Tundu Lissu amepelekewa mihogo mikavu Mahakamani kama chakula cha mchana wakati wa kuendelea kusikilizwa kwa shauri linalohusu vikwazo vya kumwona katika Gereza la Ukonga. Shauri hilo limeendelea leo, Julai 22, 2026, katika Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es Salaam.
Fuatilia mwenendo wa Kesi: Kesi...
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam tayari msafara uliombeba Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu umefika kwenye viunga vya Mahakama hiyo, kwaajili ya kuendelea na mwendelezo wa kesi ya uhaini inayomkabili kwa ratiba ya leo, Jumatatu Oktoba 13.2025
Kesi hiyo...
Leo Oktoba 6, 2025 katika mwendelezo wa usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Jeshi la Polisi limewatawanya wananchi waliokusanyika Mahakamani kwa kuwapiga na kutumia nguvu, huku watu kumi pekee wakiruhusiwa kuingia ukumbini kwa madai kuwa umejaa.
Soma: Kesi ya Uhaini...
Tundu Lissu atofautiana na Askari Magereza Mahakamani, azuiwa kushikana mikono na Mawakili wake ambapo alizuiwa pia kupeana karatasi na Mawakili wake, jambo lililosababisha mvutano kati yake na Askari waliokuwa wakimlinda.
Pia soma > DSM - GE2025 - Lissu alalamika kuzuiwa kuongea na mawakili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.