lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa nini Bitcoin Halving ni Tukio la Kawaida na Si Lazima Lipandishe Bei Siku Hiyo

    Bitcoin halving, linalojulikana pia kama "nusu ya zawadi ya block", ni tukio linalopangwa ambapo idadi ya Bitcoin mpya zinazotolewa kwa wachimbaji kwa kila block iliyothibitishwa hupunguzwa kwa nusu. Hii hutokea takriban kila miaka minne, na imeundwa kudhibiti idadi kamili ya Bitcoin...
  2. Kwenye uchimbaji ni lazima kujua jiolojia ya kina cha miamba kwenye upatikanaji wa madini

    Kwa nini tunataka ili? Ndio, katika uchimbaji wa madini, uelewa wa jiolojia ya kina cha miamba ni muhimu sana. Jiolojia ya kina cha miamba inaweza kusaidia katika kutambua maeneo yenye uwezekano mkubwa wa kupatikana kwa madini, kuelewa muundo wa miamba, na kubaini mifumo ya matabaka yenye...
  3. Ili Tanzania ibadilike lazima haya yafanyike

    1. Katiba Mpya - Lazima itungwe katiba mpya yenye meno inayoweka hatua anazopaswa kuchukuliwa kiongozi endapo ataivunja. Katiba hii iweke misingi ifuatayo; a) Rais ateue Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Mawaziri tu- Akishateua lazima hao watu wathibitishwe na Bunge. Mawaziri wasiwe...
  4. Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

    Umri wangu ni miaka 45, Hali yangu ya kindoa ni mtalaka, watoto wanne, Kila mmoja na mama yake, na watoto wote wako kwa mama zao. Kazi nafanya, Hela napata, pombe nakunywa. Mambo ya mabebzi labda itokee tu, wana gharama sana na Mimi ni bahili sana. Mwanamke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo...
  5. Dalili zinaonesha, Yanga lazima ichukie ubingwa klabu bingwa msimu ujao

    Nimeangalia katika angle mbalimbali, ninejiridhidha, kombe linatuwa Jangwani. Ukibisha, bisha kwa hoja.
  6. M

    Sheria ya goli ni kwamba ni lazima mpira uvuke mstari kwa asilimia 100

    Kwa maneno mengine ni kwamba ukichora mstari juu sambamba na ule wa chini halafu uchore mstari mwingine kutoka juu hadi chini perpendicular (nyuzi 90) hapo ulipo mpira, huo mstari wa kutoka juu kuja chini haupaswi kuugusa mpira! Kwa hiyo hata kama mpira umebaki. Nje kwa milimita 1 Hilo dogo...
  7. Ukiwa maskini, huna miradi lazima uwe kondoo mbele ya bosi wako. Hakikisha una miradi usiwe kondoo

    Hello! Fanya utafiti sehemu yako ya kazi utakuja kuthibitisha hili Wafanyakazi maskini, hawana nyumba au wana nyumba zisizoeleweka, wafanyakazi wasio na option B, wafanyakazi wenye CV zenye mashaka, wafanyakazi wasio na miradi nje kazi hao ndio huishi kwa uchawa. Hao ndio hufokewa kila mda...
  8. Hivi ni kweli alama za viganja vya mtoto ni lazima zifanane na za baba yake

    Kuna mahali umetokea ugomvi kisa alama za viganja vya mtoto havifanani na baba ake. Je, kuna ukweli wowote wa hilo jambo?
  9. Shikamoo ni lazima? Unaninyima nini?

    Hivi hii salamu ya kifashisti ilitungwa na nani? Kuna watu wamenizidi umri lakini nikiwaamkia shkamoo hawaitikii. Wanaona soo. Kesho yake ukijiongeza ukaamua kutokumsalimia ananuna na kufura kama jinamizi. Sijui ni kwanini ati? Mimi mwenyewe nikiambiwa shkamoo siitikii kabisa. Labda niamkiwe...
  10. M

    Mamelodi hana maajabu lazima atolewe, Yanga anaenda nusu fainali kwa kishindo ijumaa ijayo

    kila msimu mamelodi huwa anatolewaga kwenye hizi hatua za mtoano. hizi ndio records zake mfululizo zamu ya yanga kumtoa imeshafika
  11. Nchi ya ovyo, viongozi wateule hata wakiulizwa salamu tu lazima wamshukuru na kumsifia Samia

    Hivi hawa mawaziri wana vyeti vya form four? Sijaulizia Degrees, Master's au PhD. Mtu yeyote angalau mwenye cheti cha kidato cha nne lazima ajitambue, hawezi kuishi kwa kutegemea bahati. Kila jambo likija mikononi mwake anaamini kuwa ni haki yake na anastahili. Hawa mawaziri ambao kila...
  12. Dar kama hujaja siku nyingi siku ya kuja lazima udakwe na kichefuchefu

    Dar kama hujaja siku nyingi, siku ya kuja lazima udakwe na kichefuchefu. Kichefuchefu ni kitendo cha mwili kujilinda dhidi ya sumu. Mtu akila sumu au kitu cha kudhuru mwili una sense na kuleta kichefuchefu ili ukitapike. Sasa hata hewa nzito na mbaya inaenda kushtua eneo lile lile...
  13. L

    Winga Kramo, Winga Onana, Kumi Triple C Al Ahly lazima ayatimbe

    Ayoub anaanza, kuliko Kapombe, kushoto Tshabalala, Inonga na Che Malone, viungo ni Sadio Kanoute na Ngoma, kulia na kushoto ni Onana na Kramo, katikati pale nawaweka Chama na Saido Ntibanzokiza. Mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa naiona Semi final
  14. Maisha lazima yaendelee

    Sikiliza akili kubwa kama ifuatavyo: Dunia hii imejaa mitihani mingi sana yaani tangu unazaliwa mpaka unarudi six feet under; Utakabiliana na mambo mengi, kwa kuchagua au kwa lazima; Utapoteza wapendwa na wapenzi wako; Utaumwa na kuugua maradhi yanayotibika na yasiyotibika; Utashutumiwa na...
  15. Wasanii wa Tanzania wanapaswa kujifunza kitu kwa Eric Omondi, sio lazima kujipendekeza kwa Serikali ili maisha yako yaende

    Msanii wa Comedy kutoka Kenya, amekuwa akifanya vitu ambavyo kikawaida tumezoea kuona vikifanywa na wanasiasa kwa lengo la kutafuta huruma za wananchi waje kumpigia kura wakati wa uchaguzi. Ingawa pia, inaweza kuwa ni pia mipango ya Erico, you never know. Lakini kitendo cha kufanya tu hivyo...
  16. R

    Nchi ikiongozwa na mtu kama Rais Samia lazima watu wake wawe na furaha na biashara zitashamiri kama ilivyo sasa

    Watanzania tuachane na mentality za kijamaa zakuwapa majimbo watu wasio na nyumba wala utajiri wowote. Tuwakatae watu wasio na business mind kuongoza nafasi za kisiasa nchini kwetu. Kuendelea kuwa na viongozi wa kisiasa wanawaza kila saa kwamba wanaibiwa nikukosa exposure. Tuwe na viongozi...
  17. R

    Unakubaliana na Kaduguda kwamba kila simba akicheza na simba lazima mtu afe? Nini tufanye tusife?

    Mzee Kaduguda amehojiwa na kueleza kwamba kila Simba na Yanga wakicheza lazima tukio la kifo kinachotokana na mechi hiyo litokee Kama ndivyo na sisi ni mashabiki wa timu hizi na ukifa ndio umekufa na atutaweza kushangilia mpira tukifa! Nini tufanye sisi mashabiki tusife kwa sababu ya Simba na...
  18. L

    Maneno ya Mwina Kaduguda leo kuwa viongozi wa Simba wakitaka kuifunga Al Ahly ni lazima washirikishe watu wengine yamenifikirisha kinyama

    Mwina Seif Kaduguda, a socio- scientist cum Journalist anaijua Simba nje na ndani hivyo haiitaji saana kumuelezea. Leo akiongea na Wasaf Fm huku akichagizwa na Mnazi wa Yanga Maulid Kitenge amediriki kusema kuwa Yanga ina umoja sana kuliko Simba. Alisema Yanga inacheza mpira mkubwa ss hv...
  19. Japo sio lazima kuhoji kila kitu kwa kuuliza maswali lakini mtu mwenye akili zake timamu ni lazima ajiulize. Ukimya wetu, msitufanye mazuzu kuna...

    Wanabodi, Hapa duniani kuna fani mbalimbali za shughuli, na shughuli kuu ya kwanza duniani baada ya Mungu kumuumba binadamu, ilikuwa ni shughuli ya kutengeneza watoto au kuumba viumbe. Kwa vile Adamu na Hawa au Adamu na Eva, wao waliumbwa na Mungu mwenyewe, hivyo shughuli yao kuu ya kwanza...
  20. Kwa Yanga hii Mamelod lazima atoke, na Yanga atafika fainali

    Kuna wapenzi wa Simba wanaamini kwamba Yanga kupangwa na Mamelodi Sundowns hawatafika nusu Fainali. Kwangu mimi naona Mamelodi ni mwepesi kuliko Al Ahly. Kwenye hatua za mtoana Al Ahly anakuwaga wa moto kuliko kwenye magroup. Simba ndiyo ana wakati mgumu kuliko Yanga. Yanga anavuka hatua hii na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…