Olmo
JF-Expert Member
- Jun 21, 2026
- 1,213
- 2,198
Ukitaka resign napo mtiti baba watujua unataka kusaliti kambi wanapita nawewe shaaaa!Kuna kazi unatakiwa ujipime sana kabla ya kuzisomea. Hapo hata utamu wa msahahara hauoni kabisa!
Ukitaka resign napo mtiti baba watujua unataka kusaliti kambi wanapita nawewe shaaaa!Kuna kazi unatakiwa ujipime sana kabla ya kuzisomea. Hapo hata utamu wa msahahara hauoni kabisa!
Na michango inasoma 160+mAisee.. au ndio chakula cha kianaharakati.. ili aweze kustahimili
wewe ni wa kupuuzwa. Gongwa ignore!!!Kwani pesa za tone tone mmezitafuna zote??
Au Heche ndio kazipiga?
KeNnYook!Samaki anakuja nao Heche
MaNnYook!Kwani pesa za tone tone mmezitafuna zote??
Au Heche ndio kazipiga?
Huu ni wito, purpose of life...anatusaidia hata kama hatafikia lengo ila kuna standards ana set. Bila watu kama hawa duniani huenda leo tungekuwa tunalima katani,pamba kwa mijeledi.Kuna kazi unatakiwa ujipime sana kabla ya kuzisomea. Hapo hata utamu wa msahahara hauoni kabisa!
Historia ina tuonesha hivyo sio 😁Kwa miogoo hii mikavu kavu uyo
Mjomba akitoka ndani tu mbio Ulaya 🤠
Akili ndogo.wewe ni wa kupuuzwa. Gongwa ignore!!!
Ignore, akil Zak zimejaa mavAkili ndogo.
**** weweIgnore, akil Zak zimejaa mav
Anayeweza kujifunza sio mdanganyika.Baadae ya hii KESI au hizi KESI za TL kuisha, watakua wamejifunza pakubwa KIASI naamini watabadilika
Mkuu, asante kwa mchango wako lakini mimi nilikuwa simzungumzii Lissu na kazi yake iliyotukuka. Nazungumzia kazi kama ya uafande hususani wa nchini Malawi.Huu ni wito, purpose of life...anatusaidia hata kama hatafikia lengo ila kuna standards ana set. Bila watu kama hawa duniani huenda leo tungekuwa tunalima katani,pamba kwa mijeledi.
Huyu utamu wa mshahara na maisha alishapata sana, hapa anafurahia kazi anayoifanya, kupiga tochi katika giza. Anaweza tu kuamua kuingia agreement na hao akawaambia haya nipeni bilioni 6, nastaafu siasa kabisa, na mambo yakafanyika.
Ipo siku kila mhogo hapo utageuka kuwa paja la bata na watu hawataamini!Tundu Lissu amepelekewa mihogo mikavu Mahakamani kama chakula cha mchana wakati wa kuendelea kusikilizwa kwa shauri linalohusu vikwazo vya kumwona katika Gereza la Ukonga. Shauri hilo limeendelea leo, Julai 22, 2026, katika Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es Salaam.
Fuatilia mwenendo wa Kesi: Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu
Kesi hiyo inahusisha madai ya ukiukwaji wa haki ya faragha pamoja na madai kwamba mazungumzo ya siri kati ya mawakili na mteja wao hayaruhusiwi kufanyika kwa faragha wakati wa ziara gerezani.
Huwezi kuvitenga na siasa maana vimefunga ndoa na Ccm.Sijui ni lini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vitakuja kuelimika na kuacha kutumika kisiasa
Never..Baadae ya hii KESI au hizi KESI za TL kuisha, watakua wamejifunza pakubwa KIASI naamini watabadilika
Katika maoni yangu Lissu anafaa kuwa professor wa sheria , toka ameanza kujiteteta mwenyewe ndio nimejua Lissu kwa sasa hana mtu wa kuweza kusimama nae mahakamani, jamaa anatupeleka shule ya sheria kwa vitendo hata sisi vihiyo, amenikumbusha enzi za marehemu Shaykh Murtaza Ahmed Abdulrasul Lakha ,Lamwai, Mabere Marando. Kwa sasa kila nikiangalia simuoni mtu kama Lissu hapa Bongo .Nimemuweke Lissu kwenye kiwango cha wanasheria machachari kwa sasa kule Kenya akina Orengo na Mzee Khaminwa, lakini kwa hapa hakuna labda kwa mbali ambaye angeweza kufuata nyayo ni dada yetu aliyekimbilia USUPUKA na kulewa madaraka kabla hajaangukia pua.Tundu Lissu amepelekewa mihogo mikavu Mahakamani kama chakula cha mchana wakati wa kuendelea kusikilizwa kwa shauri linalohusu vikwazo vya kumwona katika Gereza la Ukonga. Shauri hilo limeendelea leo, Julai 22, 2026, katika Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es Salaam.
Fuatilia mwenendo wa Kesi: Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu
Kesi hiyo inahusisha madai ya ukiukwaji wa haki ya faragha pamoja na madai kwamba mazungumzo ya siri kati ya mawakili na mteja wao hayaruhusiwi kufanyika kwa faragha wakati wa ziara gerezani.
Ni kweliNever..
Vitabadilika Ccm ikiondoka madarakani.
Wewe nawe,huchoki!In fact,
mihogo ni chakula kizuri sana kwa afya,
hata hivyo,
huyo muungwana kachumbari ilimpiga minyoo ya hatari na kwahivyo haitamani tena, wala kile kiporo cha ubwabwa na maharagwe alichokua anaendanacho kwenye kontena kizimbani wakati ule hakitamani tena siku izi.
Napendekeza aendelee kula mihogo kwa wingi, sio kwasababu ya hamu bali kama sehemu ya kuimarisha afya na kujenga mwili 🐒