lebanon

  1. nelo de nelo

    Sehemu ya 2: Ajenda za Masih Dajjal, vita vya Gaza, Lebanon, Syria (Mashariki ya Kati ) na kuzaliwa taifa la Kiyahudi la Israel

    Sehemu ya 2 Kila sifa njema zinamstahiki Mungu wa pekee aliyetupa uzima, afya na ufahamu wa mambo haya. Rehma na amani ziwe nao manabii wa Mungu wote wakiongozwa na nabii wa mwisho nabii Muhammad swalla lllahu alayh wasallam pamoja MASIH Issa bin Maryam ( Yesu Kristo ) Ndugu zangu nichukue...
  2. Richard

    Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

    Marjayoun- Lebanon. Kifaru cha jeshi la Israeli kilifanya doria kwenye mpaka wa Israeli na Lebanon mapema leo asubuhi. Picha na Aya Margolin wa Flash90 Israeli imetangaza kuingiza majeshi yake upande wa kusini mwa Lebanon na kuliweka eneo hilo chini ya jeshi la IDF yaani "military Zone". Hatua...
  3. Mlaleo

    Hezbollah wafanya shambulia la kuvizia kwenye jeshi la Israel mpakani. Sasa Firimbi ishapulizwa

    Press Tv live breaking news. Hezbollah wanasema Wamepiga direct hit Beit Saida, Yifta Kibbutz Zaoura Base then wamekimbia kusiko julikana.. naona wana mbinu kama za Hamas. Jeshi la Serikali ya Lebanon limeanza kuondoka maeneo ya Mpakani na Israel kuwafungulia njia IDF wao wanasema hawahusiki...
  4. Paspii0

    Lebanon: Nchi tajiri na yenye mchanganyiko wa tamaduni, dini, na migogoro

    Lebanon Ni Nchi tajiri na yenye mchanganyiko wa tamaduni, dini, na migogoro. Lebanon ilikuwa nyumbani kwa Wanafikra na walikuwa maarufu kwa biashara na utamaduni. Miji kama Tiro na Sidon ilikua na ushawishi mkubwa katika baharini na kibiashara. Mji wa Baalbek ulijulikana kwa hekalu lake la...
  5. GENTAMYCINE

    Netanyahu Kiboko yaani ananichakazia Watu huko Lebanon na Gaza, halafu leo kapanda Gari akawa anapiga Mluzi na Kucheka Kijeuri

    Ukiona hadi GENTAMYCINE nampenda Mtu jua nimeshamtathmini kwa Vigezo vyangu vyote na kugundua kuwa ana Akili, Mbabe, Jeuri halafu ni Mpenzi wa Visasi vya Kuwanyoosha Wajinga (Madunduka) na Wapumbavu (Mapopoma) hasa wa huko Mashariki ya Kati pamoja na wale Wapuuzi wanaowasapoti. Duniani cheza na...
  6. U

    Makomandoo wa Israel wavamia na kulipua mahandaki ya magaidi wa Hezbollah mpakani mwa Israel na Lebanon, uvamizi kamili muda wowote

    Wadau hamjamboni nyote? Makomandoo wa IDF wameanza kulipua mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hezbollah huko mpakani mwa Israel na Lebanon Ni maandalizi ya uvamizi kamili unaotarajiwa muda wowote kuanzia sasa. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Israeli troops have entered Hezbollah...
  7. U

    Naim Qassem Kaimu Kiongozi Mkuu Hezbollah atoa hutuba nzito, aionya Israel isithubutu kuivamia Lebanon watapambana nao vikali

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: In first address since killing of leader Hassan Nasrallah, Hezbollah deputy chief Naim Qassem says group is ready for any Israeli ground invasion, will select new head based on existing mechanism. https://aje.io/ohd77t
  8. U

    Watu milioni moja wakimbia makazi yao kufuatia mashambulizi makali ya Israel dhidi ya magaidi ya Hezbollah nchini Lebanon

    1 hr 53 min ago Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: 1 million people displaced in Lebanon, prime minister says One million people in Lebanon have “moved from place to place in just a few days,” the country’s caretaker Prime Minister Najib Mikati said on Monday as...
  9. Shooter Again

    Magaidi wanaisha huko Lebanon. Hongera sana Israel kwa kazi nzuri

    Aisee huyu myahudi anatembeza kichapo mpaka Raha nimetoka kufuatilia hapa BBC News aisee magaidi yanaondolewa sio mchezo Mungu ibariki San Israel iendelee kutoa kichapo kwa haya magaidi na uzao wao wote Israel ni taifa teule viva Benjamin Netanyau wavaa kobazi hoi huko lebanon
  10. MK254

    Wananchi zaidi ya 100,000 wa Lebanon waikimbia nchi, waingia Sysria kama wakimbizi

    Magaidi ya waislamu, Hezbollah inasababisha shida kubwa sana kwa wananchi wa Lebanon, na mbaya zaidi haya magaidi sio raia wa nchi hiyo, ni majitu yametokea huko mbali yamejawa na mzuka wa kiislamu wa kuua watu. ============= More than 100,000 people have crossed into Syria from Lebanon since a...
  11. Obugwa Izoba

    Mzigo uko tayari! Ground invasion ndani ya Lebanon soo. Tunaenda kuona version two of Gaza

    Isarael any time soon anafanya ground invasion ndani ya Lebanon. Hapo Hezbollah ndo watajua hadithi za 2006 zilikuwa mtego ili wajisahau Photos: Israel deploys tanks near Lebanon border [Menahem Kahana/AFP][Menahem Kahana/AFP][Menahem Kahana/AFP]
  12. Nkobe

    Mpaka miaka ya 1960's Lebanon ilifahamika kama Paris ndogo ya Mashariki ya Kati

    Ukisoma historia ya Lebanon, hadi miaka ya 1960, ilikuwa nchi ya Wakristu. Kama ilivyo kawaida kwa jamii za Kikristu, Focus yao kubwa ilikuwa ni elimu, kusali na kufanya kazi kwa bidii, hii iliifanya Beirut kuitwa Paris ndogo. Kosa lililofanyika ni kuruhusu Wasiria na Wapalestina kuhamia na...
  13. MK254

    Makomando wa Israel huwa ndani ya Lebanon, tena ndani haswa

    Idadi kubwa ya makomando wa Israel huishi Lebanon ndani na hamna wasichokijua au kukifanya humo tena kimya kimya.....ndio hutoa taarifa za wapi pa kupiga, husaidia sana kwenye mapigo dhidi ya magaidi wa waislamu. ================= The New York Times says that Israel has worked since the...
  14. M24 Headquarters-Kigali

    Tanzania Muslim & Youth Association (TAMSYA) toeni tamko yanayoendelea Lebanon

    Watukufu Viongozi wa TAMSYA, Assalam Aleikum. 1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote? 2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini? 3. Dunia inasubiri tamko lenu Wasomi.
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Israel intelligence ijue Walipo viongozi wa Lebanon na Hammas lakini haijui Mateka walipo. Israel ni washenzi Sana.

    Habari za jioni! Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi. Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa. Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa! Hiyo vita hapo...
  16. PureView zeiss

    Jeshi la israel wafanikiwa kumiliki anga lote la lebanon hakuna ndege kutua bila idhini yao

    BREAKING: Ndege ya mizigo kutoka Iran inayotakiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Beirut imegeuka baada ya Israel kufahamisha udhibiti wa usafiri wa anga katika uwanja huo kwamba Israel itaanzisha mashambulizi dhidi ya ndege hiyo iwapo ingetua Beirut. Israel haitaruhusu silaha za IRGC...
  17. HIMARS

    Israel yapiga marufuku ndege za kijeshi kutua Lebanon

    Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Israel limeanza kufatilia na kutawala anga lote la Lebanon na kupiga marufuku ndege zote za kijeshi kutua Lebanon. Mamlaka ya Anga ya Lebanon imekubaliana na Israel na imefuata matakwa ya Israel. Israel imesema yeyote atayeleta ndege itazuiwa au...
  18. G

    Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

    Makao makuu ya Hezbollah mjini Beirut yamechakazwa vibaya kwa ndege za kivita za Israel na kuharibu eneo lote kabisa, shambulio Hilo lilimlenga kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah ambaye haijulikani alipo mpaka sasa Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake. Hezbollah...
  19. J

    Watanzania mlioko Lebanon rudini nyumbani tafadhali mko eneo hatari sana

    Chonde chonde Watanzania mlioko Lebanon rudini nyumbani tafadhali Ni Wazi Israel haitarudi nyuma hivyo twawasihi Wakati mataifa makubwa duniani yanaondoa Watu wao nanyi rudini nyumbani Ahsanteni sana. Soma Pia: Wimbi la pili la milipuko ya vifaa vya mawasiliano Lebanon laua 20 na kujeruhi 450
  20. Mlaleo

    Israel itasaidia Lebanon irudi kama zamani kuwa Phoenicians Christian Country Arabs must go back walikotoka wasumbufu

    07/07/2023 Christian Front in Lebanon rejects Iranian encroachment and calls for UN intervention BEIRUT — The Christian Front in Lebanon released a statement following a recent meeting addressing various issues and developments in the...
Back
Top Bottom