Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 35 leo Mei 29, 2023.
Ufungaji wa kamera za Ulinzi
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Hamad Masauni amesema Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi limekamilisha mradi wa ujenzi wa mji salama utakaotumia kamera zenye mfumo wa...
1. Magari ya umeme kuwa 0% taxed.
2. Gari za 2000cc au chini kuchajiwa 5% ya CIF tu kama ushuru.
3. Gari za zaidi ya 2000cc kupigwa ushuru wa 10%.
Je, haya yatekelezeka kweli au ndio kiki za kisiasa tu?
Amina anuliza Tarehe ya kureport lini kwa waajiriwa wapya,UALIMU na afya?
Pia anaulizia ,Afisa lishe na ustawi wa JAMII wanalipwa tshs ngapi? Je Kuna marupurupu?
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu huu mtandao kuibia watumiaji wake lakini hatuoni maboresho yoyote mimi leo nimelazimika kuandika uzi sababu nimeibiwa salio langu la tsh 300 na huu mtandao baada ya kujaza vocha wananitumia sms umekatwa sh 300 baada ya kujiunga na huduma ya "chekecha mkwanja "...
Na Maundu Mwingizi
Mwalimu wa Fasihi na muandishi wa vitabu.
Waswahili hunena, ukiwa na jambo unalopaswa kusema, kunyamaza ni sawa na kudanganya. Tangu nilipomaliza kutazama hafla ya Uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino, jijini Dodoma, nimejaribu kujizuia kusema chochote, lakini nahisi dukuduku...
nawasalimia kwa jina la Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo.
Nisiwachoshe.
maana tayar mna uchovu wa mpambano wa kitaifa kati ya serkali na kanuni ngumu za kodi vs wafanyabiashara wanaokwepa kodi kwa kuuzia mizigo stoo bila risit.
Niliona kwenye tv maandalizi ya show kubwa ya dansi...
Kero kama maji, umeme, afya, elimu, ujinga na umasikini, lini tutaweza kuwa na umoja na ushikamano katika kujenga nchi, kutoa ubinafs kwa walio na nafasi, kujitegemea kupitia rasilimali zetu tulizonazo, kukataa rushwa na kutenda haki, je tunahitaji nini kama nchi ili tuweze kusonga mbele.
Unaongoza watu, unaowaongoza wanakukataa adharani. Unaendelea kubaki ofisini ukisubiri hadi utumbuliwe kwa faida ya nani?
Nchi zilizo serious ukilalamikiwa tu unakaa pembeni kwetu unang'ang'ana na ofisi for what....
Tumetoka Dar Shekilango saa 11 alfajiri na Bus la Kampuni ya New Force No. T 236 EBK kuelekea Mbeya. Tumefika Msolwa tumesimamishwa na askari kuwa Kuna msafara wa makamu wa raisi. Tumesimama hadi saa mbili na dakika kadhaa.
Tumeondoka muda magari yakawa mengi, malori, mabasi na magari binafsi...
Ndugu Watanzania, umekuwa ni wimbo usiokuwa na mwisho,kila siku ni maneno tu,"tutakarabati,tutajenga uwanja Dodoma wa KISASA " lakini wapi.
Wimbo huu toka mwaka 2020 Hadi sasa unaimbwa tu. Watanzania wamegeuzwa wajinga,wanabebeshwa mabango kwenye mechi za Yanga na Simba eti anaupiga mwingi...
Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015.
Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
Tanzania nchi yangu nakupenda japo unanipa maumivu kila kukicha. Umejaliwa kila kitu cha kunifanya nitabasamu lakini tabasamu sipati. Nimekukosea nini? Niambie basi nielewe, kama ni samahani nikuombe. Vitu vingi umejaliwa vya kunifanya nijivunie uwepo wako lakini nabaki kulialia kila siku...
Hellow african
wote tuna simu wote tuna marafiki na wote tuna marafiki tofauti
Je mara mwisho kusave namba mpaya ambayo ni muhimu sana ni lini?
Au bado unasave namba ya single mother na videmu vya mtaani?
Mimi yapata miezi sita sasa sijasev namba mpaya nyingi naziweka panding how about wewe
"Tumeamua kurudisha ule utaratibu wa Kupandisha Mishahara ya Wafanyakazi kila Mwezi pamoja na Madaraja uliokuwepo miaka mingi ya nyuma" Rais Samia katika Kilele cha Mei Mosi leo Mkoani Morogoro.
Chanzo: Mitandao ya Tanzania
Ushauri wa bure ambao GENTAMYCINE leo nautoa kwa WANAFIKI Wote nchini...
Na ndiyo maana wenye Akili kwa Kuujua Ugumu wa Kombe husika ( CAFCL ) na hatua ambayo Simba SC imefikia na kwa Kufa Kiume Juzi kwa Wydad Casablanca FC mpaka Waarabu wanaacha Kushangilia Wanasali na Kulia tunasema hatuna Deni na Wachezaji wa Simba SC hadi Kocha na Benchi lake lote la Ufundi...
Anajuwa humu kuna wadau wa mambo yote, matokeo ya form four yalishatoka na kila muhusika anajuwa ana division gani.
Sasa nataka kujuwa ni lini serikali itatangaza selection ya shule za serikali kwa waliofanya vizuri?
Habari za wakati huu;
Moja kati ya kero kubwa kabisa ya kulipa kodi hapa Tanzania ni swala la Kwenda kwenye hizi ofisi za TRA,kupanga foleni na kupoteza muda.
Swali langu kwa hawa maafsaa wa TRA ni hili.
Kwa kuwa sasa kila mtua anao uwezo wa kuingia mtandaoni na kufanya mchakato wa kulipa kodi...
Habari ndugu zangu,
Nakuwaga najiuliza sana lini nitapata wangu wa maisha wa aina nimtakaye hata akiwa na mapungufu kidogo basi turekebishane maana mimi pia sijakamilika.
Muda mwingi nawaza kwanini simpati ama wapi nakosea? Nachoko kuwa single na mpweke, najua hali hii mwengi mko naye wadada...
MAREHEMU BETTY AJENTA CHARLES:
Hadithi ya Betty Ajenta Charles (pichani), inasikitisha. Mwili wake umefukuliwa baada ya kufunga mpaka kufa katika sakata linaloendelea nchini Kenya la Mchungaji Paul Mackenzie ambaye anawafungisha Wakenya hadi umauti ("Fasting to Death") ili wafike Mbinguni...
Hizi ni jamhuri mbili tofauti:
Odinga katangaza kurejea barabarani.
Kama wanaoyaitisha maandamano Kenya ni wananchi kwa nini yasiwe kabla au baada ya hiyo May 2?
Kama wanaoyaitisha ni wananchi kwa nini yaliyopita yalianza kwa kuitishwa na Odinga? Kulikoni hata yakasimamishwa naye alipoamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.