Lindi is a coastal town located at the far end of Lindi Bay, on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. The town is 450 kilometers south of Dar es Salaam and 105 kilometers north of Mtwara, the southernmost coastal town in Tanzania, and gives its name to the surrounding Lindi Region, one of the most sparsely populated areas of the country. The town population was 78,841 as of the 2012 national census.
Salaam, Shalom!!
Ukihesabu ziara alizofanya kiongozi wetu mkuu, Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla, amekwenda mara nyingi zaidi kuliko maeneo mengine,
Wananchi tunajiuliza, katika mikoa 26 nchini, Kanda ya ziwa pekee ndio Kuna wananchi?
Mikoa ya Lindi na mtwara pia Kuna wananchi na kumepoa...
Nimekuwa nikipita mara kwa mara mtaa wa Lindi kariakoo ili kuegesha gari kwenye eneo la maegesho gerezani. Ile barabara kuanzia makutano ya mtaa wa Lindi na Msimbazi mpaka makutano ya Lindi na Kawawa Road (Karume) ni mbaya mno.
Eneo ambalo daladala za Tandika zinapaki lina mabwa makubwa ya...
Tayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself?
Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend?
Anyways wenyeji wa Lindi Nipeni ABC za Lindi kwenye eneo la warembo na starehe.
Nipo Lindi mjini
Utalii sio lazima uende Serengeti
Moja ya utalii ni kwenda mikoa ambayo hujawahi kufika unaweza ukajikuta unafurahia pia
Kuna siku nilipanda basi tu nikasema ngoja nikaione Mtwara kama masihara
Ile napita Mkuranga, Kibiti, Rufiji Daraja la Mkapa, Nangukuru, Lindi aisee Mkoa Wa PWANI, LINDI...
Mnaoishi bara Poleni sio kidogo endeleeni kutunyima protein ya nyamaPori, senene na kumbikumbi. Tunaokaa pwani ya Bahari Hindi tunaendelea kufaidi sea food.
Kibua-huyu najua maarufu sana hasa Kwa dar
Changu-huyu Lindi na Mtwara Kwa wingi
Lupapa
Chewa - huyu wa supu kabisa moja ya samaki mwenye...
TANROADS YAWEKA KAMBI KUREJESHA MAWASILIANO BARABARA YA TINGI-KIPATIMO MKOANI LINDI
Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads) mkoa wa Lindi imeweka kambi ili kuhakikisha unarejesha mawasiliano katika barabara ya Tingi hadi Kipatimo wilayani Kilwa ambayo iliathiriwa na mvua za El-Nino na kimbunga...
TANROADS LINDI YAREJESHA MAWASILIANO BARABARA YA KILWA MASOKO-NANGURUKURU-LIWALE
Wakala ya barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Lindi umefanikiwa kurejesha mawasiliano yaliyokuwa yamekatika kati ya Kilwa Masoko-Nangurukulu wilaya ya Kilwa na wilaya ya Liwale mkoani Lindi.
Mawasiliano hayo...
Habarini Wana JF,
Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU.
Mtaji laki tano
MAGARI NA ABIRIA WALIOKWAMA LINDI WAANZA KURUHUSIWA KUENDELEA NA SAFARI
Magari ya Mizigo, Mabasi na magari mengine madogo yaliyokwama kwa siku sita katika barabara ya Lindi-Dar es Salaam eneo la njia nne (Mikereng’ende) hadi Somanga yakitokea Lindi kuelekea Dar es Salaam yaanza kuruhusiwa...
MAGARI NA ABIRIA WALIOKWAMA LINDI WAANZA KURUHUSIWA KUENDELEA NA SAFARI
Magari ya Mizigo, Mabasi na magari mengine madogo yaliyokwama kwa siku sita katika barabara ya Lindi-Dar es Salaam eneo la njia nne (Mikereng’ende) hadi Somanga yakitokea Lindi kuelekea Dar es Salaam yaanza kuruhusiwa...
MAWASILIANO YA BARABARA DAR - LINDI KUREJEA KESHO, SOMANGA PANAPITIKA: WAZIRI BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa anaendelea kuisimamia timu ya wataalam na Makandarasi kurejesha mawasiliano ya barabara ya Lindi - Dar es Salaam ambapo tayari eneo la somanga limeanza kupitika na...
BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI, KUHAKIKISHA BARABARA YA DAR - LINDI INAPITIKA NDANI YA SAA 72.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na wasafirishaji kuwa ameweka kambi Mkoa wa Lindi kuhakikisha anasimamia timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara...
MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR - LINDI KUREJEA NDANI YA SAA 72: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es...
Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili.
====
Serikali...
Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili.
Kigoma na Lindi nani kawaroga hii mikoa? Kwenu wahusika
Pia, soma
Wana Kigoma embu jengeni kwenu
Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?
Na sababu Kuu ya Kuongea aliyoyaongea jana ilikuwa ni sehemu ya Makubaliano aliyopewa baada ya Mhusika kuwa Muoga na Kuwaonea Aibu Watajwa kwakuwa anajuana nao Kitambo (wengine kupitia Baba zao) na wengine humpelekea Waganga wa Kienyeji, wengine Chenji za Upigaji zikibaki hummege nae Kidogo.
Na...
Jana hatari Sana wingi lilitanda Mida ya mchana saa Sita kukawa giza na hapo upepo mkali watu tumejificha zinapiga radi na kuvunja minazi. Wabishi wa kuhama mabondeni wamekubali jinsi maji baridi yanavyotisha wamehama wote wamerudi vijijini na huko mashambani wasio pata na waliopata wote...
Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka Kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..
Watu wa huku wanakatisha tamaa balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na...
Aisee hapa Lindi mvua mwaka huu imeamua inanyesha kila siku yaani kila kunapokucha tuko nayo ukifua nguo kwenye mvua hizi za kusi basi zitakauka Kwa siku tatu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.