Kuna mzee mmoja ni Jaji mstaafu kwa sasa, alishawahi kutuambia kuwa ukienda Mahakamani basi mlalamikaji na mlalamikiwa wote wanona wana haki. Hata kesi za jinai ukisikiliza upande wa mtuhumiwa ni ama anaonewa au ama anaalalamika kosa limekuzwa.
Nirejee hapa, sualal la Fei kihuruma linatazama...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda leo February 13, 2023 kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 59 cha sheria ya Elimu Sura 353 amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada katika Shule za umma na binafsi nchini.
Vitabu vya 16 vilivyopigwa marufuku vimekutwa...
Tokea wife kuondoka na vitu vyandani na kuniacha kama alivyonikuta 2017 jamani shida inakuja kila nikiona kirikuu kimebeba vitu yaani mtu anahama 🤣🤣 nahisi kama wife anarudi hata kama nikiwa nakula nitaganda na kusindikiza kwa macho kirikuu mpaka kipotee.
Hata nikiwa kwenye daladala nitatoa...
Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege.
Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili?
Nini...
Ni lini tutakua na taifa la watu ambao tupo concerned na nchi yetu, tunajadili mada nzito nzito?
Ni lini tutakua na mashindano like top ten ya uzalishaji kiviwanda kwa mikoa?
Ni lini waziri wa teknolojia atazindua gari la umeme kutoka kampuni ya kitanzania?
Ni lini vijana wataacha kukimbilia...
Sekeseke la kisiasa limeanza kuibuka tena baada ya mikutano ya kisiasa ya hadhara kuruhusiwa. Moja ya mambo ambayo hayaepukiki katika siasa na ambayo ni mbinu nzuri ya uhamasishaji ni maandamano ya amani.
Ukiacha yale maandamano yanayoibukaga tu baada ya mkutano wa hadhara hasa kipindi cha...
Bodaboda ndio chanzo cha uzi huu. Hawana za kuendesha hivi vyombo. Reckless driving. Wanakunywa, wanavuta mavi ya ng'ombe. Hawa usalama barabarani wana nini lakini?
Ni mara ngapi mnaambiwa mtafute mbinu hamuelewi?
Ni vyombo muhimu but why you people are dumb?! Mtuelewe tuna nia nzuri tu...
Wanabodi,
Baada ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya siasa, sasa ni nderemo na vifijo nchi mzima!. Na mimi kama Mtanzania mzalendo wa taifa letu, pale linapofanywa jambo jema lolote la kheri kwa mustakabali mwema kwa taifa letu, sina budi kujiunga na wengine wote wanaolitakia mema taifa hili kwa...
Wanafunzi wamefanya paper mwezi November.
Matokeo ni muhimu sana muda huu. Kwa nin?
Tunataka tuhamasishe watoto wasiende kwenye shule zilizovurunda na tuhamishe watoto wetu wasijuinge kwenye shule hizo.
Hivyo NECTA harakisheni kutoa matokeo ili aibu izikumbe shuke za kibabaishaji zinzopotozea...
Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023??
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November.
Kwa mwaka jana matokeo yalitoka...
Hivi ccm inaweza kutoka madarakani? na kama ikitoka ni lini? Nakili kusema ccm kuitoa kupitia Sanduku la maoni tusahau na tusifikiri hata kidogo yaani sio leo wala kesho kwa ccm hii kutoka madarakani.
Kwanza itatokaje? Na kivipi yaani? Kama Rais pia ni mwenekiti wa Chama hapo kuna kutoka...
Kwa mliofanikiwa kufuatilia tukio la jana Disemba 22, 2022 la kuanza kujaza maji Bwawa la JNHPP wamesema mradi utakamilika lini. bahati mbaya mimi umeme ulikuwa umekatika sikuweza kufuatilia kwenye TV.
Hadi kufikia jana Naibu Waziri wa Nishati alisema Bunge lililopita la Novemba kuwa mradi...
CCM ni chama kikongwe kwa vyama vya ukombozi kusini mwa jangwa la sahara na Afrika kwa ujumla. Kilipaswa kuwa mfano bora kwa vyama vingine vya siasa kutokana na kuishi kwingi na kuona mengi.
Ajabu ndicho chama kinacho ogopa siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini,kwa kulitambua hilo...
Uamuzi umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Franco Kiswaga, baada ya kukubaliana na maombi ya familia ya Marehemu Stella Moses aliyefia katika kituo Cha Polisi Mburahati Desemba 20, 2020.
Hakimu Kiswaga ametoa Amri hiyo kwa maelezo kuwa Polisi hawakutekeleza Wajibu wao Kisheria ikiwemo kuweka wazi...
Nijuavyo mimi RPF kimepindua kuingia madarakani, CCM ilishiriki vipi kwenye mapinduzi ya Kagame hadi CCM kuvialika RPF na CNDD-FDD?
Chama cha mambuzi bhana!!!!
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka huu 2022. Darasa la saba walifanya mtihani wao tarehe 5 na 6 mwezi octoba. Kwa mwaka jana matokeo yalitoka tarehe 30 mwezi october kitu kilichofanya tuone yametoka mapema. Kwa mwaka huu yawezekana yakaja kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.