Kiukweli huwa sipendi Simba ishinde... Imekuwa na kujisikia sana kwa miaka yao ya hivi karibun tena kwa kubebwa na CAF. nilichokuja gundua ni kuwa hata CAF wanaipendelea Simba. Sijajua labda sababu ya CEO wake
Simba uwezo wake ni wa kawaida sana. Yaani sana. Kama unavyoiona Ruvu Shooting au...
Sisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa .
Tunatambua kwamba ujumbe huo ni wa Wanasiasa na wala haujatoka kwetu sisi viongozi wa Dini. Sisi kama viongozi wenu wa Dini tunaendelea kujikita...
Kwa starehe za kiwango cha kutisha kwa sasa mahali pake ni katika visiwa Maldives vilivyopo ndani ya Bahari ya Hindi huko Asia.
Haipo starehe ndani ya Ulimwengu huu utaikosa huko Maldives!
Matendo ya kishetani yatendekayo katika visiwa vile ni zaidi ya kusimuliwa.
Usichokijua Visiwa hivyo...
Habari za Ijumaa wikenda wapenzi wasomaji wa MMU.
Kwanza napenda nitoe maelezo kuhusu tabia yangu ya kimaisha.
Declaration; Mimi nimeoa mke wangu Mama wa nyumbani. Nimefanya hivi kwa kuwa napenda sana starehe. Yaani napenda ninaporudi nyumbani nikute nyumba imesafishwa, inang'aa, chakula...
Leo mida hii ya swala ya adhuhuri afisa chanjo amefika msikitini tunapo swalia, nahisi atakuwa sio muislam maana kipindi tunaingia kuswali yeye alibaki nje.
Baada ya swala watu wachache wamejitokeza kuchanja hasa idadi kubwa ikiwa ni wazee wenye umri zaidi ya miaka 50+ na vijana wachache...
Tulikuwa Zanzibar na tumekuja na Mtaalamu mwingine na kukutana Katikati ya Jiji. Hii matches uhakika wa kushinda ni Asilimi 101. Wanayanga ondoeni shaka.
Ushirikiano na Viongozi ulikuwa mzuri na hawa wenzetu wanajidai wao wanajiamini na team yao. Watapatwa na kitu Kibaya sana siku ya Leo...
Soko kuu la kingalu la mjini morogoro kumejaa watu muda huu vizimba vya wamachinga vinaweza vikazinduliwa leo. Vimepewa majina ya mitaa ya viongozi Samia Suluhu mpango majaliwa abood mkuu wa mkoa nk pamenoga Sana walio hapa tufahamishane.
Wakati wote Mungu ni mwema.
Mungu aendelee kukubariki na kukutia nguvu mpendwa katika Bwana mtumishi Tundu Antipas Lissu.
Katikati ya maumivu ya kimwili wakakunyang'anya na ubunge lakini kuna wanaccm wawili walionesha Upendo wa kukutembelea pale Nairobi hospital nao Mungu amewabarikia bara na...
Leo Jumamosi Septemba 04, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali Mhe Gerson Msigwa atazungumza na Wanahabari na kutoa taarifa ya wiki kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari kuanzia saa 5 asubuhi. Wananchi watapata fursa pia ya kuuliza maswali kwa kupiga simu kupitia Simu no: 0733111111
Usikose...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.