwenye matumizi mabaya ya mihadhalati na wengine kujitoa uhai na baadhi yao kuamua kuwa vibaka na majambazi hii yote kwa kutaa tamaa ya maisha (ukosefu wa ajira) Hii inatokana na mifomo yetu ya elimu hatukuweza...
  6. Ili ufanye harusi au sherehe Moshi lazima ulipe Kodi za Manispaa Tsh. 230,000

    Manispaa ya Moshi chini ya Sheria ndogo za (ada na ushuruj ya Mwaka 2019, Tangazo in Serikali Na. 148 la Tarehe 15/02/2019, imeainisha ada na tozo mbalimbali katika kuendesha sherehe kwenye kumbi na maeneo ya starehe. Mchanganuo wa ada na tozo hizo ni kama ifuatavyo; Tshs. 60,000.00, Kibali...
  7. SoC04 In the Tanzania we want, every citizen must have the fear of God

    INTRODUCTION. NB: picture courtesy of the internet. (Christian and Muslim religious leaders greeting each other is a great solidar ity) πŸ‘‰In envisioning the Tanzania we want, fostering a society where every citizen has a deep respect for moral and ethical values, often inspired by a fear or...
  8. SoC04 Kupunguza umri wa kustaafu kwa lazima kuwa miaka 55

    Utangulizi. Kwa kuzingatia mazingira ya sasa, idadi ya watu inazidi kuongezeka kwa kasi kubwa na pia changamoto za kiafya zinazowakabili watu wengi hasa katika umri wa kuanzia miaka 50, kupunguza umri wa kustaafu kwa lazima kutaweka msingi imara kwa ustawi wa wastaafu, kuongeza ufanisi katika...
  9. VIDEO :Huyu Mkuu Wa Mkoa Wa Tabora aliyeingilia Mamlaka isiyomuhusu na kuhamisha walimu kwa LAZIMA, ana akili timamu!??

    Ualimu.. Ualimu ..Ualimu...😞😞😞 Ifike mwisho. Hizi ni aibu. Na huu ni UPUMBAVU. I'LL BE BACK
  10. Si lazima mtu afe ndiyo mtaa upewe jina lake

    Hakuna shaka kwamba Mama Maria Nyerere, atadumu katika historia kama mke wa mwasisi wa Taifa letu. Kama ukili wetu ukiona mafanikio ya mwanamme basi nyuma yake kuna mwanamke mwenye busara. Tusingoje Maria afe ndo tumpe mtaa.
  11. Umri wa uzee lazima uitwe mchawi au mwanga

    Hii tabia ya kuwaita wazee ni wachawi au wanga haijaanza juzi ila imekuzwa na vijana kuona wazee ndio washiriki wa mambo hayo. Je ukifika umri wa uzee na wewe utakubaliana kuitwa mwanga au mchawi. Tukomeshe:
  12. J

    Pre GE2025 Lema: Nikiwa na Wenje, Heche na Msigwa makamu Tundu Lisu alituhakikishia Nafasi atakayogombea Mbowe basi Yeye hatachukua fomu!

    Godbless Lema ameandika ukurasani X Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee ==== Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu wengi pamoja na ushauri wake. Jibu langu kwenu ni hili ,tukiwa Arusha mahali fulani kwenye...
  13. Kwani ni lazima wauza nafaka wote jumla kuwa na mizani ile kubwa ya bei kubwa, hizi za digital hazifai kupimia magunia?

    Mimi nataka fungua nafaka jumla ila nashangaa wenzangu kila kona wana mzanii ile mikubwa kama hii. Sas nilikuwa nauliza ya digital haifai kwani kama hii kupimia magunia ya kilo mia.
  14. Kila badiliko lazima liwe na kiongozi wa kulihamasisha

    Watu ni mtaji mkubwa sana katika kuleta mabadiliko yo yote yale ya kijamii. Haijalishi watu wako na utayari kiasi gani, pasipo kiongozi wa "kulianzisha", matamanio yao yatasalia ndotoni. Wakati mwingine, si lazima watu wajue kuwa wanao uhitaji, lakini itamlamzimu kiongozi kujua uhitaji wa watu...
  15. Kuwa na mkalimani wa lugha ya alama iwe lazima kwenye vituo vya Televisheni

    Napenda kuisihi Wizara ya Habari kusimamia suala la wakalimani wa lugha ya alama iwe suala la lazima katika vituo vya Televisheni ili kuwapa haki ya kutopitwa na taarifa ndugu zetu wenye changamoto ya usikivu. Vituo vingi hapa nchini havitoi hiyo huduma na hii ni kutowatendea haki ya msingi...
  16. Barabara ya Tabata Mawenzi ina mashimo ya kutisha, magari yote mwezi ujao lazima yafurike gereji

    Kwa magari yanayopita hapo daily, next month andaeni bajeti ya Shockabsorbers, ball joints na bushes za aina mbali mbali. Kuhusu picha mi nimeona aibu kupiga picha, mwenye ujasiri wa kupiga picha aende akapige mwenyewe.
  17. Kitabu: Ukisoma historia ya Wachaga lazima usikie harufu ya damu

    Asili na habari za Wachaga Wachaga walikuwa ni moja ya makabila ya kwanza kwanza kabisa Tanzania kukutana na kupata ustaarabu wa Kizungu. Hilo limefanya kuwa kabila ambalo historia yake imeandikwa na kutunzwa zaidi. Sasa historia yao imejaa damu hasa, kuisoma tu lazima usikie harufu ya damu...
  18. Ngono ni hitaji namba 3 kwa mwanamke. Lazima uanze kumpa haya mawili kwanza

    Sisi watumishi akili zetu zimekubali kuongozwa na maandiko. Maandiko katika kutoka 21:10 inatoa list ya mahitaji ya muhimu kwa mke au mwanamke. 1: Chakula. 2: Mavazi. 3: Ngono. Kabla hujajiandaa kupiga misamba na style mbalimbali za kumfaidi mwanamke wako hakikisha kwanza unamlisha vizuri...
  19. Hongera Kamanda Paul L Fulano kuimarisha chama Sengerema. 2025 lazima umg'oe Tabasamu na utajiri wake

  20. Wosia wa Gardner lazima uheshimiwe, wimbo wake wa "Do you want a beer" lazima upigwe msibani

    Nalaani tabia ya watu wengi waliobaki kutokuheshimu wosia wa Marehemu. Gardner alisikika mara kadhaa redioni akisema siku akifariki wimbo wake pendwa " do you want a beer" kutoka Zimbabwe upigwe msibani, naomba wosia huu uheshimiwe na kila aliyebaki. https://youtu.be/K08KPcivpv8?si=3AzwB3M_YnU_Pjo-
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…