Aliyefukuzwa TRC apekuliwa na polisi
Summary
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kanda ya...
Soko la ‘Sprocket’ za pikipiki ni kubwa sana Tanzania, na uzalishaji wake ni rahisi na unawezekanika kwa teknolojia rahisi sana.
Je, ni lini SIDO wataanza kuunda na kusambaza mashine na ujuzi huu kwa maendeleo ya taifa letu? Sehemu ya tozo itumike kwenye R & D badala ya kujenga Ikulu hadi...
Joseph Moses ambaye ni dereva bodaboda mkazi wa Mbeya anakabiliwa na shtaka la kumtishia kumuua kwa maneno mkewe Irene Mwaikana huku chanzo cha ugomvi huo ni tabia ya mkewe ya kutoa chakula nyumbani na kupeleka kwa mchungaji.
“Mheshimiwa hakimu huyu mwanamke anakera sana, tukichinja kuku...
Najiuliza watz mtalia Lia mpaka lini?
Kiufupi naomba spana ziendelee.
Taifa la watu wajinga Ili kulikomboa na kuwapa awareness ni kuhakikisha unawaongezea tozo Nothing else
Taifa la watu wanaowaza ngono na pombe 24/7 nikuwaongezea tozo TU Kwa Ili mama unadi-serve tuzo ya Heshima.
That all
Kwa mujibu wa Katiba yao ni mtu ndiye anayeombwa na Halmashauri kuu kuwa Mwenyekiti wa chama chao Taifa na siyo wanachama wanaomba kugombea nafasi hiyo.
Kwa nini Wenyeviti woote kuanzia ngazi ya shina mpaka Mkoa waombe kugombea na kushindanishwa na wengine lakini inapofika ngazi ya taifa hakuna...
Jaman ligi yetu kama mnavyoiona kila siku inazidi kukua.
Pili kwa macho ya mbali ndio inaweza kuja kuwa ligi ya tatu kwa ukubwa hasa kwa kuwavutia wachezaji wa kigeni tokana na kaliba au asili ya watanzania kuwa waungwana na wakarimu kwa wageni bila ubaguzi,hichi ambacho wachezaji wengi wa...
Mechi nne zilizopita za Kimataifa ambazo Yanga kacheza, kaishia kupoteza zote. Alianza kupoteza alipocheza na Zanaco, wote tunajua Kapumbu alivyowafanya.
Kisha wakapoteza mechi mbili za home & away dhidi ya Rivers Utd ya Nigeria.
Na hatimaye leo tena wamekufa nyumbani dhidi ya Vipers ya...
X wangu ananitumia kwenye matatizo yake nikisha msolvia anaanza dharau, akiwa na shida ananiweka karibu.
Kuna muda natamani kumkazia huruma inakuja namsaidia.
Wana Yanga SC sio Wajinga (Mangumbaru ) au Wapumbavu (Mapopoma) wampe Mtu ambaye kaanza Kuujua mpira mwaka 2019 (Injinia Hersi Said) halafu tumuache Mtu mwenye Rekodi iliyotukuka katika Medani ya Kandanda (Soka) nchini Tanzania tena akiwa amefanya makubwa halafu ni Msomi vilevile tena wa...
Wenye Yanga yetu tunaenda na Msomi Dk. Mshindo Mbwete Msolla na siyo Matapeli wengine halafu ni wana Simba SC kindakindaki.
Tutanuniana sana Mwaka huu.
Watu walianza kututisha kuwa kutakuwa na baridi kali sana... jamaa mmoja akanambia yeye sasa atakuwa anaoga maji ya moto zaidi. Nimeshangaa ......... unawezaje kuoga maji ya moto Dar? Sisi ambao tumewahi kaa Iringa,Rukwa, Mbeya, Arusha, Ruvuma n.k ukituambia Dar kuna baridi tunashangaa... na...
Kocha wa Azam P didy wa bongo zikibaki dakika kumi mpira kuisha huwa anainama kuomba dua muujiza utokee badala ya kuwapa morari wachezaji wake lakini wapi pumzi ya moto wanapelekewa,anafaa kuwa mwana hip hop ila sio mpira Aggrey Moris na wazee wenzake mafao yao pale Nsssf yameiva.
Aliyegundua...
Kila siku watani wa jadi wanapokutana wasiwasi wangu mkubwa huwa ni Yanga kulilipa hilo deni na kusema kweli mechi ya leo hapo Kirumba nilikuwa sina raha kwani kikosi cha mnyama kilikuwa dhaifu sana katika miongo mingi kwenye mechi dhidi ya watani wao nikakujua tu leo ni kulipa hilo deni na wao...
Naamini Kila Mkoa, Wilaya, na maeneo mbalimbali miradi ya serikali inapotekelezwa Wapo majasusi wanalipwa Kwa Kodi za wananchi kumulika miradi ya serikali itekelezwe Kwa mujibu wa sheria.
Kinachofanywa na majasusi WETU naamini kilishakosa nguvu duniani na Sasa Dunia ipo Kwenye ujassusi unaozuia...
Nikiri wazi kuwa nchi yetu inajichanganya sana kwenye mwendelezo wa uongozi wake. Ukiangalia tunavyoongozwa ni kana kwamba tumeongozwa na vyama tofauti vya kisiasa, wakati inajulikana fika kwamba tangu tupate uhuru tumeongozwa na chama hichohicho, sana sana kilijibadilisha jina.
Takribani Kila...
Naona CHADEMA wamemualika Bobi Mpinzani Mkuu kutoka UG kama mgeni rasmi, najiuliza kwa nini wao akina Mbowe hawaalikwi au ni lini waliwahi kualikwa popote na kuwa wageni wa heshima?
Watanzania sisi ni watu wa kujipendekeza sana, ukiachilia kwa Mbowe kujipeleka kwa Raila Kenya na kupiga naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.