Ni mtoto labda ndio hajui kuwa hamas na hezbollah ni midori ya Iran.
Iran atafanikisha lolote lile liendalo na utapeli wake hata kwa gharama ya damu ya watu wake wenyewe.
Nini haswa madhumuni ya Iran,
kufanikisha kupatikana haki kwa walebanon na wapalestina??????
Hapana madhumuni ya Iran...
Baada ya mashambulizi makubwa hapo jana yaliyofanywa Lebanon na jeshi La Israel kwenye maeneo IDF iliyosema ni zaidi ya 1300.
Muda huu Hizbullah wanarusha mvua ya maroketi kuelekea vituo vya kijeshi vya Israel.
Kwa mujibu wa matangazo hayo ya moja kwa moja makombora mawili kati ya hayo...
Mamlaka za Lebanon zimesasisha hivi punde kuwa idadi ya waliofariki kutokana na mashambulizi ya anga ya Israel leo imefikia watu takriban 274 sasa. 21 kati yao ni watoto, kulingana na wizara ya afya ya Lebanon.
Watu wengine 1,024 wamejeruhiwa katika mashambulio hayo, wizara hiyo inaongeza...
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Hawa Hezbollah hupigana kwa masilahi ya Nani
Hamas hupigana kwa maslahi ya nchi yao ya Palestine na hawa Hezbollah kwa masilahi yapi na ya nani
Mbona wanawaumiza walebanon
Kwani Israel na Lebanon zina ugomvi
Je, Hezbollah pale Lebanon ni akina nani je...
At least 50 people have been killed and more than 300 wounded by Israeli air strikes in Lebanon, the ministry of health said Monday.
Also read >Wakazi wa Kusini mwa Lebanon wamepokea SMS zikiwataka kuhama kwenye nyumba zao
Smoke billows over southern Lebanon following Israeli air attacks...
Wadau hamjamboni nyote?
Myahudi hajapoa kama unadhani hivyo nikupe pole
Mara tu baada ya Sabato ya kiyahudi kuisha IDF wamefanya mashambulizi mapya makali usiku huu yakilenga shabaha maeneo takribani 180
Taarifa kamili hapo chini
New wave of strikes in Lebanon as Israel braces for potential...
Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa zilitengenezwa na mdau mwengine.
Kikawaida Israel inapoona imepata mafanikio kwenye mashambulio...
Katika kitu ambacho wavaa kobazi wanakiogopa ni kuwatajia jina la hii nchi ya Israel mtoa roho aisee hii nchi inatembeza vichapo vya mbwa Koko Kwa Hawa wavaa magauni sio poa baada ya kuifuta Gaza huyu myahudi sio mtu mzuri aisee anataka kuifutilia mbali Lebanon maana sio Kwa kichapo hichi...
Wadau hamjamboni nyote?
Israel imetekeleza mashambulizi makubwa ya anga kusini mwa Lebanon, ikibainisha kuwa ndege zake za kivita zimepiga zaidi ya roketi 100 za Hezbollah na maeneo mengine ya "kigaidi," ikiwa ni pamoja na ghala la silaha.
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limesema vizindua...
Sauti za milipuko zimesikika katika maeneo ya kusini mwa Beirut ambako ni moja ya ngome kuu ya Hezbollah nchini Lebanon.
Milipuko hiyo imetokana baada ya Radio Calls za wafuasi wa Hezbollah kulipuka ghafla
Utakumbuka kuwa jana Pagers za Hezbollah zililipuka ghafla na kusababisha vifo vya watu...
Hii nchi ya Lebanon kila siku naisikia iko vitani na Waisraeli au migogoro ya siasa za ndani kwa ndani kati yao wenyewe ila nimeshangaa masoko yao yana tiles!
Sisi tunashindwaje kuweka hata zege tu bila tiles kwa soko muhimu kama la Mabibo??
Masoko yote yalitakiwa yawekwe pavement blocks.
Tumezoea matukio mengi ya mashambulio yanapofanywa na wapinzani wa nchi za magharibi huitwa ni mashambulio ya kiuoga.Mtu anaamua kujiripua sehemu fulani au kutumia silaha kushambulia adui hadharani lakini huwa inasemwa ni shambulio la woga tu.
Kwa shambulio hili lililofanywa jana na Israel kwa...
Baada ya mashambulizi yasiyokoma kutoka Lebanon kwenda Israel, siku ya jana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alikutana na maafisa wa kijeshi na usalama na kuja na uamuzi wa kuanza opereshenk nchini Israel.
Siku ya leo jeshi la Israel limepeperusha vikaratasi vikiwasihi wananchi kuondoka...
Kiongozi mkuu wa Hamas,ndugu Yahya Sinwar ametoa pongezi kwa viongozi wa Hizbullah ya nchini Lebanon kutokana na kuwaunga mkono wapalestina kwa njia ya kuwashambulia Israel bila kuchoka.
Pongezi hizo zilitumwa kwa njia ya barua na kuwekwa wazi na vyombo vya habari vya Lebanon ni jibu la barua...
Israel imeanzisha mashambulizi kadhaa kusini mwa Lebanon katika siku ya mwisho, likiwemo lililomuua kamanda mkuu wa Hezbollah.
Mohammed Qassem Al-Shaer, kamanda wa kikosi cha wasomi wa Hezbollah cha Radwan Force, aliuawa katika shambulio katika kijiji cha Qaraoun katika wilaya ya Beqaa...
Wanaukumbi.
Video nyingine inaonyesha shambulio la ndege isiyo na rubani ya Hezbollah dhidi ya Israel.
Jumla ya ndege 3 zisizo na rubani zilifikia lengo lao.
Israel wanasema walizuia mashambuli kutoka Lebanon, Israel wamepiga marafuku waandishi wa habari kupiga picha maeneo yanayoshambulia...
ISRAEL ASSASSINATES ANOTHER IRAN OFFICIAL, THEN COMMENCES "PRE-EMPTIVE ATTACKS" AGAINST HEZBOLLAH IN LEBANON
August 24, 2024
Israel has assassinated the head of Iran's KHASH (Intelligence) Agency, in front of his home in Iran, and then commenced "pre-emptive" attacks against Hezbollah in...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kutokea Lebanon
Wenye nchi yao sasa wamecharuka wanataka Hezbollah wafurushwe nchini mwao na Serikali yao iwe na mamlaka kamili ya kutawala Kwa nchi yote ya Lebanon
Madhara ya Hezbollah kuendesha shughuli zao ni makubwa sana hivyo ni wakati muafaka kikundi...
Wadau hamjamboni nyote?
Kazi nzito kuwasaka na kuwapeleka jehanam magaidi wa Hezbollah inaendelea kwa kasi kubwa
Muda mfupi uliopita gaidi mwingine ameliwa kichwa na drone ya IDF akiwa kusini mwa Lebanon
Jina la gaidi huyo MUHAMMAD NAJAM
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Soma Pia...
Explosions after an Israeli airstrike that reportedly targeted ‘Hezbollah weapons depot’ in Lebanon
An Israeli strike on Monday evening targeted a Hezbollah arms depot in Lebanon's eastern Bekaa Valley, two security sources told Reuters.
There were no immediate reports of casualties, the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.