Wakuu,
Kumbe wakati Lema anachangisha pesa za Join The Chain, Wenje alikuwa bize na utalii?
Siku ya leo Godbless Lema akizungumza na wanahabari kuhusu a tuhuma zilizotolewa na Ezekia Wenje, Mgombea wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Victoria...
Wakuu,
Mambo yanaendelea kuwa moto.
Godbless anasema kuwa tuhuma za kwamba yeye na Lissu walikuwa wanataka kumpindua Mbowe kupitia kampeni ya Join The Chain ni za uongo kwani Mbowe pia alihusika katika kampeni hiyo.
Lema anasema kuwa ni kweli yeye ndo alihusika kuanzishwa kwa kampeni na...
Ni ukweli usiopingika kuwa CHADEMA ndicho chama kinachovuta hisia za Watanzania walio wengi bila shaka kuliko CCM na chama kingine chochote cha siasa na kwamba katika mazingira huru CHADEMA kinauwezo wa kushinda uchaguzi mkuu na kuwa chama tawala.
Kwanini CHADEMA pamoja na haya yote kinaishia...
Mpaka kieleweke hapa ni Bampa to Bampa hatimaye Godbless Lemma kumjibu Ezekiah Wenje
“Jana nilipoamka niliona tweet ya Mnyika na jana Waandishi mlikuwa na Wenje na nilimsikia, niliona alichokipata kule mitandaoni na Wananchi wote wa Tanzania, Wafuasi na Wadau mbalimbali wa sera za mabadiliko...
===
Freeman Mbowe anasema baada ya Uchaguzi kumalizika watawarudia wale wote waliokuwa wanatoa upotoshaji kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii.
Huenda mambo yakawa mabaya zaidi kwa Lemma, Lissu na Heche endapo hawatashinda Uchaguzi huu kwani watalazimika kujiondoa CHADEMA kabla ya...
Baada ya Jana Tundu Lissu kutoa Elimu kwa Mtangazaji Kijakazi Yunus wa CLOUDS TV kupewa Elimu na Makam Mwenyekiti wa CHADEMA, Leo Freeman Mbowe ameendelea Kutoa Elimu ya aina Hiyo na hapa ni azam TV
https://www.instagram.com/azamtvtz/reel/DE6vkQ3Bufu/
Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amesema Hakunaga chama chenye akili Duniani kitaruhusu Mwenyekiti na makamu wake wakaingia Kwenye Ushindani hata kama Kuna Demokrasia
Waziri huyu Msomi mbobevu ameongea huko ukurasani X na wengi wametafsiri Chadema ni Chama kisicho na akili...
Mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Ezekia Wenje amepiga mahesabu yanayoonyesha kuwa Freeman Mbowe ataibuka na ushindi mkubwa dhi ya Tundu Lissu katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa taifa unaotegemewa kufanyika hivi karibuni. Kwa kujiamini amesema katika wenyeviti wa kanda nane, tisa...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, ndiye aliyeongoza mpango wa kumuondoa Zitto Kabwe katika chama hicho baada ya kupata laptop yenye baadhi ya taarifa...
Wakuu,
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain.
Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na fedha hizo kwani Godbless Lema ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kampeni hiyo
Wakuu,
Mambo yamezidi kupamba moto CHADEMA.
Kwenye Press conference ya leo amesema kuwa Lema na Lissu walikuwa wanapanga kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA wakati Mbowe yuko gerezani na kwamba yeye ni team Mbowe kwa sababu alikataa kuwa muasi ya mapinduzi hayo.
Yaani Wenje ameamua kwenda...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Ndugu Mbowe na baadhi ya vijana wake (wengi mnawaita chawa), wamekuwa hawaamini kama ndugu Lisu akishinda uenyekiti wa Chadema ataweza kuendesha chama na badala yake atakiua.
Wengine wameenda mbali zaidi kwa kudai kwamba kuna uwezekano Lisu akishinda uenyekiti wa...
Huyu MTU yuko Gifted sana na Uwanda mkubwa wa Maarifa na akili nyingi .
Ninashauri, Waandishi wawe wanaandaa maswali yao kwanza, wasingoje majibizano na LISSU ndio yawape maswali.
Pia LISSU awe anaitwa Kutoa Hotuba, yaan ahutubie akimaliza waulize maswali yao.
Narudia kusema, kuhojiana na...
Mgombea uenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema baada ya 'mastori ya town' kusambaa anataka kugombea uenyekiti aliitwa kwenye kikao na watu watatu wanaoheshimika kwenye jamii, anasema kwenye kikao hicho Mbowe alisema hatagombea uenyekiti lakini pia alimkatalia Lissu asigombee nafasi hiyo kitu...
Wakuu,
Uchaguzi wa CHADEMA nafasi ya Uenyekiti umezidi kupamba moto.
Haya ni maneno ya Afande Sele ambaye ni mfuatiliaji mkubwa wa siasa za Bongo.
Mbowe ajitafakari.
Hiki ndicho alichoandika Afande Sele kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Baraza lote la vijana limeshikiliwa na watu...
Kwa mtazamo wangu upepo ulivyo Mbowe ana nafasi ndogo ya kushinda na kama kweli anatembeza pesa na kukafanyika janja janja akashinda basi chama kitapasuka vipande vipande.
Pia haijalishi nani atashinda, kwa jinsi mambo yalivyo bado kutakuwa na mpasuko maana watu watabaki na vinyongo na wengine...
Wakuu kwa jicho la kibiashara jina la Lissu ni brand inayoweza kuuza kwa hapa bongo. Unadhani ni bidhaa gani inaweza ku-fit hilo jina na kufanya vyema sokoni?
Binafsi nimefikiria pombe kali na energy drinks. Pia mashine, mabati, nondo na bidhaa zingine jamii ya chuma
Hali ya rushwa ndani ya CHADEMA inatisha watu waadilifu hiki chama hakiwafai tena tafuteni chama kingine,
Hii CHADEMA sio ile mnayoijua.
Habari za rushwa CHADEMA ni za kiwango Cha Juu sana,
Lissu, Lemma, Heche find your ways CHADEMA si chama tena.
Wakuu,
Mwanaharakati wa haki za kijamii na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godlisten Malisa siku ya leo Jumapili Januari 12, 2025.amezungumza katika mkutano wa wanahabari uliofanyika mkoani Dar es Salaam
Malissa amezungumza mambo mengi kuhusu CHADEMA ikiwemo na uwepo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.