Habari waungwana,
Mimi nilisoma udereva katika chuo kimoja cha veta cha serikali huku kaskazini mwaka 2018 na kupewa leseni Class D,
Sasa nina taka kwenda kusomea tena kwa ajili ya kupata leseni Class C, sasa nilikua nimepata fununu kua vyuo vya veta vya serikali havitoi Class C mpaka NIT...