life

  1. Bado ni kama ndoto, mpaka sasa ni miezi 10 tu tangu nimpoteze Mama yangu

    After I permanently lose someone very special, how do I, and should I even try to, keep from falling into despair? Rest in internal peace my lovely Mom. Kweli sio kila anaecheka na wewe anakutakia mema. I really miss my super and lovely Mom.
  2. Ushuhuda, life starts at 40

    Hii kitu nimekua mkubwa sasa nashuhudia kuwa mjenzi wa hii kauli hakukurupuka. Naelekea huko naona barabara inanyooka. Nakiri kwa nchi zetu hizi mtazamo huu unadhihirika.
  3. Ukweli Mchungu sana: Ndugu yenu akiwa kwenye " naturally life threatening situation" msimuombe Mungu amuepushe na kifo bali mapenzi yake yatimie

    Kwa sababu most of the time inakuwaga ni Mungu mwenyewe ndio anataka kumtoa mhusika kwenye maisha yenu. Hata yule mtu wa kwenye biblia ambae siku zake za kufa zilikuwa zimefika ila akamuomba Mungu amuongezee miaka ya kuishi Mungu akamuongezea miaka 15 alifanya mambo mengi...
  4. D

    Do looks really matter in life? Do good looking people have an advantage?

    I was talking to my sister (cousin), who is a teenager. I asked her preferences for her ideal boyfriend. She replied: - He should be tall. Good Looking. Handsome. Charming smile. And many more things about physique and looks. I smiled at her and told her one story which I am going to share...
  5. M

    11 things to stop doing if you want to change your life

    ideapod.comJul 29, 2023 3:00 AM Feeling stuck or ready to make a significant change in your life? It’s not always easy to know where to start. The quickest route often begins with recognizing the habits that are slowing you down. In my personal quest for improvement, I unearthed numerous...
  6. M

    If you want to be successful in life

    If you want to be successful in life Everyone dreaming of success ...There are a few steps that every successful man follows. First and foremost, these men are able to stick to a routine and schedule. This helps them stay on track and achieve their goals. Secondly, these men are able to set...
  7. H

    Mimba ya kwanza kwa mabinti ni sumu. Huwapiga 'knockout kabisa of life'

    Bila salamu hiyo.. Mabinti hubaki kuzurura tu baada ya kuzaa. No direction of life hubaki nyumbani tu kama Volunteer House girl. Hawa nazungumzia wale mabinti wanaomaliza la saba na kidato cha nne. Wanakuwa totally 'immersed' huvurugikiwa kabisa sana sana kuanzisha viujasiriamali vidogo...
  8. A gift called Life: My Journey from Addiction to Recovery

    Soma itakusaidia namna ya kuzuia watoto au wapendwa wako wasiingie katika janga hili. Karibu 🙏 --- A Gift Called Life: My Journey From Heroin Addiction To Recovery Joining a rehab was the best decision I ever took. I had always said that I would never use drugs. Looking back, I did everything...
  9. All about Tanzania life/ Safari zangu kuizunguka Tanzania

    Kati ya maamuzi magumu zaidi nionayo nimeweza kuyakabili na kuyafanya ni hili la kuweka uhalisia hapa. Habari na heshima kwenu wakuu na wadau wote wa Jamii Forums. Nimekuwa hapa kwa muongo mmoja na miaka miwili sasa. Kila nitakaposherehekea siku yangu ya kuzaliwa nitakumbuka pia siku na mwezi...
  10. The meaning of life

    .
  11. LIL DURK: All my life

    Lil durk ameripotiwa kumliapa j cole kiasi cha USD 978k, kwa Tanzania sawa Na shilling, 2,316, 882, 000 baada ya kumshirikisha kwenye ngoma yake ya "All my life". J cole katika wimbo huo verse yake ina maneno 489 J cole ana charge USD 2k kwa Kila neno ataloweka kwenye feature(wimbo wako)...
  12. We live only once and life is passing moment.

    Hata Kama nasaa zao hazibebi mwonekano wao hiyo isiwe sababu ya kuyadharu maneno yao kwani mara nyingi ili uitambue njia vizuri ni busara kuwauliza wanaorudi na hata tukipata Muda Mwingi wa kuishi hatutoweza kuusimulia mwisho wetu Bali tutausimulia Mwanzo wetu ,Basi ukibarikiwa wabariki na...
  13. Happy birthday to me Trudie

    Namshukuru sana Mungu kwa kunipa neema ya kuongeza mwaka mwingine. Nashukuru leo nimetimiza miaka kadhaa kwa kuingia floor mpya ya majukumu. Mwaka huu umekuwa wa neema sana kwangu mwenyezi Mungu anazidi kunipigania. Kweli tunazeeka na miaka inaenda sana. Happy birthday to me. Intelligent...
  14. R

    Life! Sitolisahau hili

    Habari za muda huu wakuu, Kiafya siku poa, Ila nashukur muumba kwa kunipa nafasi ya kuendelea kuwa hai😔 Kuna muda unaweza kupitia magumu+aibu Hadi kuhisi ukimya au sehemu iliyokimya ndo sehemu pekee unaweza kukaa na serikali ya akili na kupata majibu juu ya kile unachopitia instead ya kueleza...
  15. Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

    Nilifika sehemu kwa ajili ya kujipumzisha na kupata moja moto moja baridi baada ya mizunguko ya siku nzima. Moja kwa moja nilifika counter nikachukua castle lite baridi, nikalipa elfu mbili tu safi, nikazungusha macho huku na kule nione wapi nitakaa, sehemu ilikuwa imejaa kidogo, ila nikaona...
  16. Maisha ya shule vs kuhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea familia

    Ukiwa Shule uliwacheka sana walimu juu ya mavazi yao. Uliona habadilishi viatu na nguo zinahesabika. Haya tuambie baada ya life la kitaa umeonaje uhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea familia? #ElimikaWikiendi
  17. B

    The story of my life: Ukweli mchungu baada ya kugundua mtoto tulie naye hakuwa mtoto wangu

    Habari zenu wana jamii forum Leo naomba niwaletee kisa cha ukweli kilichotokea miaka kama 9-10 iliyopita wakati wa kuhangaika na Maisha, naomba nikiri mimi sio mtu wa kupost sana mara Nyingi ni mtu wa kusoma tu content za watu. Mtaniwia radhi kwa uandishi mbovu mana sio mtaalamu sana wa...
  18. The key to life

    You American think every one want to f**k you😅😅
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…