Kwa wenye mtindio wa akili wataona hivyo, hebu tuambie Sheria inasemaje kwa mawasiliano na mshtakiwa na mawakili wake?Askari magereza wako sahihi
Akidhurika nani atawajibika?
Chochote wakitaka kumpa lazima kipitie kwa askari wakague usalama wake ndio wampe
Wanafanya hivyo kwa usalama wake