Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tundu Lissu amepelekewa mihogo mikavu Mahakamani kama chakula cha mchana wakati wa kuendelea kusikilizwa kwa shauri linalohusu vikwazo vya kumwona katika Gereza la Ukonga. Shauri hilo limeendelea leo, Julai 22, 2026, katika Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es Salaam.
Fuatilia mwenendo wa Kesi: Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu
Kesi hiyo inahusisha madai ya ukiukwaji wa haki ya faragha pamoja na madai kwamba mazungumzo ya siri kati ya mawakili na mteja wao hayaruhusiwi kufanyika kwa faragha wakati wa ziara gerezani.