leo.

Leo is one of the constellations of the zodiac, lying between Cancer the crab to the west and Virgo the maiden to the east. It is located in the Northern celestial hemisphere. Its name is Latin for lion, and to the ancient Greeks represented the Nemean Lion killed by the mythical Greek hero Heracles meaning 'Glory of Hera' (known to the ancient Romans as Hercules) as one of his twelve labors. Its symbol is (Unicode ♌). One of the 48 constellations described by the 2nd-century astronomer Ptolemy, Leo remains one of the 88 modern constellations today, and one of the most easily recognizable due to its many bright stars and a distinctive shape that is reminiscent of the crouching lion it depicts. The lion's mane and shoulders also form an asterism known as "The Sickle," which to modern observers may resemble a backwards "question mark."

View More On Wikipedia.org
  1. Badhi ya wanajeshi wa Afrika Kusini kurudi kwao leo.

    Pichani, ni maandalizi ya jeshi la Polisi nchini Rwanda,mpakani mwa Rwanda na DRC. Eneo hili ndo watapitabadhi ya wanajeshi wa Afrika Kusini, na kupekuliwa, ili waendelee na safari yao,kuelekea uwanja wa ndege wa Kanombe huko Kigali.
  2. J

    M23 wafanya shambulio jipya DRC mara baada ya kusema watasitisha mapigano nchini humo

    Wakati viongozi wa DRC na Rwanda wakijipanga kuja Dar kwa mazungumzo ya kumaliza Vita Mashariki mwa DRC huku M23 “wakiiigiza” kuacha vita jana. Habari kutoka uwanja wa vita ni kuwa mapambano yameanza upya leo huku M23 wakilia kwa kichapo kikali kutoka majeshi ya DRC na washirika wake. Kwa...
  3. Mtoto kamwaga ugali, nyumba yote wanakwenda kulala njaa

  4. Mixx by Yaas wamecharuka leo, hakuna huduma ya mtandao

    Leo nimewalisha hela nyingi lakini sipati huduma ya internet. Inakuwaje hii?
  5. D

    Wenje kaongea utumbo sana Wasafi FM leo

    Nilidhani wenje ana elimu hata kidogo kumbe ni mweupe kiasi hiki. Contents nzima zililuwa zimejikita kwenye hisani ya ccm kuisaidi chadema au hisani kwa namna yoyote. Lisu anataka principals of administration weqe unazungumza hisani? Borq asingeenda wasafi fm amejidharilisha
  6. U

    Waziri Mkuu wa Israel agundulika na Kansa ya tezi dume stage 3 baada ya kufanyiwa uchunguzi

    Wadau hamjamboni nyote? Tumuombee mwamba Mungu amfanyie wepesi alone arudi kuongoza mapambano dhidi ya magaidi Mungu ibariki nyumba ya Yakobo PM to be hospitalized for several days for prostate surgery, Prime Minister Benjamin Netanyahu addresses the Knesset, December 23, 2024. (Chaim...
  7. Watakaogeuka Kuwa Maadui Wakubwa wa Mbowe na CHADEMA, ni Wanachama na Wapenzi wa CHADEMA wa Sasa

    Hakuna aliyetarajia kuwa Mbowe angekosa hekima katika kufikia maamuzi ya ama kugombea au kupumzika, mpaka iliposhuhudiwa leo. 1. Kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, Lisu alistahili kushindani katika nafasi anayogombea, lakini mpinzani huyo hakustahili kuwa MBOWE. 2. Mbowe, kiuhalisia, hata...
  8. Nimekutana na skin walker usiku wa kuamkia leo. Alikuwa binadamu, akageuka kuwa mbwa

    Usiku wa kuamkia Leo, muda ya saa Saba usiku, nikiwa na mwanangu wa chuo kikuu cha UDSM, mke wangu, Binti wangu wa sekondari na mtoto wa kaka yangu tulikiwa tunatoka hotelini, tunalisogelea gari letu lililokuwepo maeneo ya maegesho ya Golden Tulip, Oyster Bay. Mwanga wa eneo la maegesho...
  9. Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili. Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo.

    Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili. Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo. Ukiacha mbinu za kimuundo na upaaji, sehemu ya tafiti za viumbehai zinaonesha jinsi baadhi ya ndegehai kama Bukini mara kadhaa hugeuza kiwiliwili...
  10. Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

    Muda mchache uliopita Rais wa Korea kusini ametangaza Hali ya hatari na kusema kuanzia Leo serikali inaongozwa chini ya sheria ya kijeshi, amevunjwa Bunge , vyombo vyote vya habari vipo chini ya serikali, hakuna maandamano Wala shughuli zozote za kisiasa. Inasemekana wabunge wa upinzani ambao...
  11. Barafu imeshamiri Mlima Kilimanjaro kwa siku ya pili leo

    KILI YANG'ARA
  12. Msimamo wa Ligi Kuu baada ya mchezo wa leo

    Msimamo Wa Ligi Kuu Baada Ya Mchezo Wa Leo Jitambulishe Kwa Emoji Moja Hapa Ya Nafasi Ya Timu Unayoishabikia ⤵️
  13. LADY JAY DEE ndani ya bongo fleva Honoros usiku wa leo

    LADY JAY DEE NDANI YA BONGO FLEVA HONOURS USIKU HUU... Kuanzia ‘siku hazigandi’ hadi ‘ndindindi’, kupita kwenye ‘wangu’ hadi ‘mambo matano’ hizo ni baadhi tu ya nyimbo kutoka kwenye collection ya Malkia wa Bongofleva, Dada mwenye ukuu wake kwenye dunia ya Bongofleva Lady JayDee ambaye leo...
  14. Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024

    Leo Jumanne, Taifa Stars itakuwa dimba la Benjamin Mkapa kwa kazi moja tu kusaka ushindi dhidi ya DR Congo katika mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco. Mechi hii itachezwa saa 10:00 jioni Mpira umeanza kipindi cha kwanza na DR Congo ndiyo wameanzisha gozi. Dakika, 2 Stars...
  15. Maneno ya hekima kwa leo

    Pasipo kitu ndio upo, pasipo kitu ndio chanzo cha kila kitu. Hivyo basi, endelea kuwa hadi usiwe kitu chochote kwa kuwa katika si chochote ndio kila kitu kipo hapo. Hivyo ukiweza kuwa hapo utaweza kuvutia kila kitu ambacho wewe wahitaji kua. Nikutakie juma3 njema. By Dr Asili kwanza. WhatsApp...
  16. L

    Hivi Ndivyo Rais Samia Alivyopamba na Kutawala Magazeti Yote ya Leo

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya hapo jana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kutema cheche na kutoa hotuba nzito ya karne na kihistoria na kuteka anga la kitaifa na kimataifa na kupongezwa kila kona ya Nchi yetu. Hii leo Magazeti yamepambwa...
  17. M

    Tanesco Mungu anawaona. Mlisema umeme mnaturudishia saa 12 jioni leo.

    Wenye hekima wanasema usitoe ahadi usiyokuwa na uhakika nayo. Mkurugenzi Mkuu tunaomba ikikupendeza huyu Injinia wa Wilaya ya Ubungo na Kibamba MUHAMISHIE NACHINGWEA , tunaona muda wote yupo bize na shughuli zake binafsi za ujasiriamali halafu muda wote ni kuchomekea tu na tai. Injinia gani...
  18. Tunayaweza yote katika yeye atutiaye Nguvu

    Mungu wewe ni muweza wa yote. Tunaomba ulinzi wako siku ya leo na siku zote.. Amen
  19. Ujumbe Wangu kwa Rais Samia siku ya Leo kuhusu Wafanya Biashara

    Rais wangu wa Tanzania, Wasalaam! Iwapo kweli umechagua kuwa chura kiziwi, itoshe kukushauri kwamba uchague tena na maeneo ya kuwa kiziwi. Sio kile kelele ihahitaji kuwa kiziwi, nashauri hili swala la wafanya biashara ujitokeze mwenyewe na iwe baada ya kupata ushauri wa kina. Kwa sasa ubebaki...
  20. CCM inakwenda Butiama leo.

    Nasikia habari hizi Dr. Emmanuel Nchimbi atakwenda Butiama kijijini kwa Mwalimu Nyerere. Lakini sijapata mtu wa kumuuliza. Certainly hapa kijijini Butiama kuna maandalizi ya kumpokea mgeni but I don't know who. Labda nimuulize Lucas Mwashambwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…