Wananachi wa Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, kwa ujumla wao, wakishirikiana na wachimbaji wa madini wadogo wanaomba Mh Waziri wa Madini kupitia Tume ya Madini , kuifuta leseni ya utafiti PL 6973/2011 inayomilikiwa na kampuni ya Dondoro Minerals Limited.
Leseni hiyo ya utafiti...
Kuna kilio kikubwa sana sana kwa wachombaji wadogo maeneo ya songwe na chunya.
Kilio hiki kinasababishwa na watumishi wa tume ya madini kuomba maombi ya leseni ndogo za wachimbaji wadogo ndani ya maombi ya leseni iliyokwishwa kuombwa ili ukilipia ionyeshe aliyeomba awali alichelewa kuomba kwa...
Wale mabwana wana njaa hatari, hata buku buku wanachukua. Ole wako utoe leseni bila kiambatanisho utaulizwa hadi "herro, kwa nini tairi za gari yako zina vumbi?, nakuandikia kosa.
Ukiombwa leseni, toa na kiambatanisho baadaye utakuja nishukuru nimekaa pale!.
Habari!
Jamani natafuta mtu anaehitaji kuanzisha kampuni ya ulinzi. Ninayo leseni lakini sina mtaji natafuta mtu mwenye mtaji tufanye partnership Kama umekuwa interested
Mawasiliano.
0672650624
Unakuta mtu yupo yupo tu lakini basics za barabarani hajui hata kidogo. Mtu ameblock barabara na wala haoni shida.
Mtu amekukuta umepaki sehemu anakuja kukublock ushindwe kutoka mpaka umuite! Mbaya zaidi wakati anapark kulikuwa na nafasi kubwa tu ya kumfanya asikublock.
Inaudhi sana.
STAMICO YAIELEZA KAMATI YA BUNGE LESENI INAZOMILIKI
Yaelekeza Mkakati wake wa kuendeleza Mgodi wa Makaa ya Mawe
Vituo vya Mfano Vyatajwa kuongeza tija, wataka viongezwe uwezo
Dodoma
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa...
Manispaa ya Songea inashindwa kutoa leseni za biashara kwa wakati, kumekuwa na tatizo hilo yapata mwezi sasa wafanyabiashara wanalalamikia Ofisi ya Afisa Biashara Manispaa ya Songea kushindwa kuwapa leseni za biashara zao.
Maafisa Biashara Wasaidizi wamekuwa wakiwajibu Wafanyabiashara...
Mheshimiwa Rais,
Amani iwe nawe daima.
Mheshimiwa Rais, Awali ya yote tunakupa pole kwa kazi zako za kila siku za kuhudumia Watanzania, huku tukiamini Mwenyezi Mungu anaendelea kukujalia afya tele na tunatambua pia una majukumu mengi kwa ajili ya ustawi wa Taifa letu.
Mheshimiwa Rais, hii ni...
Kama heading inavyojieleza, Tangu nipate TIN Number, Haijawahi kutumika kwa biashara isipokuwa tu ilitumika kipindi nahitaji leseni ya udereva,
Je TIN hiyo naweza kuitumia kufungulia biashara sasa?
Je katika kupata Tax Clearance kutakuwa na complications zozote?
Nawasilisha.
Upatikanaji wa leseni za biashara katika manispaa ya Temeke umekuwa ni biashara kwa waliopewa majukumu hayo.
Kumekuwa na utengenezaji mkubwa wa mazingira ya rushwa ambao upo wazi kabisa na bila kutoa rushwa huwezi kupata leseni ya biashara bila kujali ni kuomba kwa mara ya kwanza au kurenew...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kuzuia na kudhibiti ajali za barabarani kwa kushirikiana na mamlaka na wadau mbalimbali wa usafirishaji katika Mkoa wa Mbeya.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamini Kuzaga amesema Jeshi hilo linaendelea kuimarisha na kufanya misako na doria katika...
Sorry wakuu wana Jamiiforums wenzangu..
Ninaomba msaada kama kutakuwa na muhusika humu mwenye mitihani ya leseni ya miaka nyuma anaweza kusaidia..nitatoa chochote kwa sababu natambua duniani hakuna cha bure zaidi ya pumzi..
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imepiga marufuku kwa taasisi, kampuni na watu binafsi kufanya biashara ya kukopesha fedha bila kuwa na leseni ya BoT au taasisi zilizokasimishwa majukumu hayo.
Wasiotii sheria inayowataka kuwa na leseni watakabiliwa na kifungo jela kisichozidi miaka miwili au kulipa...
FUNDI UMEME.(Wiring za umeme)
-Tunafanya Wiring za umeme kwa gharama nafuu sana.
-Ikiwa umefikia stage ya kuweka miundombinu ya umeme kwenye Jengo lako wasiliana nasi, Kumbuka stage ya kwanza ni kabla ya kupiga plasta ambapo ni kuweka box za switches na kuchimbia conduit pipes ukutani.
Tuna...
Hi utaratibu moat wa kupata leseni ya Biashara online sio Kama ile ya karatasi halmashauri unapata sasa hivi ONLINE.
Sasa kuna baadhi ya stationery hawajui kwahiyo nataka nikomae mwenyewe JE INAWEZEKANA AU KAMA UNAJUA NAMNA YA KUPATA PLEASE ELEZEA!!.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamua kukutana na kuongea na Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo leo ambapo tayari amefika Kariakoo muda huu badala ya Jumatano May 17,2023 ambayo ilitangazwa hapo wali hii ni kutokana na uzito wa suala hilo.
Awali mkutano kati ya Waziri Mkuu na Kamati ya...
Mkuregenzi WA NEMC amezipa siku Kumi na NNE waliofungiwa bar kulipa Faini ya shillingi milioni tano la sivyo watazifutia lesini.
Mtumishi huyo WA umma ameyasema hayo Leo wakati akitoa taarifa Kwa vyombo vya habari. Hali hii inazidi kuonyesha namna ilivyo ngumu kufanya biashara Tanzania na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.