leseni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Mgodi wa Barrick Bulyanhulu waongezewa muda wa leseni ya uchimbaji

    Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba (kushoto) akimkabidhi leseni ya kuongezewa muda wa uchimbaji wa mgodi wa Barrick Bulyanhulu kwa Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido katika hafla hiyo , wanaoshuhudia nyuma (kushoto) ni Waziri wa Madini, Mh.Antony Mavunde na Mkuu wa...
  2. peno hasegawa

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde utaifuta lini Leseni ya utafiti PL 6973/2011 ambayo imekwisha muda wake?

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, tunakuomba upitie ,ufuatilie leseni ya utafiti wa Dhahabu ambayo imekwisha muda wake PL 6973/2011. Leseni hii Mama yetu na Rais wetu Dkt. Samia, alisema ni eneo la wachimbaji wadogo huu ni mwaka wa tatu. Kwanini haifutwi ili kuruhusu wachimbaji wadogo...
  3. R

    M - Gas biashara imewashinda. TBS futieni leseni hawa wapuuzi

    Kama kichwa kinavyojieleza. Wiki ya 3 inakwenda mteja nafanya kubembeleza mfanyabiashara. Natumia gesi ya hawa wapuuzi baada ya kushawishiwa na sijui wakala wao baada ya kutuunga kwenye group watu wengi. Nikauliza group la nini ndio kujua habari za M gas. Kazi iko hapa > betri imeisha, mtungi...
  4. African Geek

    Je, Leseni hii inaruhusu kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber au Faras?

    Habari za muda huu waungwana. Nina leseni ya udereva yenye madaraja A, A2, B, D, E, F & G. Je nitaweza kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber, Faras, nk kwa kutumia leseni yenye madaraja haya? Natanguliza shukrani.
  5. D

    Bodaboda wote wahakikiwe na kupatiwa leseni ya kozi maalum ya kubeba abiria

    Hatuwezi kusema moja kwa moja kazi ya boda ni laana! Lakini matendo ya madereva bodaboda wengi wao nikama wana laana! Huko barabarani honi ndiyo breki, hawana kusubiri, wanaovateki hovyo wakiamini wapo sahihi muda wote! Bahati mbaya boda anapoovateki kushoto na mwenye gari ikawa anakwepa...
  6. kasomi hezron

    Upatikanaji wa leseni ya biashara halmashauri ya wilaya ya Nyasa imekuwa ni tatizo

    Kumekuwa na usumbufu mwingi namna ya kupata leseni ya biashara kwa njia ya mtandao yaani TAUSI PORTAL, hawatoi control number Kwa ajili ya kufanya malipo, ukiomba wana reject na wanapiga simu wakidai uende na hela halmashauri ukalipie, ni usumbufu sana
  7. S

    Rais Samia, ichunguze Benki Kuu(BoT) kama kweli wako serious katika kusimamia Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha kwa wanaokepesha bila leseni

    Hii taasisi kila wakati inatoa taarifa kwa umma kupitia tovuti yao ya www.bot.go.tz kuonya watu waache kufanya biashara ya kukopesha bila leseni yaani kinyume na Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake. Kinachinishangaza ni kuona matamko mengi ya kuonya watu wanaojihusisha...
  8. Yofav

    Msaada: Nahitaji kujifunza udereva na kupata cheti pamoja na leseni kwa ujumla

    Habari wakuu, Kama heading inavyoeleza hapo juu, Naomba kwa mwenye experience na masuala haya ya mafuzo ya udereva yanavyokwenda anishauri ni Driving school gani niende ili kupata elimu ya mafunzo ya kuendesha Magari japo haya mdogo kwanza lakini muhimu nijipatie cheti... Ningeomba kujua pia...
  9. K

    TLS na ukimya juu ya Leseni ya Wakili Fatuma Karume, kilichofanyika ni haki?

    Hoja yangu kama inavyojieleza, hivi haya matukio ya Fatuma Karume, na swala la Mwambukusi wajuvi au wasomi wetu wa Sheria imekaaje na ukimya wa TLS? Je, haki ilitendeka au ndio ile funika kombe mwanaharamu apite? Kiukwel inanitia shaka juu ya mstakabali wa wasomi wetu wenye uelewa wa kutokuwa...
  10. K

    Serikali ipunguze usumbufu kwa wafanyabiashara wanapoenda kukata leseni za biashara

    Mwaka huu wa Fedha kumekuwa na usumbufu mkubwa kwa wafanyabiashara wanapoenda kukata leseni za biashara. Mfanyabiashara anapofika kwa Afisa Biashara anaelekezwa kufanya taratibu zote akitakiwa kwenda kwenye Internet cafe ili kukamilisha taratibu zote za kupata leseni. Aidha wanaombwa na...
  11. JanguKamaJangu

    Wasafi FM Unguja yapigwa faini Milioni 5 kwa kuvunja masharti ya Leseni

    Tume ya Utangazaji imeitaka WASAFI FM Radio kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuvunja masharti ya leseni kwa kuidanganya Tume juu ya Studio zao za Unguja kutotumika kwa vipindi vya aina yoyote kwa karibu miezi mitatu sasa Tume imeitoza ZBC Faini Tsh. Milioni 1 kwa kipindi cha MICHAPO kuonyesha...
  12. R

    Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, zuia watumishi chini yako kusumbua raia maskini wasio na Leseni

    Twende haraka kwenye mada, Taarifa zilizotufikia Kutoka vyanzo vya kuaminika zinadai kuwa Hali ni Tete mitaani, Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza ameanzisha operation ya kuwasaka wote wasio na Leseni Hadi nyakati za usiku. Ikumbukwe kuwa ,wapo wafanyabiashara wa kipato Cha chini wasio na uwezo wa...
  13. benzemah

    Mwigulu Nchemba Amshukuru Rais Samia Kwa Kuridhia kuwapatia Wachimbaji Wadogo Leseni

    Waziri wa Fedha, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuridhia ombi na kuwapatia leseni 28 wachimbaji wadogo wanaofanya shughuli zao katika mgodi wa dhahabu wa Sekenke One...
  14. benzemah

    MO Dewji Foundation yafutiwa usajili baada ya kuomba kwa hiyari

    Kupitia kurasa rasmi za Wizara ya Maendeleo ya Jamiii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imetoa taarifa ya mashirika yasiyo ya kiserikali ambayo yameomba kwa hiyari na kwa mujibu wa sheria kufutiwa usajili na Wizara imetangaza kufuta usajili wa taasisi hizo. Katika orodha hiyo limo jina la Mo...
  15. sifi leo

    TAKUKURU, kwenye leseni za biashara online na za Wizara ya Fedha kuna rushwa inatolewa kwa nguvu

    Kuna wakati niliwahi kuja na uzi hapa nikimlalamikia Waziri wa Fedha kutwa na usiku anasaini mikataba ya kuomba mikopo ilihali kwenye data base yake ya kuhusu watu wanao omba leseni za biashara mbalimbali wamewasilisha Maombi ili waweze kukata leseni na kufanya biashara. Binafsi nilikuwa mhanga...
  16. Webabu

    Emir wa Qattar asema Israel isipewe leseni ya kuendelea kuua. Israel yamtaka katibu mkuu UN ajiuzulu kwa kuwatetea Wapalestina wanaoangamizwa

    Kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya Hamas nchini Israel amiri wa Qattar ameitahadharisha jumuiya ya kimataifa kuwa isiendelee kuiacha Israel iuwe watu kama inavyopenda huko Gaza. Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani aliyasema hayo mapema leo alipokuwa akifungua kikao cha baraza la shura la nchi...
  17. S

    Serikali ifute leseni za usafirishaji waliogoma Mbeya

    Tumesikia huko Mbeya madereva na wenye magari wamegoma kusafirisha abiria kati ya Mbeya na Tunduma na kuzua taharuki kwa wananchi wasafiri. Huo ni utovu wa nidhamu na kiherehere, kama kuongezeka kwa mafuta yameongezeka nchi nzima. Kuna taratibu za kuongeza nauli na LATRA iko kwenye mchakato. Ni...
  18. ChoiceVariable

    Tanzania yalipa Fidia ya Tsh. Bilioni 75 kwa kufuta Leseni ya Kampuni ya Madini

    Inauma sana pesa za Walipakodi kupotea Kwa sababu ya uzembe wa Baadhi ya watu na hawachukuliwi hatua yeyote. Dola mil.30 sawa na Bil.75 ni km 55-60 za Barabara ya Lami ila Kuna watu wamepata kiulaini. Swali. Hivi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Huwa inalisaidiaje Taifa? === Kwa mujibu...
  19. BARD AI

    Nchi 6 zilizotoa Leseni kwa Starlink kutoa huduma za Intaneti yenye Kasi zaidi Afrika

    Zambia imekuwa Nchi ya 6 barani Afrika kuridhia uwekezaji wa Kampuni ya SpaceX kuanza kutoa huduma za Intaneti yenye kasi zaidi kupitia Starlink, hatua inayotajwa kuwa itapunguza urasimu kwa Watoa huduma waliopo pamoja na kuongeza Ubora wa Mawasiliano ya Mtandao. Kampuni ya Starlink...
  20. BARD AI

    Bolt Kenya yazuiwa kuhuisha Leseni baada ya Madereva kugoma

    Mamlaka ya Taifa ya Uchukuzi na Usalama (NTSA) imechukua hatua hiyo dhdi ya kamouni ya 'Bolt' kutokana na madai ya Ukiukwaji wa Kanuni za Leseni, ikiwa ni pamoja na Malipo Yasiyostahili kwa Madereva pamoja na Ada za Uitishaji wa Huduma. Pia, NTSA imesema Bolt ameshutumiwa kukiuka Kanuni za...
Back
Top Bottom