lebanon

  1. U

    IDF yamuua Nasser Abd Elaziz Rashid naibu kamanda wa magaidi ya Hezbollah huko Lebanon , alihusikana kurusha maroketi nchini Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel halipoi hata kidogo na muda tayari yule Naibu kamanda alihusika na kurusha roketi Israel keshaliwa kichwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: 3min ago IDF says deputy commander of Hezbollah’s Bint Jbeil district killed in airstrike yesterday The...
  2. G

    Nchi zilizoingia kushirikiana na Iran hazina tofauti na mtu anaecheza michezo ya kipumbavu matokeo ya mchezo huwa ni ya kipumbavu

    Nchi zilizoingia kushirikiana na Iran hazina tofauti na mtu anaecheza michezo ya kipumbavu na matokeo ya mchezo huwa ni ya kipumbavu. Lebanon, Yemen, Palestine, Syria, wanaendelea kupata matokeo ya kipumbavu, hakuna future kwenye hizi nchi zilizowahi kuwa na nuru hapo miaka ya nyuma. Iran...
  3. U

    Mkuu wa IDF wapiganaji 1,500 wa Hezbollah wauawa, wengi wanajisalimisha, mfadhili wao Iran haamini kinachotokea Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? Mkuu wa majeshi ya Israel Luteni Jenerali Herz halev ametembelea vikosi vya Jeshi hilo huko Milima ya Golan Asema kuwa Hezbollah kila siku inazidi kusinyaa na kusinyaa. Wapiganani zaidi ya 1,500 wameuawa tokea Israel ianze operesheni za kijeshi Lebanon Asema Hezbollah...
  4. B

    Lebanon yaishutumu Iran kwa kuingilia masuala yake ya ndani

    Lebanon yaishutumu Iran kwa kuingilia masuala yake ya ndani Chanzo cha picha, Reuters Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Mikati ameelezea kughadhabishwa kwake na kauli iliyotolewa na spika wa bunge la Iran juu ya mustakabali wa kusini mwa Lebanon. Spika wa Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amejitolea...
  5. U

    Kamanda wa Hezbollah huko Lebanon ya kusini, Mohamed Hussein Ramal auawa kwa shambulizi la ndege za Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Mjisomee wenyewe hapo chini: October 18, 2024 IDF says Hezbollah commander in Taybeh area of southern Lebanon killed in airstrike Today, 8:12 am 2 The military says that it killed the commander of Hezbollah’s Taybeh compound Mohammad Hussein Ramal in an...
  6. U

    Waziri wa Ulinzi wa Israel Jenerali Yoav Gallant asema mazungumzo yeyote ya kusitisha vita Lebanon yatafanywa "chini ya mtutu wa bunduki"

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant amesema mazungumzo yoyote ya kumaliza mapigano nchini Lebanon lazima yafanyike "chini ya moto" wakati wa tathmini ya hali ya eneo la kaskazini. Akikutana na makamanda wa Kitengo cha 146 cha akiba, Gallant amesema kukamatwa kwa wapiganaji wa...
  7. U

    IDF imesema kuwa imewakamata wapiganaji watatu wa kundi la Hezbollah wakati wa operesheni zake kusini mwa Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? IDF imesema kuwa imewakamata wapiganaji watatu wa kundi la Hezbollah wakati wa operesheni zake kusini mwa Lebanon. Wapiganaji hao watatu wa kikosi cha Radwan walipatikana wakiwa kwenye shimoni chini ya jengo, kwa mujibu wa taarifa ya IDF. Walihojiwa mara moja baada ya...
  8. U

    Netanyau atinga kambi ya Jeshi la Israel iliyopigwa na drone, aapa kuitandika Hezbollah bila huruma popote walipo Lebanon ikiwemo Beirut

    Wadau hamjamboni nyote? Netanyau atembelea kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan. Ni kambi ile ilotandikwa Kwa drone za Hezbollah na kuleta maafa Kwa Jeshi la Israel. Netanyau amesema watahakikisha wanawasaka magaidi wa Hezbollah kila sehemu waliyojificha huko Lebanon ikiwemo mji Mkuu...
  9. M

    Shambulizi la anga la Israel laua watu 18 na kujeruhi watu 4 nchini Lebanon

    At least 18 people have been killed in an Israeli air attack on northern Lebanon, the Lebanese Red Cross says. Israel air attack on northern Lebanon kills at least 18 At least 18 people have been killed in an Israeli air attack on northern Lebanon, the Lebanese Red Cross says. At least...
  10. Ritz

    Ufaransa yakataa wito wa Netanyahu wa kuondoa unifil kutoka Lebanon

    Wanaukumbi Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imesema kuwa UNIFIL, kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, lazima kiruhusiwe kuendelea na kazi yake, na kukataa ombi la Netanyahu la kuondoa vikosi vya UNIFIL. Ufaransa ilisisitiza umuhimu wa kuwepo kwa UNIFIL katika...
  11. U

    News alert Jeshi la Israel lafanya mashambulizi makubwa nchini Lebanon na kuua watu 51 huku 174 wakijeruhiwa

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: BBCIsraeli strikes killed 51 on Sunday, Lebanese health ministry says published at 07:46 British Summer Time 07:46 BST The Lebanese health ministry says 51 people were killed across the country on Sunday by Israeli air strikes...
  12. Ritz

    Askari zaidi 30 wa Israeli wafariki katika uvamizi wa Lebanon kusini

    Wanaukumbi. Katika pembe tatu ya Aita al-Shaab-Ramya-Qawzah kusini mwa Lebanon wanajeshi 30 wa Israel wametolewa nje na Hezbollah. Tazama uchanganuzi wangu na jinsi nilivyotabiri hii itatokea: ================= In the Aita al-Shaab-Ramya-Qawzah triangle in southern Lebanon 30 Israeli soldiers...
  13. U

    Netanyahu asema umoja wa mataifa lazima iondoe haraka majeshi yake Lebanon, asema uwepo wao unasaidia kuimarisha magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau ameicharikia UN na kuitaka iondoe mara moja majeshi yake Lebanon akiashiria yamekuwa kikwazo kwenye operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi hao. Netanyahu amemueleza Antonio Guterres Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa katika ujumbe wa...
  14. U

    Jeshi la Israel lawaonya wafanyakazi huduma za afya Lebanon kusini waache kutumia ambulance kwani hutumiwa na magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Tahadhari kwa wanaotumia magari ya kubebea wagonjwa almaarufu ambulance kumbe hutumiwa na magaidi ya Hezbollah! #Times of Israel In a separate post, Adraee reiterates an earlier call for health workers and medical teams in southern Lebanon to avoid using ambulances...
  15. U

    Jeshi la IDF laagiza wakazi vijiji 22 kuhama mara moja makazi yao Lebanon kusini

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel laagiza kuwa wakazi wa vijiji 22 vilivyoko kusini mwa Lebanon kuondoka kwenye makazi yao mara moja na kamwe wasithubutu kurejea huko kwa Usalama wao Kazi ya kuwashughulikia magaidi wa Hezbollah kwenye maeneo hayo ya vijiji kusini mwa Lebanon inaendelea...
  16. uzio usio onekana

    Hivi serikali ya Lebanon wanaelewana vipi na Hezbollah?

    Hii dunia inamichezo mingi sana lakini serikali. Ya Lebanon lazima watakuwa wamechoka na tabia za hezbollah na watakuwa wameamua kuwauza Hezbollah kwa Israel kwa sababu haiwezekani ndani ya wiki mbili viongozi wote wa hezbollah wauawawe kama kuku. Na wakati huo wanasema hezbollah ni jeshi...
  17. U

    Mkuu wa majeshi Israel na Mkuu idara ya ujasusi ya shin bet watua Lebanon ya Kusini, waapa kuwasaka na kuwaangamiza magaidi popote walipo

    Wadau hamjamboni nyote? Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Herzi Halevi akiambatana na Mkuu idara ya Usalama wa ndani Shin Bet jasusi mbobezi Ronen Bar watembelea leo hii kibabe kabisa kusini mwa Lebanon. Wababe hao wameapa kuwa magaidi wa Hezbollah na wenzao wote hata wajifiche ardhini au angani...
  18. U

    News alert Kiongozi mwandamizi Hezbollah Wafiq Safa anusurika shambulizi ndege za IDF zikilipuwa jengo kubwa la ghorofa Lebanon, 22 wauawa

    October 11, 2024 LATEST UPDATES ON WAFIW SAFA CONDITION FOLLOWING IDF AIRSTRIKE IN BEIRUT Report: Hezbollah official Wafiq Safa in critical condition after airstrike in Beirut Today, 1:55 pm 13 Sky News Arabia reports that Hezbollah’s Liason and Coordination Unit chief Wafiq Safa is in...
  19. green rajab

    Israel wanaendelea kushambulia makanisa huko Lebanon

    Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon 🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon. How could any Christian support these satanic terrorists?
  20. U

    Jeshi la Israel laua Makamanda wawili waandamizi kundi la magaidi ya Hezbollah Lebanon, walihusika na makombora maalumu ya kulipua vifaru

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la IDF limeendeleza zoezi la kuangamiza makamanda waandamizi wa kundi la magaidi ya Hezbollah Muhammad Ali Hamdan Kamanda mwandamizi aliongoza kikosi cha anti- tank corps huko Meiss Ej Jabal. Ahmad Mustaga Alhaj Ali alihusika na urushaji makombora ya kulipua...
Back
Top Bottom