GE2025 Mzozano Mahakamani kati ya Lissu na Askari Magereza

GE2025 Mzozano Mahakamani kati ya Lissu na Askari Magereza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Tundu Lissu atofautiana na Askari Magereza Mahakamani, azuiwa kushikana mikono na Mawakili wake ambapo alizuiwa pia kupeana karatasi na Mawakili wake, jambo lililosababisha mvutano kati yake na Askari waliokuwa wakimlinda.

Pia soma > DSM - GE2025 - Lissu alalamika kuzuiwa kuongea na mawakili wake Mahakama Kuu
Video: Mwanzo TV Plus
 
Hapo ni Mahakamani. Mwenye maamuzi yote ni Hakimu. Akitaka anaweza hata kuwafukuza kutoka ndani ya Mahakama yake.

Amandla...
Hakimu alisema wazi kuwa marufuku mtu kumpa document yeyote Lisu ila mpaka yeye aridhie na kuwa hiyo documeny akiridhia itakabidhiwa kwa askari magereza ambao ndio watamkabidhi Lisu
 
Tundu Lissu atofautiana na Askari Magereza Mahakamani, azuiwa kushikana mikono na Mawakili wake ambapo alizuiwa pia kupeana karatasi na Mawakili wake, jambo lililosababisha mvutano kati yake na Askari waliokuwa wakimlinda.
Video: Mwanzo TV Plus
Jamaa yangekua busy na kukamata watekaji na mafisadi hivi tungekuwa mbali sana. Bahati mbaya sana wanatumia nguvu kwa wapigania haki alafu mafisadi yanakula maisha tu.
 
Back
Top Bottom