leseni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LA7

    Naomba kuelimishwa kuhusu hii ofisi yangu TRA wanataka niwe na leseni.

    Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80 Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
  2. Roving Journalist

    Morogoro: Afisa anayetuhumiwa kuingia mitini na fedha za madereva za kulipia Leseni za LATRA asimamishwa kazi

    Dar es Salaam, 18 Julai, 2024 Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) iliona taarifa zilizosambaa kupitia mtandao wa Jamii Forums tarehe 17 Julai, 2024 kuwa, "Afisa anayejulikana kwa jina la Fadhili anawalazimisha Madereva wampe fedha awalipie Faini na Stika za LATRA kwa madai mfumo...
  3. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde Aagiza Leseni za Utafiti 45 Mkoani Rukwa Kurejeshwa Serikalini

    WAZIRI MAVUNDE AAGIZA LESENI ZA UTAFITI 45 MKOANI RUKWA KUREJESHWA SERIKALINI -Ni Leseni ambazo hazifanyiwi kazi na kuzuia maelfu ya wachimbaji kuchimba -Eneo lililorejeshwa la ekari 812,383 ni kubwa zaidi ya Wilaya ya Sumbawanga -Wachimbaji wadogo na wawekezaji waliotayari kupewa kipaumbele...
  4. Mr Why

    Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni na kusitisha huduma kwa kampuni zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani

    Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni za kampuni zote zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani Wakuu kuna baadhi ya makampuni yanayoleta usumbufu kwa wateja pale wanapohitaji huduma na haya makampuni yanatoka bara la Ulaya, Asia na Afrika nashindwa kuyataja...
  5. T

    Msaada kuhusu utaratibu wa Leseni ya Biashara

    Wakuu msaada kidogo hapa. Mimi nafanya biashara ya duka la vinywaji. Mwaka wa tatu huu. Leseni huwa Kila ikiisha naenda TRA na Halmashauri ku-renew. Sasa last time nimerenew itaisha mwezi wa 8 tareh 30 mwaka huu 2024. Cha ajabu amekuja Afisa biashara amechukua leseni anasema leseni niliyonayo...
  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mkuu Majaliwa Apongeza Hatua za Ufutaji wa Leseni na Maombi ya Leseni Yasiyo na Sifa

    WAZIRI MKUU MAJALIWA APONGEZA HATUA ZA UFUTAJI WA LESENI NA MAOMBI YA LESENI YASIYO NA SIFA -Aagiza maeneo hayo kupewa wachimbaji wadogo na wawekezaji walio tayari -Ampongeza Waziri Mavunde kusimamia zoezi la ufutaji Leseni -Aagiza TAMISEMI na MADINI kukaa kutatua ongezeko la tozo za...
  7. comte

    CHADEMA msiiiweke Tanzania majaribuni kwa hili la CHOPA isiyo na leseni; Mamlaka chukueni hatua

    https://x.com/i/status/1804579043171299343
  8. comte

    CHOPA wanayotumia CHADEMA haina leseni

  9. K

    Je leseni za biashara nchi nzima kukatwa toka wizarani?

    Nimewahi kumuona Mhe. Waziri wa Viwanda na Biashara akielezea utaratibu wa kupata leseni za biashara kwa mwaka 2024/25. Je leseni zitakatwa toka Wizarani au kuna utaratibu utakaotangazwa na Wizara?.
  10. Roving Journalist

    Waziri wa Madini: Serikali itatunga Kanuni za kushughulikia migogoro Wamiliki wa Leseni na wenye maduara

    Hayo yamesemwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde mkoani Shinyanga katika Kijiji cha Mandu, machimbo ya Ntambalale Wilayani Kahama alipotembelea kwa lengo la kutatua changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo. Amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kuhakikisha kero zote zinazowakabili...
  11. S

    SoC04 Leseni za utoaji maudhui mwiba wa Uhuru wa Kuwasiliana na Kutoa Habari

    Katika Tanzania tunayoipenda, uhuru wa kuwasiliana na kutoa habari ni nguzo muhimu kwa maendeleo ya jamii yetu. Hata hivyo, sheria ya serikali ya kutoza leseni kwa vyombo vidogo vya habari na burudani kama vile blogi, YouTube, na mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa kwa wananchi na...
  12. T

    Mwenye mitihani ya leseni pharmacy ngazi ya cheti(miaka ya nyuma) naomba anisaidie. Natanguliza shukrani.

    Wana jf naomba msaada wa pastpapers za mitihani ya leseni ya ufamasia ngazi ya cheti.Natumaini ombi langu litafanyiwa kazi.ASANTENI.
  13. BARD AI

    Serikali ya Zimbabwe yaipa Leseni Starlink kutoa huduma za Intaneti

    Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano (POTRAZ) imeidhinisha leseni ya utoaji Huduma za Intaneti kwa kampuni ya #Starlink inayomilikiwa na Bilionea #ElonMusk Taarifa ya Rais Emmerson Mnangagwa imesema "Uamuzi huu unatarajiwa kuongeza miundombinu ya Mtandao wenye Kasi ya Juu na ya gharama...
  14. nyamchele

    Baraza la Famasi Tanzania lafuta Matokeo yote ya Mtihani wa leseni ngazi ya Fundi Dawa Sanifu kutokana na udanganyifu

    Baraza la Famasi limefuta matokeo ya watahiniwa wote 2553 waliofanya mitihani ya leseni ngazi ya Fundi Dawa Sanifu (Pharmaceutical Technician) iliyofanyika mwezi February 2024 baada ya kuthibitika kuwa kulikuwa na udanganyifu kwenye mitihani yote mitatu. Watahiniwa hao sasa watalazimika kurudia...
  15. E

    Wawekezaji wanapopewa leseni ya udalali: Be-Forward sasa yavamia soko la nyumba

    Naangaza angaza magari ya Be-Forward nakuta wanantangazia nyumba za kupanga na kununua... Hili ni kampuni la Kijapani, hela zao zinaenda Japan, hata mtandao wao ni real-estate-tanzania.beforward.jp..... Hiyo "dot JP" inasema ni mtandano wa Kijapan! Tunahitaji kutoa vibali kwa wawekezaji...
  16. F

    SoC04 Online driving license

    Story of change yangu ni; "Nashauri serikali ifikirie kuwa na utaratibu wa kuwa na online system ambayo Traffic anaweza kuona leseni ya dereva, hata dereva mwenyewe awe anaweza kuona leseni yake katika huo mfumo na hata akihitaji kurenew lesen yake online apate uwezo wa kufanya hvo kwa...
  17. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde Afuta Maombi ya Leseni za Madini 227

    WAZIRI MAVUNDE AFUTA MAOMBI YA LESENI ZA MADINI 227. -Awataka wadau kuzingatia matakwa ya Sheria -_wamiliki wa akaunti za uombaji na usimamizi wa leseni kwa njia ya mtandao ambao sio waaminifiu kusitishiwa akaunti zao -Zoezi la ufutaji wa maombi na Leseni kuwa endelevu -Amtaka kila mmoja...
  18. LINGWAMBA

    KERO TAMISEMI wiki nzima tumelipia leseni kwenye mfumo wa mtandaoni lakini hatujapa leseni mpaka sasa

    Watumishi wa hii serikali sijui kitu gani wanaweza! Zamani walikuwa na mfumo wa leseni manual katika manispaa, ilikuwa ukilipa mpaka muda wa leseni unaisha hujaipata! Sasa hivi online kuomba nayo unalipia unakaa wiki nzima leseni hawatoi! Inabidi na hizi wizara nyingne nazo tutafute...
  19. JanguKamaJangu

    Serikali yataja sababu za kufuta leseni maduka ya fedha

    Serikali imesema kuwa ilibatilisha leseni za maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yaliyokutwa na makosa mbalimbali yakiwemo ya kujihusisha na uhamishaji wa fedha nje ya nchi bila kuwa na leseni wala kibali cha Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri...
  20. FIKRA NASAHA

    Leseni na Bima ya kufanya siasa

    Yaani Nawaza Kisichowezekana Nimejiuliza sana, nikajiuliza tena na tena, hivi kwa nini Watoa Huduma wote wanatakiwa wawe na vyeti vya kufuzu masomo yao, na kama haitoshi, pale wanapotaka kufanyakazi wanapaswa wawe na leseni. Mfano Madaktari, Walimu, Mafundi wanatakiwa wawe na vyeti vya ufauru...
Back
Top Bottom